Masharikan ๐ŸŒŽ (@adambrv) 's Twitter Profile
Masharikan ๐ŸŒŽ

@adambrv

Untamed | Finding my IKIGAI | The World from African Eyes| DM for credit or media removal

ID: 619007804

calendar_today26-06-2012 12:03:04

65,65K Tweet

23,23K Takipรงi

2,2K Takip Edilen

Masharikan ๐ŸŒŽ (@adambrv) 's Twitter Profile Photo

Kama hujui Ligi Kuu Tanzania ndio Ligi maarufu na yenye thamani zaidi Afrika Mashariki kiasi kwamba kwa sasa ktk dirisha la usajili wachezaji Afrika nzima na makocha ndani/nje ya bara wanajadili/wanafikiri/wanatamani kuja nchini kujiunga Tunasonga sana!

Kama hujui
Ligi Kuu Tanzania ndio Ligi maarufu na yenye thamani zaidi Afrika Mashariki kiasi kwamba kwa sasa ktk dirisha la usajili wachezaji Afrika nzima na makocha ndani/nje ya bara wanajadili/wanafikiri/wanatamani kuja nchini kujiunga

Tunasonga sana!
Masharikan ๐ŸŒŽ (@adambrv) 's Twitter Profile Photo

Roma Vigumu sana kumkataa huyu jamaa kama mwanahiphop mzito sana wa Tanzania. Kwa vigezo vyovyote vile unavyoweka Yeye na Jaydee kwenye dude moja ni chuma juu ya chuma! Dayaspora. Ujumbe mzito sana. Sana!

Roma
Vigumu sana kumkataa huyu jamaa kama mwanahiphop mzito sana wa Tanzania. Kwa vigezo vyovyote vile unavyoweka

Yeye na Jaydee kwenye dude moja ni chuma juu ya chuma!

Dayaspora. Ujumbe mzito sana. Sana!
Masharikan ๐ŸŒŽ (@adambrv) 's Twitter Profile Photo

AzamTV Again, the biggest football broadcaster in East, Central and West Africa just spoilt the motherland and the world with the continent's BIGGEST preseason football parties! Nothing in African footbball comes close to #SimbaDay and #YangaDay

AzamTV
Again, the biggest football broadcaster in East, Central and West Africa just spoilt the motherland and the world with the continent's BIGGEST preseason football parties!

Nothing in African footbball comes close to #SimbaDay and #YangaDay
Masharikan ๐ŸŒŽ (@adambrv) 's Twitter Profile Photo

1 Dotto Biteko 2 Hussein Bashe 3 Mzanzibari au Mwanamke 4 Mchengerwa 5 Ridhiwani Kuna wawili hapo ni kete za watu kwenye chess ya siasa za Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

1 Dotto Biteko
2 Hussein Bashe
3 Mzanzibari au Mwanamke
4 Mchengerwa
5 Ridhiwani

Kuna wawili hapo ni kete za watu kwenye chess ya siasa za Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Joseph Kalimbwe (@joseph_kalimbwe) 's Twitter Profile Photo

a) As a Zambian, i pay $20 visa to enter DRC. A citizen of Belgium pays nothing to enter DRC b) A DRC citizen pays $20 to enter Zambia. A British citizen pays nothing to enter Zambia We are African neighbours charging each other into our lands, we let Europeans come in freely !

Masharikan ๐ŸŒŽ (@adambrv) 's Twitter Profile Photo

Opa Star. Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Utadhani kocha wake ni Samagoal .IQ .Mikimbio .Migeuko na mpira She cooking serious ball

Masharikan ๐ŸŒŽ (@adambrv) 's Twitter Profile Photo

Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ At last, someone spoke. Polepole just opened the Pandora box. Will that cause an avalanche? Time will tell ..... Polepole kaamua kuongea. Tuone kama uamuzi wake utaleta tsunami

Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ 
At last, someone spoke. Polepole just opened the Pandora box. Will that cause an avalanche? Time will tell
.....

Polepole kaamua kuongea. Tuone kama uamuzi wake utaleta tsunami
Tucker Carlson (@tuckercarlson) 's Twitter Profile Photo

You โ€œjust wonโ€™t take it anymoreโ€? Instead of issuing threats on social media, why donโ€™t you sit down for a rational interview on Jeffrey Epsteinโ€™s ties to the Israeli government? Weโ€™ll reach out to your office this morning.

Chay Bowes (@boweschay) 's Twitter Profile Photo

Germany, the country that gave us the Nazis, Two world Wars and the Holocaust, and the United Kingdom, who, through their "Empire," presided over the biggest mass murder, theft and criminal enterprise in history Are telling you Russia is your enemy?

Germany, the country that gave us the Nazis, Two world Wars and the Holocaust, and the United Kingdom, who, through their "Empire," presided over the biggest mass murder, theft and criminal enterprise in history 

Are telling you Russia is your enemy?
ACD MMA (@acdmma_) 's Twitter Profile Photo

this might be the one and only time in UFC history where somebodyโ€™s soul was taken in a fight he was never the same after this moment, inside and outside the cage

this might be the one and only time in UFC history where somebodyโ€™s soul was taken in a fight

he was never the same after this moment, inside and outside the cage
Masharikan ๐ŸŒŽ (@adambrv) 's Twitter Profile Photo

Tumetua mizigo Wenye macho tuliona mapema pale hamna kitu kutokana na kukosa ushindani wa maana kabisa msimu huu Simba Queens ijengwe upya kama Wanaume

Tumetua mizigo
Wenye macho tuliona mapema pale hamna kitu kutokana na kukosa ushindani wa maana kabisa msimu huu

Simba Queens ijengwe upya kama Wanaume
Masharikan ๐ŸŒŽ (@adambrv) 's Twitter Profile Photo

Wahuni wa nchi Wanakamua bila aibu! Mtumishi mstaafu mama mtu mzima maskini bila haya analipwa Sh. 6,000! Aisee Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ! Lord, help us. Mungu tusaidie