Masharikan 🌎 (@adambrv) 's Twitter Profile
Masharikan 🌎

@adambrv

Untamed | Finding my IKIGAI | The World from African Eyes| DM for credit or media removal

ID: 619007804

calendar_today26-06-2012 12:03:04

65,65K Tweet

23,23K Followers

2,2K Following

Masharikan 🌎 (@adambrv) 's Twitter Profile Photo

Kama hujui Ligi Kuu Tanzania ndio Ligi maarufu na yenye thamani zaidi Afrika Mashariki kiasi kwamba kwa sasa ktk dirisha la usajili wachezaji Afrika nzima na makocha ndani/nje ya bara wanajadili/wanafikiri/wanatamani kuja nchini kujiunga Tunasonga sana!

Kama hujui
Ligi Kuu Tanzania ndio Ligi maarufu na yenye thamani zaidi Afrika Mashariki kiasi kwamba kwa sasa ktk dirisha la usajili wachezaji Afrika nzima na makocha ndani/nje ya bara wanajadili/wanafikiri/wanatamani kuja nchini kujiunga

Tunasonga sana!