Sina (@all_aresina) 's Twitter Profile
Sina

@all_aresina

Just In, Words

SINA

ID: 1974834468788838400

calendar_today05-10-2025 13:51:51

1,1K Tweet

145 Followers

475 Following

Trillionaire Kid (@trillionai85877) 's Twitter Profile Photo

๐ˆ๐…๐€๐‡๐€๐Œ๐” ๐…๐€๐Œ๐ˆ๐‹๐ˆ๐€ ๐˜๐€ ๐‘๐Ž๐“๐‡๐’๐‚๐‡๐ˆ๐‹๐ƒ ๐๐€ ๐ƒ๐€๐•๐ˆ๐ƒ ๐Œ๐€๐˜๐„๐‘(๐ฆ๐ญ๐ฎ ๐š๐ฆ๐›๐š๐ฒ๐ž ๐‚๐ก๐š๐ญ๐†๐๐“ ๐ข๐ฅ๐ข๐ฆ๐ค๐š๐ญ๐š๐š) Thread...

๐ˆ๐…๐€๐‡๐€๐Œ๐” ๐…๐€๐Œ๐ˆ๐‹๐ˆ๐€ ๐˜๐€ ๐‘๐Ž๐“๐‡๐’๐‚๐‡๐ˆ๐‹๐ƒ ๐๐€ ๐ƒ๐€๐•๐ˆ๐ƒ ๐Œ๐€๐˜๐„๐‘(๐ฆ๐ญ๐ฎ ๐š๐ฆ๐›๐š๐ฒ๐ž ๐‚๐ก๐š๐ญ๐†๐๐“ ๐ข๐ฅ๐ข๐ฆ๐ค๐š๐ญ๐š๐š)

Thread...
THE CHAZIOO ๐Ÿ’Ž (@charleslwi89781) 's Twitter Profile Photo

Unakuta Demu unamuita mke wangu ghafla nae anakujibu usiniite mke wangu kama hujanioa , Kaka hyo n'gombe Ina depression ya kuolewa si mchezo ๐Ÿ˜‚.

Sina (@all_aresina) 's Twitter Profile Photo

Huyu Dame hakutaka tu belt alitaka kuthibitisha kuwa Donnie hakustahili nafasi aliyopata ๐Ÿ’€๐Ÿ’” kuna washikaji wako hivo pia

Huyu Dame hakutaka tu belt alitaka kuthibitisha kuwa Donnie hakustahili nafasi aliyopata ๐Ÿ’€๐Ÿ’” kuna washikaji wako hivo pia
Sina (@all_aresina) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ“Hii movie haikuandaliwa ili uelewe mara ya kwanza, iliandaliwa ili uirudie mara kadhaa ndipo uanze kuona ukweli ๐Ÿ‘€

๐Ÿ“Hii movie haikuandaliwa ili uelewe mara ya kwanza, iliandaliwa ili uirudie mara kadhaa ndipo uanze kuona ukweli ๐Ÿ‘€
IAmHaule (@iamhaule) 's Twitter Profile Photo

Bro, sikia โ€ฆ Hii dunia haingoji mtu yeyote Hii dunia haipendi watu wazembe Hii dunia inaheshimu matokeo, sio juhudi pekee Fanya kila uwezalo ujisimamishe Jitume hata pale unapochoka Usikae ukisubiri huruma ya watu Bro, usipojenga maisha yako โ€” maisha yatakujenga kwa mateso.

Sina (@all_aresina) 's Twitter Profile Photo

Kama ungepewa chance ya kuanza maisha upya ukiwa na akili uliyonayo sasa, ungekuwa tajiri au bado ungefanya makosa yale yale?

Coco love (@cocolovemimi) 's Twitter Profile Photo

Jumla na Rejarejaโ€ฆโ€ฆโ€ฆ.Delivery Service ipo ๐Ÿงท 500- 1 300-10 150-30 ๐ŸซกKaribuniโ€ฆโ€ฆ

Jumla na Rejarejaโ€ฆโ€ฆโ€ฆ.Delivery Service ipo
๐Ÿงท 500- 1
300-10
150-30
๐ŸซกKaribuniโ€ฆโ€ฆ
The Zinja (@drygha1) 's Twitter Profile Photo

Tabia kutaka kuelewa kila kitu itakupa stress kutokana hasira na mawazo. Wajinga wengi wana furaha na wananenepa kwa vile hawaumizi vichwa vyao kulewa kila jambo. Sometimes kuwa kama mjinga tu acha mengine yakupite

Sina (@all_aresina) 's Twitter Profile Photo

Watu wengi wanataka pesa, lakini hawataki stress inayokuja na hizo pesa๐Ÿ˜Ž Good Morning ๐ŸŒž kwa Happy Pasaka