LULU FM RADIO
@_lulufmradio
ID:1295248915277783045
http://www.lulufm.co.ke 17-08-2020 06:39:58
8,1K Tweets
1,2K Followers
24 Following
Follow People
#LuluViwanjani na Paaaps Mkare inaanza sasa! Timu yako ilishinda kombe msimu huu ama ilienda Cup less kama Arsenal? Nambie unakamata nambari ngapi leo kupitia SMS 0727500511 au Nipigie kwenye 0727499744
#Patashika
Ukataji nyama juu ya magogo wapigwa MARUFUKU na Serikali kutokana na sababu za kiafya. Kule uliko bado inatumika?
#ElvisNaKingori
#MwambaWaLulu
Serikali ya kaunti ya Kilifi hii leo imetangaza marufuku ya uuzwaji wa mugokaa. Rafiki unazungumziaje hatua hii?
#ChangamkaNaBintiUmazi
Sasa mbona niku-introduce kwa rafiki yangu alafu wewe ndio ujifanye beshte zaidi #Vybelakazi linakupatia wapi? Zungumza nami kupitia nambari Sms 0727500511 Calls in 0727499744
#Mkao na @Kazungu Tumaini #MakalaYaTumaini Unadhani wazazi wanaweza vipi kuwapa motisha watoto wao kuendeleza masomo yao na kuboresha viwango vya elimu? @digiredio @cbcc_africa @unicef_kenya Ministry Of Education
Leo ni pambio kwenye #LuluVocals , huyu tumpe zake ngapi kwenye x/10? Mc King'ori umefuatilia ukoo wa huyu ndugu, hilo jina la mwisho....
#LuluVocals
#ChangamkaNaBintiUmazi
Mida ya kujinice na #Vybelakazi ndio sasa ,nambie ni tabia gani au mambo gani kitambo haikua kawaida kabisa ila sasa ni mazoea. Sema nami kupitia SMS 0727500511 Calls in 0727499744
#BungeLaMwananchi
Je unakubaliana na usemi wa Naibu wa Raisi kwamba mapato ya nchi yagawanywe kulingana na idadi ya watu(One man-One Vote-One Shiling)
#ChangamkaNaBintiUmazi
#VybeLaKazi lakupatia wapi leo, hii tabia ya mtu kukwambia eti leo wakaa vizuri wewe unachukuliaje? Zungumza nami kupitia nambari Sms 0727500511 Calls in 0727499744