Abatiko Mabruki (@abatikom) 's Twitter Profile
Abatiko Mabruki

@abatikom

Facts and Content Creator | Network Marketer | Strategic analyst | I always learn from mistakes of others who take my advice | Mtanzania _🇹🇿

ID: 1300439662205562881

calendar_today31-08-2020 14:26:05

1,1K Tweet

394 Takipçi

1,1K Takip Edilen

Tanzania Embassy | China (@ubalozichina) 's Twitter Profile Photo

Semina kwa ajili ya kutangaza vivutio vya utalii vya Tanzania kwa Mawakala wa Usafiri "travel agents" imefanyika leo jijini Beijing. Semina hiyo iliyohudhuriwa na wawakilishi wa Makampuni 20 imeandaliwa na Ubalozi kwa kushirikiana na Kampuni kubwa ya Utalii ya China CYTS Tours

MFA Tanzania (@mfa_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Mhe. Balozi Liberata Mulamula Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki amewasili nchini Uganda kwa ziara ya kikazi ya siku mbili ambapo ataongoza Ujumbe wa Tanzania kwenye Mkutano wa Nne wa JPC kati ya Tanzania na Uganda Ngazi ya Mawaziri tarehe 19 Januari 2022.

Gerson Msigwa (@msigwagerson) 's Twitter Profile Photo

YAMETIMIA. Wanafunzi wote wa kidato cha kwanza waanza masomo kwa pamoja. : Ni baada ya kukamilika kwa ujenzi wa madarasa mapya 15,000. : Asante Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa maono, dhamira njema na upendo kwa watoto wa shule. #KaziIendelee

Tanzania Embassy In Kuwait (@ubalozikuwait) 's Twitter Profile Photo

منظر شروق الشمس الساحر من أعلى قمة كليمنجارو 🇹🇿🗻🌞 Furahia mwanga wa jua linapochomoza kwenye killele cha Mlima Kilimanjaro uliopo Kilimanjaro, Tanzania.

Gerson Msigwa (@msigwagerson) 's Twitter Profile Photo

Mcheza filamu na mwanamuziki maarufu nchini China Bi. Jiang Yiyan ameandaa filamu ya vivutio vya utalii Barani Afrika ambapo vivuti vya utalii vya Serengeti, Ngorongoro na Zanzibar vimeoneshwa. Filamu hiyo imetazwa na watu zaidi ya Milioni 120 nchini China. 🙏🏼🙏🏼 @TZEmbassyCN

MFA Tanzania (@mfa_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Minister of Foreign Affairs and East African Cooperation Hon. Amb. Liberata Mulamula today 8/02/2022 in Dodoma, has led Tanzania delegation to participate virtually in 46th Extra-Ordinary Meeting of the Council of Ministers of East African Community. East African Community

Habari za UN (@habarizaun) 's Twitter Profile Photo

Mwakilishi mpya wa kudumu wa #Tanzania #UN 𝐁𝐚𝐥𝐨𝐳𝐢 𝐇𝐮𝐬𝐬𝐞𝐢𝐧 𝐊𝐚𝐭𝐭𝐚𝐧𝐠𝐚 awasilisha nyaraka za utambulisho kwa Katibu Mkuu António Guterres 📌Mahojiano yake nasi baadaye. 🔵Ujumbe kutoka kwa Rais Samia Suluhu 🔵Msimamo wa 🇹🇿 kwa UN 🔵 #Kiswahili MFA Tanzania

MFA Tanzania (@mfa_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Tanzania Embassy to DRC, Tanzania Chamber of Commerce Industry & Agricultre and Chember of Commerce in South Kivu organized a business forum held in South Kivu on 29 April 2023. The forum was officiated by the South Kivu Governor, Hon. Theo Kasi culminated by signing of MoU on trade cooperation between TCCIA and FEC.

Kondo Jr Khalid (@mlimwengu_) 's Twitter Profile Photo

QR CODES FOR INVESTMENT INFORMATION 🤳 Access information on the overview of the Tanzania investment climate, Public and Private sector's projects for joint venture partnerships. Tanzania Investment & Special Zones Authority Tanzania Private Sector Federation (TPSF) Branding Tanzania 🇹🇿 #TanzaniaIsReady 🇹🇿

QR CODES FOR INVESTMENT INFORMATION 🤳
Access information on the overview of the Tanzania investment climate, Public and Private sector's projects for joint venture partnerships.
Tanzania Investment & Special Zones Authority Tanzania Private Sector Federation (TPSF) Branding Tanzania 🇹🇿
#TanzaniaIsReady 🇹🇿
Kondo Jr Khalid (@mlimwengu_) 's Twitter Profile Photo

🎯MONTHLY INVESTMENT BULLETIN Highlights on investment trends, insights, and sectoral performance for the month ending April 2023. Gilead Teri Tanzania Private Sector Federation (TPSF) Msemaji Mkuu wa Serikali #TanzaniaIsReady 🇹🇿 tic.go.tz/publications/t…

🎯MONTHLY INVESTMENT BULLETIN

Highlights on investment trends, insights, and sectoral performance for the month ending April 2023.
Gilead Teri Tanzania Private Sector Federation (TPSF) Msemaji Mkuu wa Serikali
#TanzaniaIsReady 🇹🇿

tic.go.tz/publications/t…
Tanzania Investment Centre (@investtanzania) 's Twitter Profile Photo

TIC extends an invitation to Tanzanian Diaspora members for a scheduled Zoom meeting to engage in discussions regarding Investment matters in Tanzania Date: Feb 2, 2024, Time: 05:00 PM Nairobi

TIC extends an invitation to Tanzanian Diaspora members for a scheduled Zoom meeting to engage in discussions regarding Investment matters in Tanzania

Date: Feb 2, 2024,
Time: 05:00 PM Nairobi
ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Ungana na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu katika kipindi chao kipya cha SONGA NA SAMIA, SS kitakachoanza kuruka Jumapili hii.

Tanzania Investment Centre (@investtanzania) 's Twitter Profile Photo

KUELEKEA MASHINDANO YA FAINALI ZA AFCON 2027📌 TIC inakukaribisha kushiriki Mkutano wa wadau SEKTA YA MICHEZO, UTALII NA UKARIMU tuzungumze FURSA ZA UWEKEZAJI Usipange kukosa fursa hii muhimu na ya Kipekee📌 kwa mawasiliano kuhusu ushiriki piga 0734 989470 au 0753 087998

KUELEKEA MASHINDANO YA
FAINALI ZA AFCON 2027📌

TIC inakukaribisha kushiriki Mkutano wa wadau SEKTA YA MICHEZO, UTALII NA UKARIMU  tuzungumze FURSA ZA UWEKEZAJI

Usipange kukosa fursa hii muhimu na ya Kipekee📌
kwa mawasiliano kuhusu ushiriki piga
0734 989470
au
0753 087998
Dr. Jasmine Bilal (@jasminebilal) 's Twitter Profile Photo

Tembele Viwanja vya Sabasaba Katika MAONESHO YA KIMATAIFA YA VIWANDA TANZANIA #TIMEXPO2024 Wafanyabiashara na Wajasiriamali wa Ndani na Nje ya Nchi wanauza Bidhaa Bora kwa Bei za Viwandani. 📝 26 Septemba Hadi 02 Oktoba HAKUNA KIINGILIO 📌 #TIMEXPO2024 Confederation of Tanzania Industries (CTI) Timexpo TZ