LULU FM RADIO (@_lulufmradio) 's Twitter Profile Photo

#JUZAJUZA Rais Ruto kumbe ni Kwaya Master kwao? Rafiki Je ulikuwa wajua kwamba Rais Ruto ni muunini wa kanisa la African Inland Church, na kuhudumu kama kingozi wa kwaya katika kijijini chao?

#JUZAJUZA
Rais Ruto kumbe ni Kwaya Master kwao? Rafiki Je ulikuwa wajua kwamba Rais Ruto ni muunini wa kanisa la African Inland Church, na kuhudumu kama kingozi wa kwaya katika kijijini chao?
LULU FM RADIO (@_lulufmradio) 's Twitter Profile Photo

#JUZAJUZA Mswada wa fedha 2024 ndio mswada wa kwanza katika historia ya Kenya kuwai kuondolewa kupitia maandamano,huu ni mswada ambao umezungumziwa sana kitaifa katika historia ya nchi?

#JUZAJUZA
Mswada wa fedha 2024 ndio mswada wa kwanza katika historia ya Kenya kuwai kuondolewa kupitia maandamano,huu ni mswada ambao umezungumziwa sana kitaifa katika historia ya nchi?
LULU FM RADIO (@_lulufmradio) 's Twitter Profile Photo

#Juzajuza Je unajua kuwa mtoto wa binadamu ana mifupa 99 zaidi kuliko mtu mzima. Baadhi ya mifupa inaunganika kadri mtoto anavyokua, hivyo idadi inapunguwa!

#Juzajuza
Je unajua kuwa mtoto wa binadamu ana mifupa 99 zaidi kuliko mtu mzima. Baadhi ya mifupa inaunganika kadri mtoto anavyokua, hivyo idadi inapunguwa!
LULU FM RADIO (@_lulufmradio) 's Twitter Profile Photo

#Juzajuza Je unajua ya kwamba technolojia ya Bluetooth jina hilo Lilitokana na mfalme aliyeitwa Herald Bluetooth ambaye alisifika kwa kuyaunganisha mataifa.

#Juzajuza
Je unajua ya kwamba technolojia ya Bluetooth jina hilo Lilitokana na mfalme aliyeitwa Herald Bluetooth ambaye alisifika kwa kuyaunganisha mataifa.
LULU FM RADIO (@_lulufmradio) 's Twitter Profile Photo

#Juzajuza Je rafiki, ulijuwa mbuzi ndio mnyama wa kwanza kufugwa na mwanadamu? Wewe peke yako, umewahi kufuga mnyama gani ama hii mambo ya mifugo tuachie wakulima

#Juzajuza 
Je rafiki, ulijuwa mbuzi ndio mnyama wa kwanza kufugwa na mwanadamu? Wewe peke yako, umewahi kufuga mnyama gani ama hii mambo ya mifugo tuachie wakulima

#Juzajuza Je unajua kuna mimea ambayo hula wadudu kama huu hapa unaitwa ’Cobra Lily’ mti huu hula wadudu na wanyama wadogo wadogo. Rafiki huu mmea unaitwaje kikwenu?

#Juzajuza
Je unajua kuna mimea ambayo hula wadudu kama huu hapa unaitwa ’Cobra Lily’ mti  huu hula wadudu na wanyama wadogo wadogo. Rafiki huu mmea unaitwaje kikwenu?
LULU FM RADIO (@_lulufmradio) 's Twitter Profile Photo

#JUZAJUZA Je unajua Diana Armstrong anashikilia rekodi ya mwenye kucha ndefu zaidi ulimwenguni.Kucha zake ni fiti 42, sawia na urefu wa basi la shule.

#JUZAJUZA
Je unajua Diana Armstrong anashikilia rekodi ya mwenye kucha ndefu zaidi ulimwenguni.Kucha zake ni fiti 42, sawia na urefu wa basi la shule.