Kilimanjaro Christian Medical Centre (@kcmc1971) 's Twitter Profile
Kilimanjaro Christian Medical Centre

@kcmc1971

Kilimanjaro Christian Medical Centre is located in the foothills of the snow capped, Mount Kilimanjaro, Tanzania.

ID: 1111594636798316545

linkhttps://kcmc.ac.tz calendar_today29-03-2019 11:43:08

1,1K Tweet

5,5K Takipçi

57 Takip Edilen

Kilimanjaro Christian Medical Centre (@kcmc1971) 's Twitter Profile Photo

Hospitali ya KCMC kwa kushirikiana na Hospitali ya SDU(Southern Denmark University) imefanya mafunzo ya kufanya operesheni kwa njia ya matundu kwa magonjwa mbalimbali ya wakinamama, kwa madaktari bingwa wa magonjwa ya wakinamama kutoka hospitali mbalimbali.