OfisaHovyo (@wahovyo_hq) 's Twitter Profile
OfisaHovyo

@wahovyo_hq

Sote ni waja wa Allah na sote kwake ni lazima tutarejea,Tumuombe Allah atupe mwisho mwema 🙏

ID: 1469582898290466822

calendar_today11-12-2021 08:20:57

76,76K Tweet

6,6K Takipçi

2,2K Takip Edilen

OfisaHovyo (@wahovyo_hq) 's Twitter Profile Photo

Siwafichi kuna muda unaeza ona umerogwa, kitendo cha kupata HELA tu. Gesi inaisha Sukari imekata Mchele umebaki kikombe tu Unga nao wa kuishia Bili za maji hizo apo Luku nayo imeisha Demu wako anataka kusuka Oy ilimradi tafarani, kwa ground vita ni kubwa sana 😢