๐‘จ๐’‰๐’Ž๐’‚๐’… ๐‘ฒ ๐‘น๐’–๐’ƒ๐’Š๐’ƒ๐’Š (@ahmadrubibi) 's Twitter Profile
๐‘จ๐’‰๐’Ž๐’‚๐’… ๐‘ฒ ๐‘น๐’–๐’ƒ๐’Š๐’ƒ๐’Š

@ahmadrubibi

๐‡๐ฎ๐ฆ๐š๐ง ๐‘๐ข๐ ๐ก๐ญ๐ฌ ๐ƒ๐ž๐Ÿ๐ž๐ง๐๐ž๐ซ |
๐‡๐ฎ๐ฌ๐ญ๐ฅ๐ž๐ซ | ๐…๐จ๐ฅ๐ฅ๐จ๐ฐ ๐ˆ๐ง๐ฌ๐ญ๐š๐ ๐ซ๐š๐ฆ ๐Ÿ‘‰ instagram.com/ahmadrubibi?igโ€ฆ

ID: 3196635863

linkhttps://www.clubhouse.com/@ahmadrubibi calendar_today23-04-2015 03:44:40

222,222K Tweet

1,1K Takipรงi

404 Takip Edilen

NTOBI (@ntobi_) 's Twitter Profile Photo

Kaka, hujui hata 1% niliyofanya Shinyanga nikiwa Diwani 2015-2020! Watu wa Shinyanga ndio wanafahamu na viongozi wako wa CDM. Kwa taarifa yako tu. Shinyanga NASHINDA misa ya kwanz, hata bila reforms yoyote, tumejenga Chama na Chama kipo hai kuliko mahali popote pale.

Kaka, hujui hata 1% niliyofanya Shinyanga nikiwa Diwani 2015-2020! 

Watu wa Shinyanga ndio wanafahamu na viongozi wako wa CDM. Kwa taarifa yako tu. 

Shinyanga NASHINDA misa ya kwanz,  hata bila reforms yoyote, tumejenga Chama na Chama kipo hai kuliko mahali popote pale.
Associate CPA Catherine Ruge (Msubhati) (@catherineruge) 's Twitter Profile Photo

Nakiri kupokea ujumbe mfupi kwa njia ya sms kutoka kwa Katibu Mkuu wa Chama MNYIKA John John kuhusu hatua iliyochukuliwa na Mwenyekiti wa Chama Taifa Tundu Antiphas Lissu kutengua nafasi yangu ya Mkuu wa Dawati la Jinsia la Chama. Naomba kueleza kwa kifupi kama ifuatavyo; Kanuni za Chama

Nakiri kupokea ujumbe mfupi kwa njia ya sms kutoka kwa Katibu Mkuu wa Chama <a href="/jjmnyika/">MNYIKA John John</a> kuhusu hatua iliyochukuliwa na Mwenyekiti wa Chama Taifa  <a href="/TunduALissu/">Tundu Antiphas Lissu</a> kutengua nafasi yangu ya Mkuu wa Dawati la Jinsia la Chama.

Naomba kueleza kwa kifupi kama ifuatavyo;

Kanuni za Chama
Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

โ€œNimeshitushwa na uamuzi wa Mwenyekiti wa Chama Taifa (Tundu Lissu) ambaye pia ni Mwanasheria nguli kukiuka misingi ya Katiba ya Chama chetu na misingi ya haki za Binadamu hasa haki ya kusikilizwaโ€ Catherine Ruge

โ€œNimeshitushwa na uamuzi wa Mwenyekiti wa Chama Taifa (Tundu Lissu) ambaye pia ni Mwanasheria nguli kukiuka misingi ya Katiba ya Chama chetu na misingi ya haki za Binadamu hasa haki ya kusikilizwaโ€ Catherine Ruge
NTOBI (@ntobi_) 's Twitter Profile Photo

Gazeti la Nipashe Tanzania hongereni kwa kuipa uzito unaustahili habari ya kutekwa , kupigwa na kufichwa kwa Mdude Nyagali. Mungu awabariki sana. Mdude ni baba wa familia, kaka, uncle na ana ndugu zake. Mdude si ngโ€™ombe wa kupotezwa na kusiwe na kishindo. Muachilieni Mdude, akapate

Gazeti la <a href="/Nipashetz/">Nipashe Tanzania</a> hongereni kwa kuipa uzito unaustahili habari ya kutekwa , kupigwa na kufichwa kwa <a href="/mdudenyagali/">Mdude Nyagali</a>. 

Mungu awabariki sana. Mdude ni baba wa familia, kaka, uncle na ana ndugu zake. Mdude si ngโ€™ombe wa kupotezwa na kusiwe na kishindo. Muachilieni Mdude, akapate
Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

"Leo CHADEMA imeamua kususia uchaguzi kwa maamuzi ya watu wachache, na jambo hili pasipo kujadilika na kupitishwa na kikao chochote cha ndani ya chama, na ikumbukwe na ninayeongea hapa mimi ni Mjumbe wa Kamati Kuu. Suasa la No Reform No Election lilizungumzwa, lakini kama Mjumbe

"Leo CHADEMA imeamua kususia uchaguzi kwa maamuzi ya watu wachache, na jambo hili pasipo kujadilika na kupitishwa na kikao chochote cha ndani ya chama, na ikumbukwe na ninayeongea hapa mimi ni Mjumbe wa Kamati Kuu. Suasa la No Reform No Election lilizungumzwa, lakini kama Mjumbe
Kigogo Media (@kigogo2014) 's Twitter Profile Photo

Hawa wanalipwa na hela za kuwalipa zinapitia kwa Maria ! Kuna mkakati wa kuelta virugu wakati wa uchaguzi na unafadhiliwa haswa