Strawberry🍓 (@allymshana_) 's Twitter Profile
Strawberry🍓

@allymshana_

*Mechanical Designer and Engineer. *Structure Engineer and Architect. *Engineering Technician. *Consultant *Muslim.. *💫❣ *Enterprineur *Father to be..☺

ID: 1437722896751808515

linkhttp://instagram.com/ally.kichwa calendar_today14-09-2021 10:20:55

8,8K Tweet

3,3K Followers

4,4K Following

Taivina James (@thereal_taivina) 's Twitter Profile Photo

Ukishajua ni kiasi gani unatakiwa uingize iwe kwenye iwe ni kwa siku au wiki utaanza ku solve vipengere ulivokuwa umevipanga. Watu wanafeli wapi? Jibu ni wanafeli ku manage account ukishajua wewe unafanya betting kama kazi au side hustle unahitaji umakini na heshima ya hali ya

Ukishajua ni kiasi gani unatakiwa uingize iwe kwenye iwe ni kwa siku au wiki utaanza ku solve vipengere ulivokuwa umevipanga.

Watu wanafeli wapi?

Jibu ni wanafeli ku manage account ukishajua wewe unafanya betting kama kazi au side hustle unahitaji umakini na heshima ya hali ya
Jeany (@jeju_julius) 's Twitter Profile Photo

Leo ni siku ambayo naikumbuka daima tarehe 16/9/2022 niliondokewa na mpendwa wangu anaitwa HILARY alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa WA Figo alinipenda Sana alinipa Kila ninachokihitaji kutoka kwake na nilikuwa na simamia miradi yake akuwahi kunieleza kuwa anasumbuliwa na Figo

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

BET BUILDER OF THE DAY.⚽️🔥 CODE: K23RU ODDS: 2+ HELABET JISAJILI: cutt.ly/sativahelabet Promo code: SATIVA17 BET & RELAX 🦅

BET BUILDER OF THE DAY.⚽️🔥

CODE: K23RU

ODDS: 2+

HELABET

JISAJILI: cutt.ly/sativahelabet

Promo code: SATIVA17

BET & RELAX 🦅
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Dakika zako 3:27 hazitaenda bure USIKU wa leo. Msikilize GWAJIMA.🧠 Watu kama hawa HAWATAKIWI (GWAJIMANAZATION). REPOST 500 TUTAKUWEPO🫵🏾😎

#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Unamsikia binti anasema “Mimi siasa sio vitu vyangu”😁 Kikubwa nakula nashiba nalala naamka! Au kijana wa maana kabisa anakwambia “Mimi ishu za siasa sizimii kabisa zinanipotezea muda” Kikubwa uhai tu!!😁 Binti au kijana huyo huyo akienda kupanda mwendokasi akakutana na

Kwame Kivaisi (@kwamekivaisi) 's Twitter Profile Photo

Inabidi upunguze kuwa biased ili uweze kuwa na uchambuzi fair. Unaamini kwamba kuna bots zinatumika katika vita ya propaganda duniani? Kama unaamini maana yake unaamini sio sauti halisi na hazipaswi kupewa nafasi. Sawa na utake kuingia ofisi ya Rais umevaa mask kufunika sura.