ACTwazalendoElimu
@actelimu
Official Account for Shadow Ministry of @ACTwazalendo for Education/Wizara Kivuli ya Elimu ya @ACTwazalendo
ID: 1530955112184795141
29-05-2022 16:52:14
44 Tweet
189 Takipçi
36 Takip Edilen
KILA LA KHERI KIDATO CHA NNE. ACTWazalendo inaungana na wazazi na Taifa letu kwa ujumla kuwatakia kila la kheri wanafunz wetu wote wa kidato cha nne wanaoanza mitihani yao kesho Nov14, 2022 Bahati Chirwa Naibu Msemaji Sekta ya Elimu-ACTwazalendo Dorothy Semu Wasemaji wa Kisekta
TUMEINGIA KATIKA 'SUK' KWA MASLAHI YA TAIFA - OTHMAN | matukiodaimamedia.co.tz/2023/02/tumein… @ACT_wazalendo1 ACTwazalendoElimu @ACTUpdates Asha Abdu Haji @ACTUpdates ACT Wazalendo UDSM Zitto MwamiRuyagwa Kabwe CHAMA CHA MAPINDUZI - Zanzibar @ChademaTz
"Tunataka rasilimali za nchi hii zisinufaishe watu wachache wa chama kimoja; sababu nchi hii si yao peke yao. Hapa Ikwiriri na Rufiji. Mikopo ya Halmashauri inayopaswa kupewa vijana inatolewa kwa ubaguzi, vijana ambao sio CCM hawapewi." Mwenyekiti wa Ngome ya vijana_Official Abdul Nondo 🇹🇿
"Leo hii utoaji wa elimu umekuwa si huduma, utoaji umekuwa bidhaa ghali sana." Mwenyekiti wa Ngome ya vijana_Official Abdul Nondo 🇹🇿 #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
"Watu ambao hawana ajira rasmi; kama vile wakulima, mamalishe, bodaboda, machinga nk. Tunapendekeza wawekewe mfumo wa kujiunga na Hifadhi ya Jamii, kisha moja miongoni mwa mafao watakayopata liwe la Bima ya Afya." Waziri Mkuu Kivuli Dorothy Semu #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
Siku kama ya leo alizaliwa Waziri Kivuli wetu wa Elimu, Ndugu Riziki S. Mngwali. Mungu ambariki, amjalie afya njema na mafanikio.
📍Dodoma Leo Mei 12, 2023 Waziri Mkuu Kivuli (katikati) Ndg. Dorothy Semu, akiwa katika Kongomano la Kitaifa la Sera na Mitaala ya Elimu, ameambatana na Waziri Kivuli wa Elimu, Ndg. Riziki S. Mngwali (Kushoto) na Mkuu wa Utafiti wa @barazakivuli ACT Wazalendo, Ndg Cde. Mshenga..
"Sera ya Elimu iseme wazi kuhusu ujumuishi katika ufundishaji na ujifunzaji upoje ili watu wenye ulemavu wasiachwe nyuma kwenye mchakato wa Elimu.Uhaba wa walimu wa makundi maalum na miundombinu jumuishi ni miongoni mwa masuala yanayoacha maswali" Waziri Mkuu Kivuli Dorothy Semu
"Sera ya Elimu inayopendekezwa na Serikali inaonyesha Kiingereza ndio chanzo cha maarifa. Mtazamo huu umejaa kasumba ya utumwa na fikra za kikoloni. Si kweli kwamba Kingereza ni chanzo kikuu cha maarifa katika kufundishia." Waziri Kivuli wa Elimu Riziki S. Mngwali

Kupitia Waziri Kivuli wa Elimu, Ndugu Riziki S. Mngwali, chama chetu kimetoa maoni yetu juu ya mustakabali wa elimu nchini. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
📍Geita Mjini Juni 4, 2023 "Kuna upungufu mkubwa wa walimu. Tunaitaka Serikali irudishe mfumo wa kuajiri walimu moja kwa moja na iajiri walimu elfu 30 kila mwaka." Naibu Waziri Kivuli wa Elimu Bahati Chirwa #TaifaLaWote #MaslahiYaWote