Boharia. (@abckatson) 's Twitter Profile
Boharia.

@abckatson

@Pharmaceutical technician , @Simba SC fan,Manchester United fan& R.Madrid fan✨,footballer⚽

ID: 1363077879823806466

calendar_today20-02-2021 10:48:07

28,28K Tweet

3,3K Followers

5,5K Following

KIJANAMWEUPE. (@dullahicon) 's Twitter Profile Photo

Kuna manzi aliniomba bando nikamwambia wakala amtuumie 3k,yule manzi kaniuliza wewe ndo umenitumia? Nikamjibu ndio.Wakala ndo anakuja apa anataka nimpe 30k kuwa alimtumia, hapa wanangu mpaka nguvu za kiume zimekata kmk sijui nifanyaje ushauri wenu 🥹🥹🥹 na manzi kazima simu kmk

MVUVINYASA (@senior_ahoua) 's Twitter Profile Photo

Leo ni siku ya kumshukuMungu wetu wa mbinguni kwa mapenzi yake kwetu,, Heri ya we wenye Moyo safi kwa Maana ufalme wa Mbingu ni wao. Good Morning Tanzania.

wezzey (@kasimuabuu98) 's Twitter Profile Photo

Kuwa na muandiko mzuri haina maana na kichwani yupo smart, uzuri wa nje usikudanganye ukaingia kwenye mitego ya kuharibu mfumo wako. Blessed Sunday to you buddies.

OfisaHovyo (@wahovyo_hq) 's Twitter Profile Photo

Siwafichi kuna muda unaeza ona umerogwa, kitendo cha kupata HELA tu. Gesi inaisha Sukari imekata Mchele umebaki kikombe tu Unga nao wa kuishia Bili za maji hizo apo Luku nayo imeisha Demu wako anataka kusuka Oy ilimradi tafarani, kwa ground vita ni kubwa sana 😢

AM💡 (@tonnyunfiltered) 's Twitter Profile Photo

Mambo 3 ya kuzingatia. 1. Kutafuta pesa. 2. Akili na afya 3.kutengeneza maisha. Mambo mengine mengi ni kelele tu na yanapoteza muda na kukutoa kwenye mfumo. Good morning, brothers and sisters

official bishoo mtafutaji🇹🇿 (@bishomtafutaji) 's Twitter Profile Photo

Wakati Mwingine Matatizo Yanakuja Kwa Ajili Ya Kuwaondoa Watu Ambao Siyo Waaminifu Kwako, Kwahiyo Usiogope Kuwa Peke Yako, Sababu Baada Ya Matatizo Kupita Utapata Watu

Being 6 💊💉🌡️🩺 (@tinaarys) 's Twitter Profile Photo

Yohana 12:24 Amin, amin, nawaambia, Chembe ya ngano isipoanguka katika nchi, ikafa, hukaa hali iyo hiyo peke yake; bali ikifa, hutoa mazao mengi. Good morning to you familia 💛

Malkia Nyuki 👑 (@nyuki_malkia) 's Twitter Profile Photo

Men, ukilala na demu sio mke wako hakikisha baada tu ya kumwaga unafanya jambo moja kati ya haya😀 1. Unaenda mwenyewe bafuni kujisafisha 2. Hakuna kufutwa na kitambaa cha huyo demu 3. Lala baada ya kuona shahawa zimekauka zenyewe

Men, ukilala na demu sio mke wako hakikisha baada tu ya kumwaga unafanya jambo moja kati ya haya😀

1. Unaenda mwenyewe bafuni kujisafisha

2. Hakuna kufutwa na kitambaa cha huyo demu 

3. Lala baada ya kuona shahawa zimekauka  zenyewe
Boharia. (@abckatson) 's Twitter Profile Photo

Leo Ndio Nimemaliza kusoma Biblia Na hakuna kijana Aliwahi kulelewa na Lishangazi Nyie Hii Tabia mmeipata wapi!? 😆 Good morning Watu Wa Mungu 🤝