ABUU HUMAYDI..... ๐Ÿ“œ (@abduldutch2) 's Twitter Profile
ABUU HUMAYDI..... ๐Ÿ“œ

@abduldutch2

๐Ÿ’ญ If the plan doesn't work, change the plan, but never the goal
#GameOn

ID: 1715105124417257472

calendar_today19-10-2023 20:38:52

573 Tweet

347 Followers

139 Following

Abuu Juwairiyyah (@wabukadan) 's Twitter Profile Photo

KURUDI KATIKA MAASI BAADA YA RAMADHANI INAJULISHA KWAMBA HUJASAMEHEWA NA MATENDO YAKO YA RAMADHANI HAYAJAKUBALIWA!* ๐Ÿ“™Mzungumzaji: Sheikh Swaalih Fauzaan Al-Fauzaan ุญูุธู‡ ุงู„ู„ู‡ ๐ŸŽคTarjama: Ustadh Abuu Hudhayfah Abdulkarim Daud Jaabir ุญูุธู‡ ุงู„ู„ู‡

NGONYANI JR๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@ibrahimngonyan) 's Twitter Profile Photo

TAARIFA YA KIFO SHEIKH WETU NA IMAAM WA MASJID UMAR IBN KHATWAAB KARIAKOO SHEIKH ABDALLAAH SERA AMEFARIKI JENEZA LITASWALIWA LEO BAADA YA SWALA YA AL-ASWR ุฅู†ุง ู„ู„ู‡ ูˆุฅู†ุง ุฅู„ูŠู‡ ุฑุงุฌุนูˆู† SAUTI YA SHEIKH WETU AKISWALISHA๐Ÿ‘‡

msngi. (@abusumayyah_o) 's Twitter Profile Photo

DOLA YA #OTTOMAN MASUFY HAIKUANGUSHWA NA SAUDIA๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฆ ๐ŸซดWALIANGUKA WENYEWE KWAKUA HAWAKUA WATU WA TWEHEED ๐Ÿ–๐ŸŒถ๐Ÿ‘€ ๐Ÿ”น๏ธNI MASUFY NA WANAAABUDU MAKABURI NI WAFU NA USHIRIKINA KIBAO ALLAH ALIONDOA DOLA YAO KWASABABU YA KUSHIRIKISHA ALLAH Waabudu makaburi wale , uturuki walikua

NGONYANI JR๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@ibrahimngonyan) 's Twitter Profile Photo

Hii KITU najua Waislamu wengi wanaogopa kuretweet lkn Hii n hatari mno Kwa Waislamu Ikumbukwe ikiwa hv bas Waislamu hawastahili kufanya kaz serikalin maana Kunyoa NDEVU kiislamu n Haram Kuvaa kanzu na kufuga NDEVU sio kuvunja maadil Wanawake wanavaa nguo za kubana makazini

Msouth small trader Herbโ€™s (@msouthherbs) 's Twitter Profile Photo

๐—ฃ๐—ข๐—ฆ๐—ง ๐—ญ๐—” ๐—ž๐—œ๐—™๐—ข ๐—›๐—”๐—ญ๐—œ๐—ฃ๐—˜๐—ก๐——๐—ช๐—œ HAZIPATI LIKES WALA COMMENTS KAMA POST NYINGINE, BALI BAADHI YA WATU HUAMINI, AKILAIKI AU KUKOMENT kwenye post ya KIFO ATAJICHULIA (atakufa ghafla) Sio kweliโŒ๏ธ, Kifo ni haki ya kila mtu na kila kilichoumbwa chenye NAFSI KITAKUFA....

๐—ฃ๐—ข๐—ฆ๐—ง ๐—ญ๐—” ๐—ž๐—œ๐—™๐—ข ๐—›๐—”๐—ญ๐—œ๐—ฃ๐—˜๐—ก๐——๐—ช๐—œ
HAZIPATI LIKES WALA COMMENTS KAMA POST NYINGINE, BALI BAADHI YA
WATU HUAMINI, AKILAIKI AU KUKOMENT kwenye post ya KIFO ATAJICHULIA (atakufa ghafla)
Sio kweliโŒ๏ธ, Kifo ni haki ya kila mtu na kila kilichoumbwa chenye NAFSI KITAKUFA....
ุงุจูˆ ุณู…ูŠุฉ (@abuusumayyah10) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡ฎ ๐Ÿ‡ท ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ ๐Ÿ‡น ๐Ÿ‡ฟ Nguzo ya 1 shahada Mashia wanashahada tatu ambayo wanamtukuza Ally ibn Abii twaalib (Allah amridhie) 2. Swala Swala zao wanazikusanya kwa pamoja Dhuhr na Alasir na Maghrib na Isha bila udhuru wa kisheria 3. Zaka Kipaumbele ni kwenye khums yaani 1/5 ya mali Sehemu ya zaka

ABUU HUMAYDI..... ๐Ÿ“œ (@abduldutch2) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ“Œ *Israel* ni taifa la Kiyahudi ambalo linaendelea kufanya *mauaji ya kinyama dhidi ya Waislamu wa Palestina hadi leo.* ๐Ÿ’” *Waislamu tunateseka kwa mikono ya mataifa haya mawili โ€” kwa sababu wote hawafuati Qur'an wala Sunnah!*

ABUU HUMAYDI..... ๐Ÿ“œ (@abduldutch2) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ›‘ *Tusipoteze mwelekeo kwa kujiunga au kushabikia upande wowote kati yao.* ๐ŸŽฏ *Lengo letu ni moja:* *Kurudi kwa Qurโ€™an, Sunnah, Umoja, na kusaidiana kwa haki.* ๐ŸŒŸ *Alhamdulillah* sisi ni Waislamu wa haki โ€” tuna Dini iliyo kamili, yenye mwanga, yenye heshima na msimamo.

ABUU HUMAYDI..... ๐Ÿ“œ (@abduldutch2) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ•Œ *Tuwe na msimamo thabiti wa Kiislamu, tusiyumbishwe!* *Dini yetu haitegemei Wairani wala Waisraeli โ€” bali Qur'an na Sunnah!* ๐Ÿ“ข *WAISLAMU AMKENI!* ๐Ÿšซ *Usifurahi kwa dhulma ya Iran wala Israel!* โœ… *Simama na Uislamu โ€” kwa Elimu, Umoja, na Duโ€™a!*

ุฃุฎุจุงุฑ ู…ู†ุทู‚ุฉ ุงู„ู…ุฏูŠู†ุฉ ุงู„ู…ู†ูˆุฑุฉ (@news_almadinah) 's Twitter Profile Photo

ุฌู…ูˆุน ุงู„ู…ุตู„ูŠู† ุจู€ #ุงู„ู…ุณุฌุฏ_ุงู„ู†ุจูˆูŠ ุชุดูŠุน ุงู„ุนู„ุงู…ุฉ ูุถูŠู„ุฉ ุงู„ุดูŠุฎ ุฃ.ุฏ. #ุฑุจูŠุน_ู‡ุงุฏูŠ_ุงู„ู…ุฏุฎู„ูŠ ุฅู„ู‰ ุจู‚ูŠุน ุงู„ุบุฑู‚ุฏ

msngi. (@abusumayyah_o) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ•Œ *MARKAZ PONGWE*๐Ÿ•Œ *FAIDA ZA SHEIKH WETU MLEZI ABUL FADHIL KASSIM MAFUTA KASSIM-ALLAH AMUHIFADHI.* *AMESEMA SHAYKH ABUL FADHLI KASSIM MAFUTA KASSIM ALLAH AMUHIFADHI.* "Baadhi ya waandishi wa Kishia wenye uwezo wa kutafiti mambo kwa kina, walipolifanyia utafiti jambo hili (