BEBERU BIDEN (@wemakako) 's Twitter Profile
BEBERU BIDEN

@wemakako

Advocate| Traveller| Challenger| Music Addict.
Being myself is all that matters. I never look down on people coz I'm not the author of my path. πŸ‡ΉπŸ‡Ώ by birth|

ID: 612122957

calendar_today19-06-2012 00:19:20

182,182K Tweet

133,133K Followers

3,3K Following

Mange Kimambi (@mangekimambi) 's Twitter Profile Photo

Hi guys, nimefanya maamuzi magumu. Nimeamua kusitisha ajira yangu ya umbea kwa muda wa miezi 5, nitarudi kwenye umbea November 1 2025. Kuanzia leo for 5 months straight nitafanya siasa tupu! I think wito wangu hapa duniani ni huu wa kufanya harakati, nashindwa kulala na kuishi

Hi guys, nimefanya maamuzi magumu. Nimeamua kusitisha ajira yangu ya umbea kwa muda wa miezi 5, nitarudi kwenye umbea November 1 2025. Kuanzia leo for 5 months straight nitafanya siasa tupu!

I think wito wangu hapa duniani ni huu wa kufanya harakati, nashindwa kulala na kuishi
BEBERU BIDEN (@wemakako) 's Twitter Profile Photo

Actually kimya changu kinangoja msiba mkuu. Naomba nisiulizwe sana kwa nini niko kimya. Niliyoyapitia ni mengi, hasa ktk maradhi. Nimemwambia Mungu atende. Tuvute subira. Siku Kuu yaja. πŸ™πŸ™πŸ™

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Kaswahili bado hapatikani !!😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Who will be the next ? Good guy

Kaswahili bado hapatikani !!😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Who will be the next ? Good guy
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

NAOMBA REPOST 1KπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

NAOMBA REPOST 1KπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Nawaona, ila mkilinganisha elimu ya Tundu AM Lissu na elimu ya mama yenu.. sitaki kusema, Lissu is a G!! Na pia, hawezi kubali kushindana na Lissu kidemokrasia sababu ya uwezo mdogo. Yes, ana uwezo mdogo sana! Poleni. #NoReformsNoElection

BEBERU BIDEN (@wemakako) 's Twitter Profile Photo

Jamani. Hata sijataka kusoma makala. Huyu ni Mtanzania, Mtanganyika. Alidhulumiwa na fedhuli, karudi kwa shangwe alipoitwa na bedui. Sasa amechoka πŸ₯ΊπŸ₯Ί

BEBERU BIDEN (@wemakako) 's Twitter Profile Photo

Seriously, Sina energy ya kupambana na watu wenye negativity. Mnajua nasimama wapi, so niacheni tu. I can't fight you. Washindi ni nyie. TIME WILL TELLπŸ™πŸ™

BEBERU BIDEN (@wemakako) 's Twitter Profile Photo

Waswahili walisema, "Ukichamba sana..." Anyway, shamba boy yake maelekezo. Mimi naelekezwa tu, hata nani awe boss wangu nitafuata. Karibu kamanda. Siku hizi nimegeuka kuwa mtazamaji hadi litimie ninaloliona. πŸ™

Waswahili walisema, "Ukichamba sana..."
Anyway, shamba boy yake maelekezo. Mimi naelekezwa tu, hata nani awe boss wangu nitafuata.
Karibu kamanda. Siku hizi nimegeuka kuwa mtazamaji hadi litimie ninaloliona. πŸ™
Citizen TV Kenya (@citizentvkenya) 's Twitter Profile Photo

β€œStop lying. You abducted Ndiang’ui Kinyagia,” Man interrupts court proceedings to blast DCI lawyer for claiming they did not abduct the missing blogger

Citizen TV Kenya (@citizentvkenya) 's Twitter Profile Photo

β€œI am not interested in your drama. Produce Ndiang’ui Kinyagia, whether dead or alive,” Justice Chacha Mwita tells IG Kanja and DCI boss Amin Mohamed

NairobiLeo.co.ke (@nairobi_leo) 's Twitter Profile Photo

Citizen TV Kenya There is no way Ndiang’ui Kinyagia can leave his home and simply vanish from this world without a trace - Justice Chacha Mwita. x.com/Nairobi_Leo/st…