LULU FM RADIO(@_lulufmradio) 's Twitter Profileg
LULU FM RADIO

@_lulufmradio

ID:1295248915277783045

linkhttp://www.lulufm.co.ke calendar_today17-08-2020 06:39:58

8,0K Tweets

1,2K Followers

25 Following

LULU FM RADIO(@_lulufmradio) 's Twitter Profile Photo

ndio imeanza na one man Army Bayo, Oyooo! Unapomark area code yako, Em nambie,eti ni kweli mtu mwenye tabia ya kucheat kwenye mahusiano haezi acha,ata ukimsamehe bado atacheat tu?

#KamaVipi ndio imeanza na one man Army Bayo, Oyooo! Unapomark area code yako, Em nambie,eti ni kweli mtu mwenye tabia ya kucheat kwenye mahusiano haezi acha,ata ukimsamehe bado atacheat tu?
account_circle
LULU FM RADIO(@_lulufmradio) 's Twitter Profile Photo

inaanza sasa, wewe unakamata nambari ngapi leo tukisonga. Wakilisha mtaa kabisa kupitia Sms 0727500511 uko nami Paps ndani ya masaa manne ya michezo

#LuluViwanjani inaanza sasa, wewe unakamata nambari ngapi leo tukisonga. Wakilisha mtaa kabisa kupitia Sms 0727500511 uko nami Paps ndani ya masaa manne ya michezo
account_circle
LULU FM RADIO(@_lulufmradio) 's Twitter Profile Photo

na KT Kazungu Tumaini
Wiki yako imekuwaje rafiki, leo nambie jambo lipi limekusisimua wiki hii? Zungumza nami
Piga simu 0727499744
Sms/WhatsApp 0727500511

#Mkao na KT Kazungu Tumaini Wiki yako imekuwaje rafiki, leo nambie jambo lipi limekusisimua wiki hii? Zungumza nami Piga simu 0727499744 Sms/WhatsApp 0727500511
account_circle
LULU FM RADIO(@_lulufmradio) 's Twitter Profile Photo

Rafiki, tarehe ni 14 mwezi Juni pale JCC Malindi, na shuhuli ni ''Revive My Worship'' ikiongozwa na Bishop Kakala pamoja na Pastor Josphat Wanje.

Tunakukaribisha sana hapo rafiki, USIPITWE!

Rafiki, tarehe ni 14 mwezi Juni pale JCC Malindi, na shuhuli ni ''Revive My Worship'' ikiongozwa na Bishop Kakala pamoja na Pastor Josphat Wanje. Tunakukaribisha sana hapo rafiki, USIPITWE! #RafikiWakoWaDhati
account_circle
LULU FM RADIO(@_lulufmradio) 's Twitter Profile Photo


Ili iitwe 'heavy breakfast' inafaa kuwa na nini na nini eti manake sielewi sasa. Vibe la Kazi yakupatia wapi leo? Zungumza nami kupitia Sms/WhatsApp 0727500511

#ChangamkaNaPaps Ili iitwe 'heavy breakfast' inafaa kuwa na nini na nini eti manake sielewi sasa. Vibe la Kazi yakupatia wapi leo? Zungumza nami kupitia Sms/WhatsApp 0727500511
account_circle
LULU FM RADIO(@_lulufmradio) 's Twitter Profile Photo

na @Kazungu Tumaini Hii leo tunaangazia njia mbadala za kusuluhisha mizozo kotini. Unadhani kwani baadhi ya watu huwasilisha kesi ndogondogo kotini?

#MkaoWazi na @Kazungu Tumaini Hii leo tunaangazia njia mbadala za kusuluhisha mizozo kotini. Unadhani kwani baadhi ya watu huwasilisha kesi ndogondogo kotini?
account_circle
LULU FM RADIO(@_lulufmradio) 's Twitter Profile Photo

Elvis Baya Leo nikupe nambari ngapi dimbani? Tukiachana na soka, je ni mchezo upi mwengine unauelewa zaidi na uliupenda sana kipindi unasoma?
SMS/WhatsApp - 0727500511
Call - 0727499744

#LuluViwanjaniNaTheMVP @_elvisbaya Leo nikupe nambari ngapi dimbani? Tukiachana na soka, je ni mchezo upi mwengine unauelewa zaidi na uliupenda sana kipindi unasoma? SMS/WhatsApp - 0727500511 Call - 0727499744
account_circle
LULU FM RADIO(@_lulufmradio) 's Twitter Profile Photo


Awamu ya Pili tukiwa na Watoto kutoka HOME of Hope Children's Home.

What are the Sources of WATER? na umejifunza Nini kutoka kwao?

#TalentCorner Awamu ya Pili tukiwa na Watoto kutoka HOME of Hope Children's Home. What are the Sources of WATER? na umejifunza Nini kutoka kwao? #McKingori #MrAbujubuju
account_circle
LULU FM RADIO(@_lulufmradio) 's Twitter Profile Photo


Je, unazungumziaje kauli za baadhi ya Wanaharakati kwamba hali ya Wazazi kutelekeza majukumu yao ya ulezi Kwa watoto wao imechangia kwa wengi wao kupotoka kimaadili?

#OniLako Je, unazungumziaje kauli za baadhi ya Wanaharakati kwamba hali ya Wazazi kutelekeza majukumu yao ya ulezi Kwa watoto wao imechangia kwa wengi wao kupotoka kimaadili?
account_circle
LULU FM RADIO(@_lulufmradio) 's Twitter Profile Photo

MWAMBA WA LULU

Jamaa apatikana amekwama juu ya mti kwa siku 5 akikwepa mafuriko.

Kupitia video ambayo Kenya Red Cross walipakia kwenye mtandao wa X, walisema jamaa huyo alikuwa amekwama juu ya mti kwa takribani siku 5 akisubiria msaada.

account_circle