LULU FM RADIO (@_lulufmradio) 's Twitter Profile
LULU FM RADIO

@_lulufmradio

ID: 1295248915277783045

linkhttp://www.lulufm.co.ke calendar_today17-08-2020 06:39:58

8,8K Tweet

1,1K Followers

25 Following

LULU FM RADIO (@_lulufmradio) 's Twitter Profile Photo

#UTAFITI Utafiti umebaini kuwa wahudumu(Ushers) kanisani huwapendelea watu wanaovaa vizuri hata jinsi wanavyowapokea. Unakubaliana na utafiti huu?

LULU FM RADIO (@_lulufmradio) 's Twitter Profile Photo

#Changamka Na PapsMkare Leo unachangamka na nani na nani tunapofungua pazia za Vibe la Kazi? Sema nami kwenye sms 0727500511Calls in 0727499744

#Changamka Na PapsMkare
Leo unachangamka na nani na nani tunapofungua pazia za Vibe la Kazi? Sema nami kwenye sms 0727500511Calls in 0727499744
LULU FM RADIO (@_lulufmradio) 's Twitter Profile Photo

#BibleStudy Je mtu mwenye mshahara mdogo naye anafaa kutoa fungu la kumi ama anafaa aachwe mpaka aanze kupata kipato cha kueleweka?

LULU FM RADIO (@_lulufmradio) 's Twitter Profile Photo

Mtu akishindwa kutoa fungu la kumi mwezi mmoja, mwezi ujao anafaa kutoa fungu la kumi mara mbili ama huwa isharuka? #Biblestudy

LULU FM RADIO (@_lulufmradio) 's Twitter Profile Photo

Celebration Mode Activated!! Rafiki, tunaposherehekea Lulu J tunakualika twende tukapeleke tabasamu kwa watoto wazuri wa Lea Mwana. Njoo na chochote tupeleke tabasamu kwa malaika hao, maelezo zaidi kwenye posta #LuluFM #RafikiWakoWaDhati #Empowerment

Celebration Mode Activated!!
Rafiki, tunaposherehekea Lulu <a href="/8/">J</a> tunakualika twende tukapeleke tabasamu kwa watoto wazuri wa Lea Mwana. Njoo na chochote tupeleke tabasamu kwa malaika hao, maelezo zaidi kwenye posta
#LuluFM #RafikiWakoWaDhati #Empowerment
LULU FM RADIO (@_lulufmradio) 's Twitter Profile Photo

#MorningDevotion Tuko naye Pastor Augustine Mbuvi tukijifunza kuhusu "Understanding the principles of reaching your destiny" umerauka kusikiliza ukiwa wapi?

#MorningDevotion
Tuko naye Pastor Augustine Mbuvi tukijifunza kuhusu "Understanding the principles of reaching your destiny" umerauka kusikiliza ukiwa wapi?
LULU FM RADIO (@_lulufmradio) 's Twitter Profile Photo

#NENOLASIKU Waebrania 12:2 Basi na tumtazame sana Yesu mwanzilishi na mkamilishaji wa imani yetu, yeye ambaye kwa ajili ya furaha iliyowekwa mbele yake alistahimili msalaba, bila kujali aibu ya huo msalaba, naye ameketi mkono wa kuume wa kiti cha enzi cha Mungu.

#NENOLASIKU  
Waebrania 12:2 
 Basi na tumtazame sana Yesu mwanzilishi na mkamilishaji wa imani yetu, yeye ambaye kwa ajili ya furaha iliyowekwa mbele yake alistahimili msalaba, bila kujali aibu ya huo msalaba, naye ameketi mkono wa kuume wa kiti cha enzi cha Mungu.
LULU FM RADIO (@_lulufmradio) 's Twitter Profile Photo

#AmkaNaRafiki Na Smarty Tunaamini kwamba Mungu yupo na kwamba atabariki kazi ya mikono yetu.. Unamsalimia mrauki mmoja yupi leo, sema nami kwenye sms 0727500511Calls in 0727499744

#AmkaNaRafiki Na Smarty
Tunaamini kwamba Mungu yupo na kwamba atabariki kazi ya mikono yetu.. Unamsalimia mrauki mmoja yupi leo, sema nami kwenye sms 0727500511Calls in 0727499744
LULU FM RADIO (@_lulufmradio) 's Twitter Profile Photo

#ChangamkaNaPaps Ni mbinu gani ya kijanja unatumia kustahimili ugumu wa maisha. Kuna watu bado wanakula mara tatu kwa siku, siku hizi kweli? Sema nami kwenye sms 0727500511Calls in 0727499744

#ChangamkaNaPaps
 Ni mbinu gani ya kijanja unatumia kustahimili ugumu wa maisha. Kuna watu bado wanakula mara tatu kwa siku, siku hizi kweli? Sema nami kwenye sms 0727500511Calls in 0727499744
LULU FM RADIO (@_lulufmradio) 's Twitter Profile Photo

#LuluDrive Karibu kwenye saa nne za burudani, positive vibes. πŸ“Œ Pin location tukutambue. #TheMVP Elvis Baya x @mc_kingori #ElvisNaKingori

#LuluDrive 
Karibu kwenye saa nne za burudani, positive vibes. πŸ“Œ Pin location tukutambue.
#TheMVP Elvis Baya  x @mc_kingori 
#ElvisNaKingori
LULU FM RADIO (@_lulufmradio) 's Twitter Profile Photo

KANISANI PIA WANENGUE? Ushawahi kuona mtu kanisani ananengua mauno? Ni sawa akifanya hivyo au haileti utukufu? #NiSawa #AmkaNaRafiki