Adamic jr (@adammtweve) 's Twitter Profile
Adamic jr

@adammtweve

=Former secretary of bavicha Ludewa =Member of @ChademaTz

My Instagram account 👇 👇👉
instagram.com/adamic_jr?igsh…

ID: 818674811782266880

calendar_today10-01-2017 04:24:20

1,1K Tweet

1,1K Takipçi

1,1K Takip Edilen

Necto Kitiga (@nectokitiga) 's Twitter Profile Photo

Tukutane KISUTU asubuhi hii kwaajili ya kesi ya UHAINI ya mwenyekiti wa chama chaifa mhe. Tundu Antiphas Lissu, Wahi mapema uweze kupata nafasi ya kuketi na kusikiliza kesi hii. #FreeTunduLissuNow

Tukutane KISUTU asubuhi hii kwaajili ya kesi ya UHAINI ya  mwenyekiti wa chama chaifa mhe. <a href="/TunduALissu/">Tundu Antiphas Lissu</a>, Wahi mapema uweze kupata nafasi ya kuketi na kusikiliza kesi hii. #FreeTunduLissuNow
Adamic jr (@adammtweve) 's Twitter Profile Photo

Tumchangie huyu mpambanaji Lulu ili anunue simu nyingine, simu yake aliyokuwa anatumia iko blocked. Ametoa namba hiyo baada ya mashabiki kuomba atoe namba wamchangie.

Tumchangie huyu mpambanaji Lulu  ili anunue simu nyingine, simu yake aliyokuwa anatumia iko blocked.
Ametoa namba hiyo baada ya mashabiki kuomba atoe namba wamchangie.
Rose Mayemba (@rose_mayemba) 's Twitter Profile Photo

Hii ndio maana halisi ya Uwakilishi wa wananchi sio hawa Misukule wa Rais, wanalipwa posho na Mishahara kwa kodi zetu halafu wanafanya kazi ya kupongeza na kupiga Makofi Bungeni. Mnavyoendelea kuchukua fomu huko mje mjifunze hapa kwa Makamu wetu Mwenyekiti John Heche alipokuwa

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

"Ndugu zangu, leo nimekuja hapa kuwashukuru lakini pia kuwaaga najua wengi mtajiuliza, wengine walinipigia simu, Aida tunasikia unahama, Aida tunasikia umeenda CCM, Aida tunasikia sijui unaenda wapi? Leo Aida mwenyewe nipo hapa. Nataka niwaambie mpaka leo nazungumza na ninyi ni

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

Hongera sana Aida Khenan kwa msimamo thabiti. CHADEMA tujivunia kuwa na Kiongozi mwenye msimamo thabiti kama wewe. Mungu akutunze.🙏

Rose Mayemba (@rose_mayemba) 's Twitter Profile Photo

Zab 64; 1. Usikie, ee Mungu, lalamiko langu; yalinde maisha yangu na vitisho vya maadui. 2. Unikinge na njama za waovu, na ghasia za watu wabaya. 4. Toka mafichoni wamshambulia mtu mnyofu, wanamshambulia ghafla bila kuogopa. 5. Wanashirikiana katika nia yao mbaya; wanapatana

Zab 64;
1. Usikie, ee Mungu, lalamiko langu;
yalinde maisha yangu na vitisho vya maadui.
2. Unikinge na njama za waovu,
na ghasia za watu wabaya.
4. Toka mafichoni wamshambulia mtu mnyofu,
wanamshambulia ghafla bila kuogopa.
5. Wanashirikiana katika nia yao mbaya;
wanapatana
Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

JIBU KWA MSEMAJI WA SERIKALI – TAARIFA YA KUPUUZA INAPUUZIKA Msemaji wa Serikali ametoa taarifa kwa umma akikanusha kuwepo kwa mpango wa kumdhuru kwa sumu Mhe. Tundu Antipas Lissu, ambaye kwa sasa anashikiliwa gerezani akisubiri hatima ya kesi yake. Hii ni taarifa ambayo kwa

JIBU KWA MSEMAJI WA SERIKALI – TAARIFA YA KUPUUZA INAPUUZIKA

Msemaji wa Serikali ametoa taarifa kwa umma akikanusha kuwepo kwa mpango wa kumdhuru kwa sumu Mhe. Tundu Antipas Lissu, ambaye kwa sasa anashikiliwa gerezani akisubiri hatima ya kesi yake. Hii ni taarifa ambayo kwa
Rose Mayemba (@rose_mayemba) 's Twitter Profile Photo

Wakati wabunge wa CCM kazi yao ni kupiga makofi tu Bungeni, kujipendekeza kwa Rais na kuishi kinafiki maisha yao yote. Huko Dubai hali ikoje? Msikilize John Heche Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tanganyika enzi zake akiwajibika Bungeni

Pascal Yohana Haonga (@haongahon) 's Twitter Profile Photo

Gambo,January,Ummy,Waitara,Mpina na wengineo tutaimba wimbo mmoja wa kudai reforms baada ya kura za maoni. Kizimkazi na mwenye kifua kipana hawawezi kuwaacha salama. Kuanzia sasa jifunzeni namna ya kusema"No reforms no election".

Gambo,January,Ummy,Waitara,Mpina na wengineo tutaimba wimbo mmoja wa kudai reforms baada ya kura za maoni.
Kizimkazi na mwenye kifua kipana hawawezi kuwaacha salama.
Kuanzia sasa jifunzeni namna ya kusema"No reforms no election".
Kevin Ndabila (@kevin_ndabila) 's Twitter Profile Photo

#HABARIPICHA Wananchi Mbalimbali waliofika katika Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya Kusikiliza Maamuzi Mdogo ya Kesi ya Mdude yanayopangwa kuamuliwa leo Julai 09,2025 Chini ya Jaji Mhe.Kalunde.

#HABARIPICHA 
Wananchi Mbalimbali waliofika katika Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya Kusikiliza Maamuzi Mdogo ya Kesi ya Mdude yanayopangwa kuamuliwa leo Julai 09,2025 Chini ya Jaji Mhe.Kalunde.
Deogratias Mahinyila (@advmahinyila) 's Twitter Profile Photo

Tukutane hapo baadae. Tutajadili mambo kinagaubaga. Hasahasa hili la NRNE tutalazimika kulijadili. Hakuna njia nyingine tofauti. Tutakuwepo.

Tukutane hapo baadae. Tutajadili mambo kinagaubaga. Hasahasa hili la NRNE tutalazimika kulijadili. Hakuna njia nyingine tofauti. Tutakuwepo.
Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

Tulianza na vyama vya upinzani vya uchaguzi, tukasonga mbele kuwa na vyama vya upinzani dhidi ya mfumo wa utawala wa CCM, lakini kwa masikitiko makubwa, leo tunashuhudia kurudi nyuma kwa kasi isiyo ya kawaida—tuko katika zama za vyama vya upinzani vinavyopinga upinzani. Hii ni

Tulianza na vyama vya upinzani vya uchaguzi, tukasonga mbele kuwa na vyama vya upinzani dhidi ya mfumo wa utawala wa CCM, lakini kwa masikitiko makubwa, leo tunashuhudia kurudi nyuma kwa kasi isiyo ya kawaida—tuko katika zama za vyama vya upinzani vinavyopinga upinzani. 

Hii ni