Abdulkarim (@abdulkarmyahya) 's Twitter Profile
Abdulkarim

@abdulkarmyahya

my prophet محمد (saw) my role model

ID: 970708601273815042

calendar_today05-03-2018 17:12:20

403 Tweet

1,1K Followers

3,3K Following

Adnan Kassim Kwangaya (@adnanikwangaya) 's Twitter Profile Photo

108. Wala msiwatukane wale ambao wanawaabudu (miungu) badala ya M/Mungu, wasije na wao wakamtukana M/Mungu kwa jeuri bila kujua. Namna hivyo tumewapambia kila umma vitendo vyao. Kisha marejeo yao yatakuwa kwa Mola wao, naye atawaambia waliyo kuwa wakiyatenda. (Al-An'aam)

61. Na lau kuwa Mwenyezi Mungu angeli wachukulia watu kwa mujibu wa maasi yao, basi asingeli mwacha hapa hata mnyama mmoja. Lakini anawaakhirisha mpaka muda ulio wekwa. Na unapo fika muda wao hawawezi kukawilia hata saa moja wala hawawezi kuutangulia. (Surat An-Nahl)

Zitto MwamiRuyagwa Kabwe (@zittokabwe) 's Twitter Profile Photo

Mimi na wagombea wenzangu katika MANISPAA ya Kigoma Ujiji tunaendelea na kazi ya kuomba Kura. Tunawaeleza Wananchi mafanikio ya miaka 5 na mambo gani tutayafanya miaka 5 inayokuja. Ushindi utakuwa mkubwa sana. Pia tunamwombea kura Mgombea Urais Tundu Lissu. Tutalinda kura zake

Mimi na wagombea wenzangu katika MANISPAA ya Kigoma Ujiji tunaendelea na kazi ya kuomba Kura. Tunawaeleza Wananchi mafanikio ya miaka 5 na mambo gani tutayafanya miaka 5 inayokuja. Ushindi utakuwa mkubwa sana. Pia tunamwombea kura Mgombea Urais Tundu Lissu. Tutalinda kura zake
Adnan Kassim Kwangaya (@adnanikwangaya) 's Twitter Profile Photo

20. Na tumewajaalia baadhi yenu wawe ni majaribio (mtihani) kwa wengine; je! Mtavumilia? Na Mola wako ni Mwenye kuona. (Surah Al-Furqan)