Amina Mtika
@aminamtika
Coordinator of GBV &VAC, Mother,wife, MD.
ID: 1561431755084685315
21-08-2022 19:16:44
958 Tweet
1,1K Takipçi
3,3K Takip Edilen
Hakika mama Kwa haya unayoendelea kuyafanya unazidi kudhihirisha umma na Dunia kuwa wewe ni kinara, wewe ni zaidi ya kiongozi. Unazidi kutupa wepesi ifikapo October 2025 hakika unatosha. Samia Suluhu
Viva Rais wetu Dr Samia suluhu Hassan, viva jemedari wetu Dr Samia suluhu Hassan, viva Dr Hussein Ally mwinyi, viva chama Cha mapinduzi. Samia Suluhu mitano Tena. October 2025 turuke na mama.
October 2025 mambo ni bam bam kazi ni Moja tu. Tunachukuaa tunawekaa....waaaaaa, kura Kwa Samia tunachukua tunawekaa......waaaaaa. Samia Suluhu
Hakika Tanzania imeweka historia kubwa sana juu ya ujio wa viongozi wa nchi mbali mbalimbali kushiri mkutano mkubwa wa wakuu wa nchi. Tuilinde amani yetu kwani ni tunu ya Taifa letu. Viva Samia Suluhu viva Chama Cha Mapinduzi Samia Suluhu mitano Tena. October 2025 turuke na mama.