heisCHIUKUTA_ (@son_noeli) 's Twitter Profile
heisCHIUKUTA_

@son_noeli

Actuarial analyst & statistician πŸ“ŠπŸ“‰

ID: 1503298070708109314

calendar_today14-03-2022 09:13:14

59,59K Tweet

3,3K Followers

3,3K Following

kijana mpole (@bestenicolas) 's Twitter Profile Photo

Kipi unaweza kumudu kukifanya Kati ya hivi ??πŸ€”πŸ€¨ 1πŸ‘‰kukaa miezi 6 bila kuoga 2πŸ‘‰kukaa miezi 6 bila hela 3πŸ‘‰kukaa miezi 6 bila kufanya mapenzi 4πŸ‘‰kukaa miezi 6 bila kutumia simu

MvumbuziπŸ“ (@mvumbuzi_1) 's Twitter Profile Photo

Ufunguo wa maisha yenye mafanikio haupo katika kile unachokijua bali ufunguo wa mafanikio ni jinsi unavyotumia kile unachokijua.

Ambele Young (@ambele_young) 's Twitter Profile Photo

Naomba retweets hapa wakuu Habari njema Airtel sasa inaleta router za 5G zenye kasi ya juu na bora zaidi kwa matumizi ya nyumbani na biashara yako. πŸš€ βœ… Kasi ya juu zaidi βœ… Bando ni la mwezi bila kikomo βœ… Rahisi kuitumia βœ… Unaweza unganisha mpaka watu 64 Bei za bando ni

Naomba retweets hapa wakuu 

Habari njema Airtel sasa inaleta router za 5G zenye kasi ya juu na  bora zaidi kwa matumizi ya nyumbani na biashara yako. πŸš€

βœ… Kasi ya juu zaidi
βœ… Bando ni la mwezi bila kikomo
βœ… Rahisi kuitumia 
βœ… Unaweza unganisha mpaka watu 64

Bei za bando ni
Williard (@prolific_88) 's Twitter Profile Photo

Muhindi: Umesema utabet weekend sio? Me : ntakupasua vibayaπŸ˜‚ Muhindi: aya ngoja tuone me niko vacation 😎 Me: Ama zako ama zangu 🫡🏿

Muhindi: Umesema utabet weekend sio?

Me : ntakupasua vibayaπŸ˜‚

Muhindi: aya ngoja tuone me niko vacation 😎

Me: Ama zako ama zangu 🫡🏿
𝐌𝐫 𝐬𝐒𝐲𝐞𝐧𝐠𝐨 (@mrsiyengo) 's Twitter Profile Photo

Kukosea katika maisha ni kawaida, Lakini unapoomba msamaha usitumie kabisa kauli zifuatazo- 01. "Nisamehe kama ninekosea/ kama nimekosea nisamehe" Hii Kauli Inaonesha ni kwa Jinsi gani haujatambua kosa lako, Inaashiria kuwa umesingiziwa na unalazimishwa kuomba msamaha,

𝔠π”₯π”²π”€π”ž πš”π”¦π”«π”€πŸ‘‘ (@brayan__606) 's Twitter Profile Photo

Karma is real kama alidhani hatolipwa Ndio kinaanza,,sawa watampa IΕ‚a kwa Masimango na soon watampika tu kilio Au chozi la mwenzako sio ya pili pili au kitunguu ni chozi la uchunguu let’s keep rolling hii ndio x platformΔ™ 😎