Adnan Kassim Kwangaya (@adnanikwangaya) 's Twitter Profile
Adnan Kassim Kwangaya

@adnanikwangaya

Qur'an & Hadith

ID: 1044205338885525507

calendar_today24-09-2018 12:42:07

2,2K Tweet

2,2K Followers

4,4K Following

Adnan Kassim Kwangaya (@adnanikwangaya) 's Twitter Profile Photo

3. Na waja wa Arrahman Mwingi wa Rehema ni wale wanao tembea ulimwenguni kwa unyenyekevu, na wajinga wakiwasemeza (maneno mabaya) hujibu: (maneno ya) Salama. 64. Na (waja wa Allah ni) wale wanao kesha kwa ajili ya Mola wao kwa kusujudu na kusimama. (Surah Al-Furqan)

3. Na waja wa Arrahman Mwingi wa Rehema ni wale wanao tembea ulimwenguni kwa unyenyekevu, na wajinga wakiwasemeza (maneno mabaya) hujibu: (maneno ya) Salama.

64. Na (waja wa Allah ni) wale wanao kesha kwa ajili ya Mola wao kwa kusujudu na kusimama. (Surah Al-Furqan)
Adnan Kassim Kwangaya (@adnanikwangaya) 's Twitter Profile Photo

74. Mola wetu! Tupe katika wake zetu na watoto wetu yaburudishayo macho (yetu) na utujaalie tuwe waongozi kwa wachamngu. (Surah Al-Furqan)

72. Na (waja wa Allah ni) wale ambao hawatoi ushahidi wa uwongo, na pindi wapitapo penye upuuzi, hupita kwa hishima yao. (Surah Al-Furqan)

20. Na tumewajaalia baadhi yenu wawe ni majaribio (mtihani) kwa wengine; je! Mtavumilia? Na Mola wako ni Mwenye kuona. (Surah Al-Furqan)

67. Na (waja wa Allah ni) wale ambao wanapo tumia hawatumii kwa fujo wala hawafanyi ubakhili, bali wanakuwa katikati baina ya hayo. (Surah Al-Furqan)

62. Na (Allah) ndiye aliye fanya usiku na mchana kufuatana kwa nafuu ya yule anaye taka kukumbuka au kwa anaye taka kushukuru. (Surah Al-Furqan)

89. Watakao kuja na mema, watapata bora kuliko hayo. Nao watasalimika na mahangaiko ya Siku hiyo. 90. Na watakao kuja na uovu, basi zitasunukishwa nyuso zao Motoni. (Waambiwe): Kwani mnalipwa isipo kuwa mliyo kuwa mkiyatenda? (Surah An-Naml)

89.  Watakao kuja na mema, watapata bora kuliko hayo. Nao watasalimika na mahangaiko ya Siku hiyo.

90.  Na watakao kuja na uovu, basi zitasunukishwa nyuso zao Motoni. (Waambiwe): Kwani mnalipwa isipo kuwa mliyo kuwa mkiyatenda? (Surah An-Naml)
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Sasa kama kweli Dr John Magufuli na close circle washajichanja kabla ya wafanyakazi wa afya basi mjue tuna shida kubwa - maana huku anatuambia tuachane na chanjo eti wazungu hawatutakii mazuri! 🙄 Ila yote yatakuja kujulikana! #TutaelewanaTu