Handsome La Kijiji
@ManenoIzaak
Baba Mzazi/Mungu kwanza/Heshimu Mawazo yangu ila ishi Maisha yako/ Ruksa kunipa ushauri wowote/ Ila si lazima ushauri wako uendeshe
Maisha yangu.
ID:2879039050
http://www.ManenoIzaak.tz.com 16-11-2014 02:59:38
484,8K تغريدات
424,0K متابعون
6,9K التالية
Follow People
Mdogo wangu, usituweke kundi hilo. Sisi tunathamini sana UTU na tunathamini mchango wa kila mwana mageuzi katika kuweka misingi ya demokrasia nchini. Tafadhali jumbe kama hizi hazituunganishi, zinatugawa. Ndg. Tundu Antiphas Lissu ni Makamu mwenyekiti wenu lakini kwetu sisi ni Kiongozi.
#Agenda1030
Salaam Ndugu Zangu,
Mchakato na Hatua za kufungua soko la Parachichi za #Tanzania China linaendelea.
Ni mchakato mrefu wa ‘plant health process’ kutokana na vigezo vya NPPOs. Nawashukuru shirika la Food and Agriculture Organization, Wakulima na Wadau wa Sekta Binafsi tunaoshirikiana nao
Hongera sana Kiongozi wetu, MNEC Suzan Peter Kunambi kwa kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu UWT 💪🏽
Karibu sana na #JeshiLaMama limekamilika hivyo #TukutaneSite #SSH2025 ✅
#UWTImara Chini ya Chatanda na Shomari 🔥
Handsome La Kijiji Before kuanguka kwa kiwanda kimoja Uko kanda ya ziwa ndhan hana mpinzani
Handsome La Kijiji Sema mtindi wa ASAS wa chupa ndogo ya 2000 na dumu la lita tano, basi tu🔥🔥🔥🔥
Sijawahi onja hata mengine, hivyo siwezi judge....ila ni kama ASAS kajipambanua kuwa tofauti na wengine