
amirams
@amirams12
ID: 1548007011832344577
15-07-2022 18:11:20
277 Tweet
36 Takipçi
718 Takip Edilen






Hivi ukisoma bachelor of clinical medicine uganda,ukija bongo unatambulika kama nani Dr. Mlaluko, MD

Kwa aliesoma anaemfahamu aliesoma bachelor of clinical medicine nchini uganda naomba anijuze wakuu ninashida Dr. Mlaluko, MD,@ReganTesha_ Dr. Kala. MD


Hivi mtu akisoma AMO,,,,masters anaweza akasoma kozi gani??? Dr. Mlaluko, MD Dr. Kala. MD @ReganTesha_ @LadslausSk

Hivi mtu aliesoma AMO anaruhusiwa kufungua zahanati kwa kutumia cheti/leseni ya level yake?? Dr. Mlaluko, MD Dr. Kala. MD @LadslausSk

Chief naombeni munisaidie nchi ambayo dogo angu anaweza akasoma optometry Dr. Mlaluko, MD Dr. Kala. MD Dr Mmbaga

Chief hivi mtu mwenye bachelor of optometry anaweza akasoma masters ya opthalmology?? Dr. Mlaluko, MD Dr. Kala. MD Dr Isaac Maro