Akili5000 (@akili5000) 's Twitter Profile
Akili5000

@akili5000

Shabiki Namba 1 Wa Yanga,
welcome to my Twitter account me @akili5000

ID: 1373367863424221187

calendar_today20-03-2021 20:16:40

40 Tweet

65 Followers

30 Following

Akili5000 (@akili5000) 's Twitter Profile Photo

Kwanza kabisa asante Mungu kwa zawadi ya uzima silipii kodi uhai wangu silipii chochote hivyo ni sababu ya kukushukuru Mungu kuna mengi tunapitia yanatuumiza mioyo yetu lakini Mungu unatufariji sana πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™ asante Mungu

Ujinga ni nini ujinga ni pale unakutana na boss kama gharib ukamlilia shida ya sijala sina nauli daaah hata shetani atakucheka mimi siwezi kukutana na boss gharib nikamlilia shida ya laki au milion 1 au 2 au 3 au 5 no boss mpelekee plan itakayokuingizia zaidiβœ…βœ…πŸ“ŒπŸ“Œ

Akili5000 (@akili5000) 's Twitter Profile Photo

Bahati mbaya siku hizi ukimsifia mtu akiwa hi unaonekana chawa ila ukimsifia akiwa amefariki watasema mbona haukumsifia akiwa hai 🀭🀭🀭🀭🀭🀭🀭🀭

Akili5000 (@akili5000) 's Twitter Profile Photo

Viongozi wa mpira kigoma ebu acheni upuuzi kuchanganya eti mashabiki wa simba na yanga wanakuja kuwasumbua usiku khaa hao watakua simba ndo wenye hofu koz hawajiamini tena mbele ya yanga sisi tunajiamini wenye muhaho ndo wanawasumbua hata kwa vikao vyao walisema kipigo kipo pale2

Akili5000 (@akili5000) 's Twitter Profile Photo

Kuna viongozi wa timu ya muhaho wanahangaika kuwatafuta wachezaji wa yanga ili wawarubuni kutaka kufanya ule upuuzi wao walio ufanya mwaka jana sekta shikalo ni mwaminifu wamegonga mwamba naomba wachezaji wote wawe waaminifu πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“Œ

Huu ni wakati sasa wachawi watoe elimu ya kupaa na ungo kwa kila mtanzania yaan kila mtz awe na kaungo kake ukitaka kutuma pesa unapaa sekunde 15 ushafika tandahimba unaacha kwa mhusika unarudi dar na ungo utumike kwajili ya kupeleka ama kwenda kuchukua pesa tu na si vinginevyo.

🀣🀣🀣🀣🀣 kumekucha kumekucha simba ni wachawi sana tumeona vitendo vyingi wakifanya uchawi tumeshuhudia paka uwanjani lkini pia wakivunja na nazi mchana kweupe ila tu muhira ba hezeye bhaga mwihangane abagabo turaje.

Kiujumla msimu ujao mchezaji bora atatoka yanga beki bora atatoka yanga mshambukiaji bora atatoka yanga kiatu kitakwenda yanga hat trick itoka yanga kocha bora atatoka yanga na na wadhamini bora watatoka yanga yes ndo nimesema

Kilicho muuma mo baada ya kustukia kua diamond aliimba eti manara anacheza mo anarukaruka bahati mbaya nae akarukaruka hapo ndo bundi alikoanzia hata ingekua yaani moo arukeruke kweli??

Sawa tujua wewe ndie tajiri sasa kwa nini hii mo faundation ikae kwenye makalio?? Unakuta Hata wa baba wa simba wana vaa huu mo msingi kwenye makalio yao 🀣 mo tuachie timu yetu.

Madalali wanajua kuna nyumba zinaitwa apartment moangaji anakuta kila kitu ndani na akiondoka anaondoka na alichoingia nacho tu haya ni majibu yangu kwenu wachambuzi

Namaanisha mpangaji ameondoka amaeondoka na kila kitu chake udambwiudambwi wote ameondoka nao wamebaki kufarijiana tu hajimanara kule alikua mpangaji ndo maana kauli alizokua nazitumia kule leo ziko yanga the return of champions

Mwacheni manara awape dozi kutwa mara3 maana kipindi yupo kwenu anaicharura yanga mlishangilia saivi kaja yanga mnahara kwa mdomo pokeeni upako wa hajimanara🀣🀣🀣🀣

Najiuliza tu kwa harakaharaka laiti kwamba kocha wa ulimwengu ndie angekua hana vigezo vya CAF ebu vuta picha kwa wale wachambuzi ingekuaje?? Mbona saivi saivi kina eng hersi kina senzo kina gsm wetu wangekua washakula majina ya kila aina🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Mnapoanza kusifia msisahau na zile pafyum kwenye vyumba vya kubadilishia hasa kipindi cha pili chunguza magoli yake yoote yalikua niya kipindi cha pili baada ya pafyum usinifunge lakin mhe 🀣🀣

Nimesikitishwa sana na kauli ya kiongozi wa kisiasa na naamini anatambua fika mchango wa club ya yanga katika taifa hili hivi zito amepata wapi nguvu ya kusema yanga ishushwe daraja ama ifutwe kabisa ndugu zangu hivi anajua namna yanga inasaidia kukuza uchumi ktk taifa hili?