A.K.Yusuf (@akyusuf12) 's Twitter Profile
A.K.Yusuf

@akyusuf12

dip(ed),BBA(Acct)&MBA(prosp)/thinker&Business consultant.

ID: 1075824880086597633

calendar_today20-12-2018 18:46:54

158 Tweet

134 Followers

533 Following

MIRIAM💜 (@miriammkanaka) 's Twitter Profile Photo

Mambo Ya kuepuka sana ukiwa kijana, 1.Excuses (kujitetea) 2.kutojiamini(lack of confidence) 3.hofu ya kufeli(fear of failure) 4.kuhairisha mambo (postpone) 5.enjoying people 6.negative thought(mawazo hasi)

Jakaya Kikwete (@jmkikwete) 's Twitter Profile Photo

Naungana na wananchi wenzangu wote kukumbuka mchango adhimu wa Hayati Abeid Amani Karume, Muasisi wa Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Muasisi wa Muungano, Rais wa kwanza wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Makamu wa Rais wa Tanzania. Tumuenzi daima kwa mchango wake uliotukuka.

fatma karume aka Shangazi (@fatma_karume) 's Twitter Profile Photo

Thank you Dr John Magufuli. Huyu mama kakupigia magoti kwa sababu ya SHIDA tu. Kwa kumueleza wakumpigia MAGOTI ni Mungu pekee umempa HESHIMA yake kama Binadamu na Mpiga Kura wako.

inno_bash (@innobash) 's Twitter Profile Photo

Kumuombea binadamu mwenzako apatwe na jambo baya siyo ubinadamu wala utu, bali ni zaidi ya unyama usiolezeka. Wote kwa imani zetu, tuombeane na tuendelee kutakiana amani na heri baina yetu. Huo ndio utu, huo ndio ubinadamu.

Dr. Hamisi Kigwangalla (@hkigwangalla) 's Twitter Profile Photo

Huwa mnasema viongozi wazuri wapuuze upuuzi wa washenzi wa Twitani. Mi leo sipuuzi. Nasema kitu. Mnaomtukuza Kigogo Media bado tu hamjapata somo? Hamuoni aibu? Twita tulipoingia iliaminiwa ni jukwaa la matured elites amongst us, kumbe nalo lina-feed on mediocrity! Aibu tupu.

Ummy Mwalimu (@ummymwalimu) 's Twitter Profile Photo

Chuma hichoo! Mwenyezi Mungu aendelee kukulinda na kukusimamia rais wetu mpendwa Dkt Dr John Magufuli . Tunakupenda na kukuombea kwa Mwenyezi Mungu kila lililo jema rais wetu.

Dr John Magufuli (@magufulijp) 's Twitter Profile Photo

Naitwa John Pombe Joseph Magufuli, mgombea kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ewe Mtanzania mwenzangu, naomba kura yako ya ndio tarehe 28/10/2020. Chagua Magufuli kwa maendeleo ya kweli ili tuendelee kujenga Tanzania mpya. Asante.

A.K.Yusuf (@akyusuf12) 's Twitter Profile Photo

PUMZIKA KWA AMANI BABA JOHN POMBE MAGUFULI UMELITIMIZA AGANO...TUTAKUKUMBUKA DAIMA UMEONDOKA MAPEMA SANA BABA,BADO TULIKUA TUNAKUHITAJI SANA,Umetenda yale yaliyo mema kwa Taifa hili...matendo yako yalikua nuru kwa Taifa,ikawa moto kwa wahalifu na wabaya wa Taifa hili.R.I.P@JPM

A.K.Yusuf (@akyusuf12) 's Twitter Profile Photo

Ulizaliwa mtanzania na umekufa mtanzania,hukuwahi kutusaliti watanzania na umetuacha ili tujifunze,jinsi ya kuishi na kuipenda nchi yetu ya ahadi,nuru yako ilifanya tuwaone na kuwajua wabaya wa Taifa hilinenda magufuli viatu vyako ni vikubwa sana,kuvivaa inahitaji rehema za Mungu

A.K.Yusuf (@akyusuf12) 's Twitter Profile Photo

John Pombe Joseph Magufuli..umetenda yaliyo mema,utakumbukwa kwa maono,ujasiri,uzalendo na imani iliyo kuu kwa Mungu wako,ulikua zaidi ya Kiongozi kwa Taifa hili la Tanzania,miaka mitano uliyosimama kama Rais wa Taifa hili,umelivusha pakubwa..R.I.P@JPM