Gerson Msigwa (@msigwagerson) 's Twitter Profile
Gerson Msigwa

@msigwagerson

The Permanent Secretary of Information, Culture, Arts and Sports || Chief Government Spokesperson of Tanzania.

ID: 2442351383

linkhttp://www.maelezo.go.tz calendar_today28-03-2014 16:10:15

5,5K Tweet

850,850K Takipçi

1,1K Takip Edilen

Gerson Msigwa (@msigwagerson) 's Twitter Profile Photo

Mcheza filamu na mwanamuziki maarufu nchini China Bi. Jiang Yiyan ameandaa filamu ya vivutio vya utalii Barani Afrika ambapo vivuti vya utalii vya Serengeti, Ngorongoro na Zanzibar vimeoneshwa. Filamu hiyo imetazwa na watu zaidi ya Milioni 120 nchini China. 🙏🏼🙏🏼 @TZEmbassyCN