Shangwe Operator (@alex_inyasi) 's Twitter Profile
Shangwe Operator

@alex_inyasi

Heavy Equipment Operator 💯

God is Good all the time🙏🙏

ID: 908528865378742272

calendar_today15-09-2017 03:12:15

778 Tweet

119 Followers

1,1K Following

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

“ Katika Maisha ukiwa na rafiki ambaye ukikosea au kuharibu jambo hawezi kukuonya wala kukuambia ukweli , huyu rafiki wa aina hii mchukulie kama adui wako mkubwa. Lakini kama yuko mtu ambaye sio rafiki lakini anaweza kuthubutu kukuambia ukweli wakati unakosea huyu mtu mkumbatie

SANUKAnaCHAPO (@chapo255) 's Twitter Profile Photo

"Kuna demu watu wakikuona nae wanajua kabisa wewe mgeni mitaa hiyo" Huu msemo kila nikiukumbuka nakaa kitaalamu sana😂😂

SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Tatizo ni kwamba kila mtu anadhani atafanikiwa maishani. Uhalisia mchungu ni kuwa haiwezekani kabisa wote tukatajirika. Nature ndio ilivyo!

SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Zaka hutoi Sadaka hutoi Dhabihu hutoi Malimbuko hutoi Rambi-rambi hutoi Wagonjwa husaidii Yatima & wajane husaidii Halafu unataka ufanikiwe ... we MPUMBAVU nini?

SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Nisikilize bro, nakwambia kitu ambacho nime-experience si mara 1 si mara 2 Kama unatokea maisha ya chini unakomaa kupanda juu, ipo siku 1 utaanguka Ukianguka nyanyuka, pangusa vumbi, endelea na safari—kibabe Unaweza hata kuanguka mara kumi,cha muhimu usikubali kubaki chini bro

Chris Mauki. PhD (@chris_mauki) 's Twitter Profile Photo

Kwenye migogoro ya ndoa kuna hekima za tofauti. Hekima ya kujua kipi muwashirikishe ndugu na kipi kibaki chenu binafsi. Hekima ya kujua endapo tutashirikisha ndugu nani tumwambie na nani tusimwambie. Sometimes mnamwambia ambaye badala ya kuwasaidia anawamwagia petroli #ChrisMauki

Kwenye migogoro ya ndoa kuna hekima za tofauti. Hekima ya kujua kipi muwashirikishe ndugu na kipi kibaki chenu binafsi. Hekima ya kujua endapo tutashirikisha ndugu nani tumwambie na nani tusimwambie. Sometimes mnamwambia ambaye badala ya kuwasaidia anawamwagia petroli #ChrisMauki
Lucas E. Malembo (@malembole) 's Twitter Profile Photo

In life you must live like mathematician to know time to subtract,divide, add and multipy your friends to be successful. #KilimoNiAjira2025

In life you must live like mathematician to know time  to subtract,divide, add and multipy your friends to be successful. #KilimoNiAjira2025
Esi Lovey Sebastian (@esilovey) 's Twitter Profile Photo

Kila UKISALI ombea JINA LAKO, Muombe Mungu abariki jina lako, Liitwe na Watu sahihi, Kwenye opportunities litajwe, Kwenye mabaya Liepukwe, Jina Lako likalinde vizazi vyako, Mwambie Mungu jina lako likapate Kibali, Neema na Upendeleo kwa kila atakaelisikia.. PRAY FOR YOUR NAME!!

Farhan Kihamu Jr (@fkihamu) 's Twitter Profile Photo

Ukinunua Gari ambalo Wamiliki waliopita walilitumia vibaya, unapaswa ukubali kuwa hutokuwa Dereva pekee wa gari hilo, Mafundi wataliendesha sana na watabaki nalo usiku mwingi Gereji ili walitengeneze, gari hilo litakuathiri kiuchumi na kiakili. Mbaya zaidi Wamiliki wa mwanzo

Ukinunua Gari ambalo Wamiliki waliopita walilitumia vibaya, unapaswa ukubali kuwa hutokuwa Dereva pekee wa gari hilo, Mafundi wataliendesha sana na watabaki nalo usiku mwingi Gereji ili walitengeneze, gari hilo litakuathiri kiuchumi na kiakili. 

Mbaya zaidi Wamiliki wa mwanzo
MalisaGJ (@malisagj_) 's Twitter Profile Photo

Dakika 3 za dhahabu za Askofu Jacob Mameo Ole Paulo, Mkuu wa KKKT, Dayosisi ya Morogoro. Sikiliza neno kwa neno, tena kwa utulivu. Anatema madini ambayo si rahisi kuyapata kwa viongozi wengine wa dini. Hakika hili ndio NENO KUU la IJUMAA KUU ya mwaka huu. Viongozi wakuu wa

LUSAJO (@sajo_mwaihabi) 's Twitter Profile Photo

Kwako ndugu yangu uliyekwama mahali, lakini kuna ndoto ndani yako inakusumbua. Soma kisa hiki mpaka mwisho, kuna mahali UTAVUKA LEO! Desemba mwaka jana, nilienda nyumbani kwetu kwa – Mzee Mwaihabi – kwa ajili ya likizo yangu na familia nzima ya mwaka. Na tulitamani sana kupata

Kwako ndugu yangu uliyekwama mahali, lakini kuna ndoto ndani yako inakusumbua. Soma kisa hiki mpaka mwisho, kuna mahali UTAVUKA LEO!

Desemba mwaka jana, nilienda nyumbani kwetu kwa – Mzee Mwaihabi – kwa ajili ya likizo yangu na familia nzima ya mwaka. 

Na tulitamani sana kupata
Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Ukiwa Focused and Locked in, kwenye vipaumbele vyako, chonde chonde usiruhusu mtu yoyote no matter how dear or loved they are kukuletea miyeyusho, distraction, au intention to bring you down. Kaa kwenye njia yako na uso wako wa mbuzi.