Adronic aloyce (@adronicalo68442) 's Twitter Profile
Adronic aloyce

@adronicalo68442

ID: 1728298741071814656

calendar_today25-11-2023 06:25:42

98 Tweet

158 Followers

561 Following

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Siku za nyuma nilialikwa kwenye kipindi Wasafifm kipindi kilitakiwa kuanza saa 12 asubuhi mpaka saa tatu. Nilikaa pale zaidi ya masaa mawili watu wakijizungusha tu bila taarifa rasmi. Niliingia kwenye kipindi kwa mda mfupi kuliko makubaliano yetu ya awali. Baadae niliambiwa

Siku za nyuma nilialikwa kwenye kipindi <a href="/wasafifm/">Wasafifm</a> kipindi kilitakiwa kuanza saa 12 asubuhi mpaka saa tatu.

Nilikaa pale zaidi ya masaa mawili watu wakijizungusha tu bila taarifa rasmi.

Niliingia kwenye kipindi kwa mda mfupi kuliko makubaliano yetu ya awali.

Baadae niliambiwa
Maulid Kitenge (@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

๐‡๐€๐‹๐… ๐“๐ˆ๐Œ๐„: #AFCON2023 ๐ŸŸ๏ธ Olympique Alassane Ouattara, Abidjan Ivory Coast ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ 0-0 ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ DR Congo Milango imekuwa migumu mpaka mapumziko katika dimba la Olympique Alassane Ouattara, Abidjan kati ya wenyeji, Ivory Coast dhidi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

๐‡๐€๐‹๐… ๐“๐ˆ๐Œ๐„: #AFCON2023

๐ŸŸ๏ธ Olympique Alassane Ouattara, Abidjan

Ivory Coast ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ 0-0 ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ DR Congo

Milango imekuwa migumu mpaka mapumziko katika dimba la Olympique Alassane Ouattara, Abidjan kati ya wenyeji, Ivory Coast dhidi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Maulid Kitenge (@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Iringa imemwachia huru Maria Ngoda aliyehukumiwa miaka 22 jela kwa kosa la kukutwa na vipande 12 vya nyama ya swala mnamo Novemba 3, 2023. Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT), Jokate Mwegelo ameeleza hayo na kubainisha kuwa Bi. Ngoda

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Iringa imemwachia huru Maria Ngoda aliyehukumiwa miaka 22 jela kwa kosa la kukutwa na vipande 12 vya nyama ya swala mnamo Novemba 3, 2023.

 Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT), Jokate Mwegelo ameeleza hayo na kubainisha kuwa Bi. Ngoda
Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Kiongozi mkuu wa Upinzani huko Russia na Mkosoaji mkubwa wa Rais Putin amefariki akiwa jela. Alexei Navalny aliwekewa sumu 2020 ila akapona, baadaye akakamatwa na kufungwa miaka 19 jela kwenye Gereza lenye mazingira magumu. Taarifa zinasema Rais Putin amekwisha pewa taarifa hii.

Kiongozi mkuu wa Upinzani huko Russia na Mkosoaji mkubwa wa Rais Putin amefariki akiwa jela. Alexei Navalny aliwekewa sumu 2020 ila akapona, baadaye akakamatwa na kufungwa miaka 19 jela kwenye Gereza lenye mazingira magumu. Taarifa zinasema Rais Putin amekwisha pewa taarifa hii.
Rastafarian culture (@ireneigora) 's Twitter Profile Photo

Ndio nimefika mjini daslam nimedaka tambo langu toka Samsung Mobile TZ noma sanaaaa sitoacha kushiriki chalenji hata nikiwa Rais ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

Ndio nimefika mjini daslam nimedaka tambo langu toka <a href="/SamsungMobileTz/">Samsung Mobile TZ</a> noma sanaaaa sitoacha kushiriki chalenji hata nikiwa Rais ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Fortunatus Buyobe (@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

"Ushaidi wote unaonekana, mtu unambiwa hana hatia.. niueni, niueni, bora nife" "Hakuna haki iliyotendeka maana ushaidi wote unaonesha mauji yalivyofanyika mwanzo mwisho ila wameamua maamuzi yao" "Kuanzia Arusha wanapaka rangi nyumba, upare wanapaka rangi nyumba, wanasema

"Ushaidi wote unaonekana, mtu unambiwa hana hatia.. niueni, niueni, bora nife"

"Hakuna haki iliyotendeka maana ushaidi wote unaonesha mauji yalivyofanyika mwanzo mwisho ila wameamua maamuzi yao"

"Kuanzia Arusha wanapaka rangi nyumba, upare wanapaka rangi nyumba, wanasema