LULU FM RADIO(@_lulufmradio) 's Twitter Profileg
LULU FM RADIO

@_lulufmradio

ID:1295248915277783045

linkhttp://www.lulufm.co.ke calendar_today17-08-2020 06:39:58

8,1K Tweets

1,2K Followers

24 Following

Follow People
LULU FM RADIO(@_lulufmradio) 's Twitter Profile Photo

na Paaaps Mkare inaanza sasa! Timu yako ilishinda kombe msimu huu ama ilienda Cup less kama Arsenal? Nambie unakamata nambari ngapi leo kupitia SMS 0727500511 au Nipigie kwenye 0727499744

#LuluViwanjani na Paaaps Mkare inaanza sasa! Timu yako ilishinda kombe msimu huu ama ilienda Cup less kama Arsenal? Nambie unakamata nambari ngapi leo kupitia SMS 0727500511 au Nipigie kwenye 0727499744
account_circle
LULU FM RADIO(@_lulufmradio) 's Twitter Profile Photo


Sasa mbona niku-introduce kwa rafiki yangu alafu wewe ndio ujifanye beshte zaidi linakupatia wapi? Zungumza nami kupitia nambari Sms 0727500511 Calls in 0727499744

#ChangamkaNaBintiUmazi Sasa mbona niku-introduce kwa rafiki yangu alafu wewe ndio ujifanye beshte zaidi #Vybelakazi linakupatia wapi? Zungumza nami kupitia nambari Sms 0727500511 Calls in 0727499744
account_circle
LULU FM RADIO(@_lulufmradio) 's Twitter Profile Photo

na @Kazungu Tumaini Unadhani wazazi wanaweza vipi kuwapa motisha watoto wao kuendeleza masomo yao na kuboresha viwango vya elimu? @digiredio @cbcc_africa @unicef_kenya Ministry Of Education

#Mkao na @Kazungu Tumaini #MakalaYaTumaini Unadhani wazazi wanaweza vipi kuwapa motisha watoto wao kuendeleza masomo yao na kuboresha viwango vya elimu? @digiredio @cbcc_africa @unicef_kenya @MoEducationKE
account_circle
LULU FM RADIO(@_lulufmradio) 's Twitter Profile Photo

Leo ni pambio kwenye , huyu tumpe zake ngapi kwenye x/10? Mc King'ori umefuatilia ukoo wa huyu ndugu, hilo jina la mwisho....

account_circle
LULU FM RADIO(@_lulufmradio) 's Twitter Profile Photo

Ni vitu gani wewe hupenda unapokuwa umehudhuria MKESHA za kanisani? Mkesha huu wa REVIVE MY WORSHIP utaanza rasmi 8pm mpaka chee! Uko pale JCC Malindi. Team LULU FM RADIO tutakuwepo, wewe je?

Ni vitu gani wewe hupenda unapokuwa umehudhuria MKESHA za kanisani? Mkesha huu wa REVIVE MY WORSHIP utaanza rasmi 8pm mpaka chee! Uko pale JCC Malindi. Team LULU FM RADIO tutakuwepo, wewe je? #LuluFm
account_circle
LULU FM RADIO(@_lulufmradio) 's Twitter Profile Photo


Mida ya kujinice na ndio sasa ,nambie ni tabia gani au mambo gani kitambo haikua kawaida kabisa ila sasa ni mazoea. Sema nami kupitia SMS 0727500511 Calls in 0727499744

#ChangamkaNaBintiUmazi Mida ya kujinice na #Vybelakazi ndio sasa ,nambie ni tabia gani au mambo gani kitambo haikua kawaida kabisa ila sasa ni mazoea. Sema nami kupitia SMS 0727500511 Calls in 0727499744
account_circle
LULU FM RADIO(@_lulufmradio) 's Twitter Profile Photo


Je unakubaliana na usemi wa Naibu wa Raisi kwamba mapato ya nchi yagawanywe kulingana na idadi ya watu(One man-One Vote-One Shiling)

#BungeLaMwananchi Je unakubaliana na usemi wa Naibu wa Raisi kwamba mapato ya nchi yagawanywe kulingana na idadi ya watu(One man-One Vote-One Shiling)
account_circle
LULU FM RADIO(@_lulufmradio) 's Twitter Profile Photo


Utafiti umebaini kuwa wanaume wengi hawatii bidii katika mapenzi na wake zao na badala yake wanatia bidii kutafuta chakula kwa ajili ya familia zao. Unakubaliana na utafiti huu rafiki?

#Utafiti Utafiti umebaini kuwa wanaume wengi hawatii bidii katika mapenzi na wake zao na badala yake wanatia bidii kutafuta chakula kwa ajili ya familia zao. Unakubaliana na utafiti huu rafiki?
account_circle
LULU FM RADIO(@_lulufmradio) 's Twitter Profile Photo

Umejitayarisha vipi kuhusu kuhudhuria hii kesha ya REVIVE MY WORSHIP pale JCC Malindi? Tunakutarajia rafiki, Lulu Fm Radio pia itakuwepo! Usikose

Umejitayarisha vipi kuhusu kuhudhuria hii kesha ya REVIVE MY WORSHIP pale JCC Malindi? Tunakutarajia rafiki, Lulu Fm Radio pia itakuwepo! Usikose
account_circle
LULU FM RADIO(@_lulufmradio) 's Twitter Profile Photo

na @Kazungu Tumaini Karibu Tuangazie matukio ya siku ya leo. Unategea ukiwa maeneo gani? Zungumza nami kupitia SMS/WhatsApp 0727-500-511

#Mkao na @Kazungu Tumaini Karibu Tuangazie matukio ya siku ya leo. Unategea ukiwa maeneo gani? Zungumza nami kupitia SMS/WhatsApp 0727-500-511
account_circle
LULU FM RADIO(@_lulufmradio) 's Twitter Profile Photo


Unazungumziaje pendekezo kwenye bajeti ya mwaka 2024/2025 kuondoa programu ya chakula cha mchana shuleni. Usemi wako ni upi?

#Hamasika Unazungumziaje pendekezo kwenye bajeti ya mwaka 2024/2025 kuondoa programu ya chakula cha mchana shuleni. Usemi wako ni upi?
account_circle
LULU FM RADIO(@_lulufmradio) 's Twitter Profile Photo


lakupatia wapi leo, hii tabia ya mtu kukwambia eti leo wakaa vizuri wewe unachukuliaje? Zungumza nami kupitia nambari Sms 0727500511 Calls in 0727499744

#ChangamkaNaBintiUmazi #VybeLaKazi lakupatia wapi leo, hii tabia ya mtu kukwambia eti leo wakaa vizuri wewe unachukuliaje? Zungumza nami kupitia nambari Sms 0727500511 Calls in 0727499744
account_circle
LULU FM RADIO(@_lulufmradio) 's Twitter Profile Photo


Baada ya baadhi ya kikundi cha ambassador of Christ choir kupata ajali 2011 ambapo wanachama 3 waliaga dunia na 4 kujeruhiwa, kikundi hicho kimepoa ila bado kipo kinaimba!

#Mulika Baada ya baadhi ya kikundi cha ambassador of Christ choir kupata ajali 2011 ambapo wanachama 3 waliaga dunia na 4 kujeruhiwa, kikundi hicho kimepoa ila bado kipo kinaimba!
account_circle