Amsha Media Official (@amsha_media) 's Twitter Profile
Amsha Media Official

@amsha_media

Kwa Habari | Matukio | Michezo na Burudani saa 24.

·· Tunakuamshaa! Tunakiamshaa! ··

ID: 1425830917231181829

calendar_today12-08-2021 14:46:12

197 Tweet

28 Followers

95 Following

Amsha Media Official (@amsha_media) 's Twitter Profile Photo

Msimamo wa ligi kuu ya NBC baada ya michezo ya leo ambapo Simba sc amecheza na biashara united lakini kagera sugar amecheza na Namungo fc SIMBA SC 3-0 BIASHARA UNITED KAGERA SUGAR 1-1 NAMUNGO FC

Msimamo wa ligi kuu ya NBC baada ya michezo ya leo ambapo Simba sc amecheza na biashara united lakini kagera sugar amecheza na Namungo fc 
SIMBA SC 3-0 BIASHARA UNITED 
KAGERA SUGAR 1-1 NAMUNGO FC
Amsha Media Official (@amsha_media) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 04 March, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika ufunguzi wa Makao Makuu ya BENKI YA CRDB, yaliopo barabara ya Ali Hassan Mwinyi Jijini DAR-ES-SALAAM LEO Machi 5, 2022. CRDB Bank PLC Samia Suluhu ikulu_Tanzania

Amsha Media Official (@amsha_media) 's Twitter Profile Photo

Martini Kadinda awang'ata sikio wanawamke wajasiriamali kisiwani Zanzibari MBUNIFU nguli wa mavazi nchin Martin Kadinda amewataka wanawake wajasiria mali na vijana wa wilaya ya Magharibi 'A', kisiwani Zanzibari, kutumia utofauti alio nao binafsi kuboresha biashara yake.

Martini Kadinda awang'ata sikio wanawamke wajasiriamali kisiwani Zanzibari 

MBUNIFU nguli wa mavazi nchin Martin Kadinda amewataka wanawake wajasiria mali na vijana wa wilaya ya Magharibi 'A', kisiwani Zanzibari, kutumia utofauti alio nao binafsi kuboresha biashara yake.
Amsha Media Official (@amsha_media) 's Twitter Profile Photo

MKE wa makam wa Pili wa Rais Zanzibari Sharifa Omar Khalfan, leo amefunga mafunzo ya ujasiriamali ya Mwanamke Fanikisha yaliyokuwa yakiendesha kwa muda wa wiki moja na watoa mada tofauti katika ukumbi wa Abla apatiment.

Klabu ya Simba SC imekamilisha usajili wa kiungo mshambuliajia wa kimataifa kutokea Ghana Augustine Okral kwa mkataba wa miaka miwili akitokea katika klabu ya Benchem United Fc

Klabu ya Simba imeasaini mkataba wa miaka mitano na kampuni ya Michezo ya Kubashi M-BET kama mdhamini mkuu . Mkataba kati ya Simba Sc na M-BET ulisainiwa Julai 1.2022

Mchezaji wa zamani wa Klabu za Yanga, Difaa el Jadida na Wydad Casablanca, SAIMON MSUVA Amesema kwamba Simba na Yanga zote ni Timu nzuri na bora kwa upande Wangu sifikirii sana kucheza Tanzania Dhumuni langu Mimi ni kucheza nje ya NCHI Kwa sababu bado Nahataji CHANGAMOTO

Shirikisho la Soka Tanzania TFF limethibitisha kuwa Mchezo kati ya Yanga na Simba wa Ngao ya Jamii utachezwa siku ya Jumamosi tarehe 13 August 2022 majira ya Saa 1:00 Usiku kwenye uwanja wa Benjamin William Mkapa #TFF #YANGA #SIMBA #NGAOYAJAMII #NGAOYAJAMII2022 #YANGAFC #SIMBAFC

Shirikisho la Soka Tanzania TFF limethibitisha kuwa Mchezo kati ya Yanga na Simba wa Ngao ya Jamii utachezwa siku ya Jumamosi tarehe 13 August 2022 majira ya Saa 1:00 Usiku kwenye uwanja wa Benjamin William Mkapa
#TFF #YANGA #SIMBA #NGAOYAJAMII #NGAOYAJAMII2022 #YANGAFC #SIMBAFC
Amsha Media Official (@amsha_media) 's Twitter Profile Photo

#SWIPE_KUONA Ratiba ya Awali ya Shirikisho CAF. Azam kuiwakilish bendera ya Tanzania Kimataifa @azamfcofficial The 2022/23 #TotalEnergiesCAFCL preliminary rounds #azamfc #caftotalenergies

#SWIPE_KUONA

Ratiba ya Awali ya Shirikisho CAF.

Azam kuiwakilish bendera ya Tanzania Kimataifa @azamfcofficial 

The 2022/23
#TotalEnergiesCAFCL preliminary rounds 
#azamfc #caftotalenergies
Amsha Media Official (@amsha_media) 's Twitter Profile Photo

Msanii wa Muziki kutoka nchini Nigeria Kizz Daniel ameongea na waanfishi wa habari usiku huu jinini Dar es Salaam na kuthibitisha kuwa atatumbuiza siku ya Ijumaa. instagram.com/reel/ChDYtQkoc…

Amsha Media Official (@amsha_media) 's Twitter Profile Photo

FT , POLISI TANZANIA 1-2 YANGA SC ⚽SALUM KIPEMBA ⚽FISTON MAYELE ⚽BAKARI MWAMNYETO #nbcpremierleague #yangasc #amshasports #mayele #tff #bakarinondo instagram.com/p/ChU2bxrosp-/…

Amsha Media Official (@amsha_media) 's Twitter Profile Photo

RATIBA YA LEO NBC #nbcpremierleague #nbc #simba #simbaday #simbavskmc #simbasc #ihefufc #mtibwasugar #ligikuutanzaniabara #ligikuu #kmc #tff #azamsports2 #azamtv #azamsports1hd

RATIBA YA LEO NBC 
#nbcpremierleague #nbc #simba #simbaday #simbavskmc #simbasc #ihefufc #mtibwasugar #ligikuutanzaniabara #ligikuu #kmc #tff #azamsports2 #azamtv #azamsports1hd
Amsha Media Official (@amsha_media) 's Twitter Profile Photo

Basi la Tilisho kutoka Dar es Salaam kuelekea Mkoani Arusha limepata ajali katika eneo la Kimara Suka. Bado hatujapata taarifa za majerui katika ajali hiyo. #AmshaMedia itakujuza baada ya taarifa kamili kutolewa kutoka kwa vyombo husika. #ajali #ajaliyabasi #daressalaam

Amsha Media Official (@amsha_media) 's Twitter Profile Photo

Club ya Soka ya Simba Sc imefika nchini Malawi kwaajili ya mpambano wa mkondo wa kwanza, hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Africa dhidi ya Nyasa Big Bullets china ya kocha Juma Mgunda #simbasc Simba Sports Club #bigbullets #nyasabigbullets #tanzania #zambia #ClubBingwaAfrica

Club ya Soka ya Simba Sc imefika nchini Malawi kwaajili ya mpambano wa mkondo wa kwanza, hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Africa dhidi ya Nyasa Big Bullets china ya kocha Juma Mgunda

#simbasc <a href="/simbasctanzania/">Simba Sports Club</a> #bigbullets #nyasabigbullets #tanzania #zambia #ClubBingwaAfrica
Amsha Media Official (@amsha_media) 's Twitter Profile Photo

Timu ya SOUTHAMPTON imeagana rasmi na Mchezaji wake Nathan Redmond. South Ampton imeandika hivyo kupitia ukurasa wake wa Instagram ikimshukuru mhezaji huyo kwa kila namna alivyoweza kuitumikia timu hiyo. #Southampton #redmond #nathanredmond #soccer #football

Timu ya SOUTHAMPTON imeagana rasmi na Mchezaji wake Nathan Redmond.

South Ampton imeandika hivyo kupitia ukurasa wake wa Instagram ikimshukuru mhezaji huyo kwa kila namna alivyoweza kuitumikia timu hiyo.

#Southampton #redmond #nathanredmond #soccer #football