The Hound(@XposeTD) 's Twitter Profileg
The Hound

@XposeTD

Here to Expose some Facts!

Expose It Today! XposeTD.

ID:1662762274224840704

calendar_today28-05-2023 10:07:43

3,8K Tweets

1,6K Followers

1,7K Following

❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️(@zoetjesheeftX) 's Twitter Profile Photo

Kuna watu wamefanya utafiti:
‘Wadada walioolewa na wanaoishi na wachumba huwa wananyoa chululu mara kwa mara ila hawatoi mapenzi kwa hao waume na wachumba zao.. kila wakiombwa wanasingizia wamechoka na kazi na wanawahi kuamka’ 😆😆😆

account_circle
Lyn🥀(@blackmellanin) 's Twitter Profile Photo

Kuhusu shanga nataman kusema neno ila ntapikwa ntaiva ntaliwa wacha nikae kimya 😆🤭. Kwanza me mwenywe ata sijui bhna.

account_circle
Ms Bee🌹(@iamcleopatricia) 's Twitter Profile Photo

GRANOLA: Nzuri uki tengeneza mwenyewe nyumbani Usizoee ya kununu,

Nirahisi sana Ingredients zinapatikana katika soko lolote jirani nawe.

1. Ndizi mbivu 7

2. Tende zakuiva punje 32

3. Almonds Mbichi Gram 125

4. Karanga Mbichi Gram 250

5. Korosho Gram 125

6. Nazi Moja zima

GRANOLA: Nzuri uki tengeneza mwenyewe nyumbani Usizoee ya kununu, Nirahisi sana Ingredients zinapatikana katika soko lolote jirani nawe. 1. Ndizi mbivu 7 2. Tende zakuiva punje 32 3. Almonds Mbichi Gram 125 4. Karanga Mbichi Gram 250 5. Korosho Gram 125 6. Nazi Moja zima
account_circle
SANUKAnaCHAPO(@chapo255) 's Twitter Profile Photo

Walevi waile bar wamenipigia simu muda huu kuwa Rick Ross kuna uwezekano mkubwa akaingia Tanzania leo usiku mrefu akitokea Kiami.

Walevi eti wameanza kuvuka boda 😂😂

Walevi waile bar wamenipigia simu muda huu kuwa Rick Ross kuna uwezekano mkubwa akaingia Tanzania leo usiku mrefu akitokea Kiami. Walevi eti wameanza kuvuka boda 😂😂 #WaleviWaileBar
account_circle
Lubasha Jr(@MarekaMalili) 's Twitter Profile Photo

Kabla hujatongoza mke wa mtu jiulize swali moja dogo tuu, “Akikuachia utamuweza” Jipime humo kabla ya madhara mengine.

account_circle
DENIE..(@Iam_denie) 's Twitter Profile Photo

Picha za Ziwa Natron .
Unaambiwa Ziwa hili lina kemikali kali sana kiasi kwamba Ndege au mnyama akinywa maji yake/Kuoga atakufa na kukauka kabisaa baada ya masaa ma 2 . Unaambiwa acid iliopo katika maji haya ni sawa na acid inayo wekwa kwa Battery.

Picha za Ziwa Natron . Unaambiwa Ziwa hili lina kemikali kali sana kiasi kwamba Ndege au mnyama akinywa maji yake/Kuoga atakufa na kukauka kabisaa baada ya masaa ma 2 . Unaambiwa acid iliopo katika maji haya ni sawa na acid inayo wekwa kwa Battery.
account_circle
SIR JEFF⚡🇹🇿(@Sirjeff_D) 's Twitter Profile Photo

Mshkaji mwingine akim-approacha girlfriend wako, wakaanza ku-chat, kutoka out na hata kunjunjana. Yule mshkaji hana kosa lolote

Demu wako ndio mwenye makosa. Amekudharau, amekudhalilisha na amekuona ng'ombe, ndio maana katafuta replacement.

Akikucheat maana'ke wewe ni ng'ombe

account_circle