viola julius(@VwalaViola) 's Twitter Profileg
viola julius

@VwalaViola

history is herstory too... as a woman i take unusual effort to succeed for if i fail they will say women don't have what it takes

ID:3048029357

calendar_today20-02-2015 20:58:12

89,0K Tweets

15,5K Followers

1,8K Following

Follow People
winharder_(@winharder_) 's Twitter Profile Photo

Mwezi mei ni mwezi wa afya ya akili. Ukiwa Kama kijana unatambua wajibu wako katika kulinda afya ya akili?

Vivian J Joseph atatupa somo kesho kwenye

Mwezi mei ni mwezi wa afya ya akili. Ukiwa Kama kijana unatambua wajibu wako katika kulinda afya ya akili? @vivian_j_joseph atatupa somo kesho kwenye #ElimikaWikiendi
account_circle
lapexproperties(@lapexproperties) 's Twitter Profile Photo

Kuelekea maadhimisho ya siku ya mama duniani lapexproperties tunapenda kutoa ofa kwa wateja wetu wote kwenye huduma mbili

1. Uchunguzi utalipia 100,000 Tsh badala ya 300,000 Tsh
2. Hati Miliki utalipia 300,000 Tsh badala ya 700,0000 Tsh

Kuanzia tarehe 11 - 20 May

account_circle
Neema Lugangira(@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

Kufuatia Mafuriko Bukoba Mjini, leo nilianzia kwa RPC Kagera kupata hali halisi kisha nikafika Mitaa 6 iliyoathiriwa sana. Hapa ilikuwa Mtaa Omukigusha, Bilele. Nimepokea Maelezo ya Wakazi. Nawapongeza Viongozi, Jeshi la Polisi, Jeshi la Zimamoto na Wananchi kwa hatua za haraka.

Kufuatia Mafuriko Bukoba Mjini, leo nilianzia kwa RPC Kagera kupata hali halisi kisha nikafika Mitaa 6 iliyoathiriwa sana. Hapa ilikuwa Mtaa Omukigusha, Bilele. Nimepokea Maelezo ya Wakazi. Nawapongeza Viongozi, Jeshi la Polisi, Jeshi la Zimamoto na Wananchi kwa hatua za haraka.
account_circle
FlavianaMatataFdn(@FMFound) 's Twitter Profile Photo

Tukiwa katika kilele cha maadhimisho ya Juma la Elimu mwaka 2024 yanayofanyika mkoani Geita, kama wadau wa elimu tunaendelea kuhamasisha walimu na wanajamii kwa ujumla kutambua umuhimu wa elimu

Tukiwa katika kilele cha maadhimisho ya Juma la Elimu mwaka 2024 yanayofanyika mkoani Geita, kama wadau wa elimu tunaendelea kuhamasisha walimu na wanajamii kwa ujumla kutambua umuhimu wa elimu
account_circle
mbwanaยฎ | ็ป…ๅฃซ(@mbwanahabib) 's Twitter Profile Photo

Nimeibiwa laptop yangu asubuhi hii Magufuli Stand Mbezi.

Laptop ina project zangu za muhimu sana, kwa yoyote ataekutana na Macbook Pro 16โ€ 2019 naomba tuwasiliane 0716550126.

Nipo tayari kulipia gharama za usumbufu.

Please Retweet

Nimeibiwa laptop yangu asubuhi hii Magufuli Stand Mbezi. Laptop ina project zangu za muhimu sana, kwa yoyote ataekutana na Macbook Pro 16โ€ 2019 naomba tuwasiliane 0716550126. Nipo tayari kulipia gharama za usumbufu. Please Retweet
account_circle
WHYMYCATISSAD(@INFLUENCERjr) 's Twitter Profile Photo

Kuwa bosi wa biashara yako bila kikwazo cha fedha! Jipatie mkopo wa haraka kutoka Soft Finance na uongeze nguvu katika kukuza biashara yako. Wakati ni sasa, fanya maamuzi ya mafanikio!๐Ÿ’ฐ

account_circle
Shambani consultancy solutions(@shambaniconsult) 's Twitter Profile Photo

Experience peace of mind knowing that your brand's marketing is in expert hands.
With our dedicated team of marketing professionals, you can rest assured that every aspect of your marketing strategy is carefully planned and optimized for success.
Take your brand to new heights!

Experience peace of mind knowing that your brand's marketing is in expert hands. With our dedicated team of marketing professionals, you can rest assured that every aspect of your marketing strategy is carefully planned and optimized for success. Take your brand to new heights!
account_circle