amani charles (@amanicharles10) 's Twitter Profile
amani charles

@amanicharles10

ID: 763789453

calendar_today17-08-2012 14:10:48

68 Tweet

27 Followers

208 Following

Joseph Mohonia (@mohoniajoseph11) 's Twitter Profile Photo

Maaskofu wa namna hii wamemabaki wachache sana, maaskofu walio tayari kuusema ukweli na kusimama ili kuhsesabiwa katika uhalisia. Kamwe wote hawawezi kupotoka, lazima watapatikana wachache wa kusimama. #UCHAGUZI_WA_HURU

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Tajiri Mohammed Dewji MO naona ndoo yako ya mafuta ya "MO" inatumika hapa na mama yetu kuteka maji yenye rangi ya oil chafu. Shukrani. Ukipata muda, ongea na mzee baba, afikirie kuhusu sera ya maji ya taifa (2002, kisima kimoja kila baada ya mita 300 vijijini huko. Atakusikiliza tajiri!

Tajiri <a href="/moodewji/">Mohammed Dewji MO</a> naona ndoo yako ya mafuta ya "MO" inatumika hapa na mama yetu kuteka maji yenye rangi ya oil chafu. Shukrani. Ukipata muda, ongea na mzee baba, afikirie kuhusu sera ya maji ya taifa (2002, kisima kimoja kila baada ya mita 300 vijijini huko. Atakusikiliza tajiri!
Watch LFC (@watch_lfc) 's Twitter Profile Photo

6-year old Social Media sensation Arat Hosseini has signed for Liverpool’s academy. The Iranian starlet. 🤟 x.com/King_Sewaa/sta…

millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Maafisa wa Serikali nchini Mali wamethibitisha kwamba Rais wa Mali Ibrahim Keita na Waziri Mkuu wa Nchi hiyo wote wamekamatwa na bado wanashikiliwa na Wanajeshi walioasi na kuungana na Wananchi walioandamana kuutaka utawala uliopo madarakani ujiuzulu. ( via AFP, Reuters & CGTN)

Maafisa wa Serikali nchini Mali wamethibitisha kwamba Rais wa Mali Ibrahim Keita na Waziri Mkuu wa Nchi hiyo wote wamekamatwa na bado wanashikiliwa na Wanajeshi walioasi na kuungana na Wananchi walioandamana kuutaka utawala uliopo madarakani ujiuzulu.
( via AFP, Reuters &amp; CGTN)
Ian Morrison (@ianm_ah) 's Twitter Profile Photo

Click below to see my weekly #eurusd price prediction on the Pynk Beta !! 🙌 Comment below to tell me your $EurUsd prediction... 🧠 #EUR #USD #AI #Fintech 🎖️ beta.pynk.io/p/ianm_ah/7395… via pynk.io