Sally Brown🌷(@officielsalome) 's Twitter Profileg
Sally Brown🌷

@officielsalome

athena | siiuuuuuuuu | analyst | mchumba

ID:903252415645876226

linkhttps://www.instagram.com/officielsalome calendar_today31-08-2017 13:45:32

105,9K Tweets

533,6K Followers

689 Following

MR BEN(@Eric__Bernard) 's Twitter Profile Photo

DK.MWINYI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA CCM, ZANZIBAR

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ameongoza kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui,

DK.MWINYI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA CCM, ZANZIBAR Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ameongoza kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui,
account_circle
Fred Kavishe(@fredkavishe) 's Twitter Profile Photo

Ndugu Rashidi Ally mshindi wa bajaji kutokea Mwanza Jana alikabidhiwa chombo yake wakati wa mechi ya CRDB Federation Cup.

Wewe unasuburi nini kumaliza miamala yako kupitia nawe uwe mshindi wa Bajaji, bodaboda ama Nissan Dualis.

account_circle
cousin 420(@420Cousin) 's Twitter Profile Photo

MARIA SARUNGI ANA 10% YA KILA SHILINGI ATAKAYOCHANGIWA LISSU.

Ni siku chache zilizopita tumesikia madai ya Tundu Lissu kuhusu kuomba kupewa gari la kifahari aina ya Nissan Y22.

Tundu Lissu aliwasilisha maombi haya kwa watu wa CCM, lakini kwa bahati nzuri, maombi hayo

MARIA SARUNGI ANA 10% YA KILA SHILINGI ATAKAYOCHANGIWA LISSU. Ni siku chache zilizopita tumesikia madai ya Tundu Lissu kuhusu kuomba kupewa gari la kifahari aina ya Nissan Y22. Tundu Lissu aliwasilisha maombi haya kwa watu wa CCM, lakini kwa bahati nzuri, maombi hayo
account_circle
KIPEPE 💊(@kipepe123) 's Twitter Profile Photo

Kuna Ile Uko na Washkaji Ghafla Wanaanza kuongea Kilugha Cha Kwao Huku Wakikuangalia Wewe Inakataga Moto Kinyama

account_circle
Fanya Kweli, Usibaki Nyuma(@MtuNiAfya) 's Twitter Profile Photo

Mnapanda juu ya meza halafu mnajog pia, vyote ni good times si unajua? Kuwa fit ndio lifestyle magonjwa yasiyoambukiza tangaza nayo vita!👊🏽

Mnapanda juu ya meza halafu mnajog pia, vyote ni good times si unajua? Kuwa fit ndio lifestyle magonjwa yasiyoambukiza tangaza nayo vita!👊🏽 #FanyaKweli #MtuNiAfya
account_circle
Johnbest Mwahaja(@JohnieZeBest) 's Twitter Profile Photo

Pata ticketi yako kuhudhuria tuzo za mwaka za makampuni (ACOYA). Uzinduzi wa Tuzo za mwaka za makampuni unafanyika katika ukumbi wa Super Dome Masaki. 👌

Tiketi ziko kwa idadi wahi mapema.

Tupigie 0717109362.



account_circle
Calm Corner(@CalmKona) 's Twitter Profile Photo

5.Kupata msaada wa kitaalam: Kama stress inaonekana kuwa kubwa sana, inaweza kuwa ni wazo zuri kutafuta ushauri wa kitaalam kutoka kwa mshauri au mtaalamu wa afya ya akili ili kukusaidia wewe na familia yako kupitia hali hiyo.

account_circle
Calm Corner(@CalmKona) 's Twitter Profile Photo

4. Kujitolea muda wa kupumzika: Kuweka muda wa kutosha wa kupumzika na kujichukulia mwenyewe ni muhimu ili uweze kuwa na nguvu na uvumilivu wa kusaidia familia yako.

account_circle
Calm Corner(@CalmKona) 's Twitter Profile Photo

3.Kusaidiana kwa pamoja: Kuweka utaratibu wa kusaidia shughuli za nyumbani kunaweza kupunguza mzigo kwa kila mwanafamilia na kujenga umoja.

account_circle
Calm Corner(@CalmKona) 's Twitter Profile Photo

2.Kupanga ratiba: Kupanga muda wa pamoja na familia, iwe ni shughuli za burudani au mazoezi pamoja, kunaweza kusaidia kuunda mazingira mazuri ya kuleta furaha na kuondoa stress.

account_circle
Calm Corner(@CalmKona) 's Twitter Profile Photo

Kupunguza stress kwenye familia kunaweza kuwa changamoto, lakini kuna njia kadhaa za kusaidia kupunguza hali hiyo. Baadhi ya hatua zinazoweza kusaidia ni pamoja na:

1. Mawasiliano mazuri: Kuzungumza wazi na kwa ukweli na wanafamilia kunaweza kusaidiaa kutatua matatizo mapema.

Kupunguza stress kwenye familia kunaweza kuwa changamoto, lakini kuna njia kadhaa za kusaidia kupunguza hali hiyo. Baadhi ya hatua zinazoweza kusaidia ni pamoja na: 1. Mawasiliano mazuri: Kuzungumza wazi na kwa ukweli na wanafamilia kunaweza kusaidiaa kutatua matatizo mapema.
account_circle
Sally Brown🌷(@officielsalome) 's Twitter Profile Photo

Mtoto wa mjini lazima awe na ndinga 🚘 Fanya miamala kwa SimBanking 📲 kama vile Luku, kulipia bili za maji, kutuma pesa, kununua salio ili ujiongezee nafasi ya kushinda NISSAN DUALIS mpya mwezi ujao. Follow CRDB Bank Plc kwa michongo zaidi.

account_circle
Ms Bee🌹(@iamcleopatricia) 's Twitter Profile Photo

Asali ya nyuki wakubwa na wadogo kutoka tabora inapatikana katika ujazo wa aina 4

Kuna nusu lita , lita 1, lita 3, na lita 5

Ni asali ambazo zina ubora halisi wa asali haijapikwa wala kuchakachuliwa kwa staili yoyote ili kukidhi mahitaji ya mtumiaji

Tunapatikana mwananyamala

Asali ya nyuki wakubwa na wadogo kutoka tabora inapatikana katika ujazo wa aina 4 Kuna nusu lita , lita 1, lita 3, na lita 5 Ni asali ambazo zina ubora halisi wa asali haijapikwa wala kuchakachuliwa kwa staili yoyote ili kukidhi mahitaji ya mtumiaji Tunapatikana mwananyamala
account_circle