alex exaud (@alefun009) 's Twitter Profile
alex exaud

@alefun009

ID: 197818240

calendar_today02-10-2010 15:04:54

556 Tweet

250 Takipçi

2,2K Takip Edilen

Lockena (@lockena5) 's Twitter Profile Photo

Peter Msigwa Constitution has been defacto suspended usitake watu kufa you should think of plan B Legislature and Judiciary compromised and a tyrant executive. Just wait for the verdict. The magistrate refused to recuse himself at the request of the defendants conviction is certain isn’t it?

UNICEF Tanzania (@uniceftanzania) 's Twitter Profile Photo

Je wajua kwamba asilimia 20 ya watoto wenye ulemavu wa ngozi (albinism), wenye umri kati ya miaka 7-17 nchini TZ, hawajawahi kuhudhuria shule? Kila mtoto ana haki ya kwenda shule. #ForEveryChild, Opportunity

Je wajua kwamba asilimia 20 ya watoto wenye ulemavu wa ngozi (albinism), wenye umri kati ya miaka 7-17 nchini TZ, hawajawahi kuhudhuria shule?
Kila mtoto ana haki ya kwenda shule. 
#ForEveryChild, Opportunity
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Mwl Nyerere aliwahi kusema kuhusu kula nyama ya mtu.Nafananisha tukio la kuzuiliwa tamasha la Fiesta na tabia ya kula nyama ya mtu huwezi kuacha.bila kujali gharama na hasara,mda wa maandalizi,ubunifu. Haya yamefanywa kwa vyama vya Siasa mara nyingi sana tuko njia panda kama nchi

Pamela O'Donnell (@hcpamelao) 's Twitter Profile Photo

Thanks to Tanzanian authorities for clearing my air shipment within a week of it arriving. That's very fast compared to other countries!

Jeffrey Smith (@smith_jeffreyt) 's Twitter Profile Photo

#Tanzania: "Through local officials, Magufuli can use violence — while still being able to distance himself from an 'unruly local official' when necessary." washingtonpost.com/news/monkey-ca… Rachael McLellan

Zitto MwamiRuyagwa Kabwe (@zittokabwe) 's Twitter Profile Photo

Esther Matiko, Mbunge @ChademaMedia ana mtoto mdogo Lakini yupo Segerea. Mkt wa Taifa wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Freeman Mbowe umemsweka ndani. Umeagiza hadharani kuwa tutaishia magerezani, Ndio upendo wako huo? #TumechokaUKATILI. Sasa ni #KaziNaBata tu

AfricaDigest (@africlandpost) 's Twitter Profile Photo

Under Gaddafi, Libya's debt was 3% of GDP, after Gaddafi, it's over 40%, mostly owed to EU & US. Libya had free health care, free education, free housing and subsidies. All Libyans had Jobs and even imported workers from other parts of Africa. Now over 50% are jobless.

Under Gaddafi, Libya's debt was 3% of GDP, after Gaddafi, it's over 40%, mostly owed to EU & US. Libya had free health care, free education, free housing and subsidies. All Libyans had Jobs and even imported workers from other parts of Africa. Now over 50% are jobless.
Joel Osteen (@joelosteen) 's Twitter Profile Photo

The circumstances may look impossible. The medical report says, "Learn to live with the sickness; it’s permanent." God says, “Healing is coming. Wholeness is coming. The number of your days I will fulfill.”

Zitto MwamiRuyagwa Kabwe (@zittokabwe) 's Twitter Profile Photo

Viongozi wanaposhindwa kuwajibika kisiasa hupelekea nchi kuingia kwenye udikteta. Abdication of political responsibilities nourishes a countries way to dictatorship rule. #RETREAT

Viongozi wanaposhindwa kuwajibika kisiasa hupelekea nchi kuingia kwenye udikteta. Abdication of political responsibilities nourishes a countries way to dictatorship rule. #RETREAT
Suphian Juma Nkuwi (@suphianjuma) 's Twitter Profile Photo

Picha bora ya kufungia mwaka. Demokrasia Tanzania LAZIMA IREJESHWE kwa by hooks and crooks.. Tanzania deserves the best democratic air. NO MJADALA. Asanteni Viongozi wetu. Na sisi kwa nafasi zetu tupaze sauti bila woga kwa ajili ya uhai wa Tanzania yetu. Team #KaziNaBata 🔥🔥

Picha bora ya kufungia mwaka.
Demokrasia Tanzania LAZIMA IREJESHWE kwa by hooks and crooks..
Tanzania deserves the best democratic air. NO MJADALA.

Asanteni Viongozi wetu. Na sisi kwa nafasi zetu tupaze sauti bila woga kwa ajili ya uhai wa Tanzania yetu.

Team #KaziNaBata 🔥🔥
𝐌𝐢𝐥𝐢𝐧𝐠𝐚 (@fmilinga) 's Twitter Profile Photo

@kwanza_tv fastjet Viongozi Wa Serikali Hii Ya Awamu Ya Tano Wa Ajabu Sana. Mara Paaaaaap fastjet Wamekua Adui Wakubwa Wa Air Tanzania Ukitaka Mshumaa Wako Uwake Sio Lazima Uzime Wa Mwenzako #ChangeTanzania