Capo Dei Capi!! (@al4nses) 's Twitter Profile
Capo Dei Capi!!

@al4nses

Elpadrino

ID: 1345842500

calendar_today12-04-2013 03:02:08

31,31K Tweet

8,8K Takipçi

6,6K Takip Edilen

International Democracy Union (@idualliance) 's Twitter Profile Photo

🚨 The IDU strongly condemns the unlawful arrest and assault of CHADEMA's Amani Golugwa, en route to our Brussels Forum. Silencing opposition voices violates the core of democracy. We call for his immediate release and urge global pressure on Tanzania to uphold human rights.

🚨 The IDU strongly condemns the unlawful arrest and assault of CHADEMA's <a href="/amanigolugwa/">Amani Golugwa</a>, en route to our Brussels Forum. Silencing opposition voices violates the core of democracy. We call for his immediate release and urge global pressure on Tanzania to uphold human rights.
Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

JOKA LA KAKI. (Fasihi) Msanii wa sanaa ya uchoraji wa picha fikirishi Masoud Kipanya ametupa jiwe la fikra kwenye bongo za wanafasihi,kila mwenye kutazama apate tafsiri kwa kadiri ya uwezo wa ubongo wake. Mwalimu Boniface Jacob nimetafsiri hivi; 1.Joka la Kaki - hiki ni chama

JOKA LA KAKI.
(Fasihi)

Msanii wa sanaa ya uchoraji wa picha fikirishi Masoud Kipanya ametupa jiwe la fikra kwenye bongo za wanafasihi,kila mwenye kutazama apate tafsiri kwa kadiri ya uwezo wa ubongo wake.

Mwalimu Boniface Jacob nimetafsiri hivi;

1.Joka la Kaki - hiki ni chama
Saed Kubenea (@saed_kubenea) 's Twitter Profile Photo

CHADEMA imepoteza mwelekeo au wewe ndio umepoteza mvuto. Kama ulishindwa kuwa mbunge wakati wa Lowassa 2015 Mwanga, wakati majimbo 7 kati ya 9 ya Kilimanjaro yakienda CDM, utashinda ubunge kwa CHAUMA? Nimesimama paleee!

CHADEMA imepoteza mwelekeo au wewe ndio umepoteza mvuto. Kama ulishindwa kuwa mbunge wakati wa Lowassa 2015 Mwanga, wakati majimbo 7 kati ya 9 ya Kilimanjaro yakienda CDM, utashinda ubunge kwa CHAUMA? Nimesimama paleee!
Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Usiku huu Mei 16, 2025 Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Tanzania Taifa Mh. John Heche John Heche amehudhuria kikao cha viongozi na baadhi ya wanachama wa CHADEMA Family kata ya Bulyanhulu Jimbo la Msalala,Chadema Familia ina wanachama hai 250.

Usiku huu Mei 16, 2025
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo <a href="/ChademaTZ2/">Chadema Tanzania</a> Taifa Mh. John Heche <a href="/HecheJohn/">John Heche</a> amehudhuria kikao cha viongozi na baadhi ya wanachama wa CHADEMA Family kata ya Bulyanhulu  Jimbo la Msalala,Chadema Familia ina wanachama hai 250.
Chief Lumanyika (@chieflumanyika) 's Twitter Profile Photo

Huyu ndie Mtu wa kwanza kuyakataa madaraka kwa sababu ya hofu ya Mungu nchini Tanzania, Wengine mpaka apate kashfa ya rushwa ndio alazimishwe kujiuzulu, Lakini Dr Philipo Mpango ameomba kupumzika ili apate muda wa kumtumikia Mungu katika umri wake uliobakia duniani

Huyu ndie Mtu wa kwanza kuyakataa madaraka kwa sababu ya hofu ya Mungu nchini Tanzania, Wengine mpaka apate kashfa ya rushwa ndio alazimishwe kujiuzulu, Lakini Dr Philipo Mpango ameomba kupumzika ili apate muda wa kumtumikia Mungu katika umri wake uliobakia duniani
Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Kwenye kila fainali ya FA kabla ya mechi kuanza lazima uimbwe wimbo wa dini unaoitwa “Abide with me” yaani Kaa Nami. Wimbo huu huimbwa zaidi na madhebu ya Kiprotestant kama Anglican na Lutheran. Waingereza wamedumisha Utamaduni wa kuimba wimbo huu kwenye fainali kwa miaka 100.

Adv. Dickson Matata (@advmatata) 's Twitter Profile Photo

Nitoe wito kwa uongozi na mamlaka za uwanja wa ndege wa kimataifa wa JK Nyerere -Dar es Salaam kumwachia mwangalizi wa kimataifa toka Kenya Martha Karua SC ambaye wanaye tangu usiku wa kuamkia leo. Mh. Martha amekuja kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu kesho.

Nitoe wito kwa uongozi na mamlaka za uwanja wa ndege wa kimataifa wa JK Nyerere -Dar es Salaam kumwachia mwangalizi wa kimataifa toka Kenya <a href="/MarthaKarua/">Martha Karua SC</a> ambaye wanaye tangu usiku wa kuamkia leo. Mh. Martha amekuja kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu kesho.
Askofu Emmaus B Mwamakula (@emmausaskofu) 's Twitter Profile Photo

Nimesikiliza Press ya Boniface Jacob juu ya hali ya siasa ndani ya CHADEMA. Nimependa jinsi alivyokuwa fundi wa kuchagua maneno yasiyodhalilisha wengine bila kuficha ukweli anaoujua yeye. Ushuhuda wa mtu aliyeshuhudia mambo una nguvu sana katika jamii. Boni amesema ushuhuda wake!

Edwin Odemba (@chiefodemba) 's Twitter Profile Photo

Ila hii siku nilijikaza sana kucheka aisee, eti watajua wao kama ni Rushwa au laah ila pesa wanatupatia kila tukienda kwenye vikao, na waache kutoa waone kama kuna mtu ataenda kwenye mikutano yao, Mzee wa Ubwabwa bhana 😀😀.