viola julius(@VwalaViola) 's Twitter Profileg
viola julius

@VwalaViola

history is herstory too... as a woman i take unusual effort to succeed for if i fail they will say women don't have what it takes

ID:3048029357

calendar_today20-02-2015 20:58:12

90,1K Tweets

15,5K Followers

1,8K Following

Follow People
Mwaki(@Mwaki28) 's Twitter Profile Photo

Je, Unahitaji kujua namna utakavyoweza kujenga mwili wenye afya njema kwa kula vizuri hata kama huna pesa ya kutosha?

Leo Mei 27, 2024, Jifunze kitu kuhusu afya ya mtu inavyotegemea chakula na watu wanaomzunguka.

TUKIANZA NA UPANDE WA CHAKULA:
Hapa naongelea kuhusu vyakula

account_circle
Nimechoka_Kiasi(@enamalisa) 's Twitter Profile Photo

Bwana atakupigania, Nawe utanyamaza Kimya🙏🏽.
Exodus 14:14.
The Lord shall fight for you, You only need to be still🙏🏽.

account_circle
Moyo wa TAIFA ™️(@bajabiri) 's Twitter Profile Photo

Are you ready for ?

Mei 31 itaanza Makai Rd,Masaki opp na Agakhan Clinic.

Viatu na nguo zitauzwa kwa bei ya chini kabisa....hakutakuwa na bidhaa ya kuzidi 50,000/=

Imagine kiatu Adidas genuine unabeba kwa 50,000/= au below.

Are you ready for #JustFitYardSale ? Mei 31 itaanza Makai Rd,Masaki opp na Agakhan Clinic. Viatu na nguo zitauzwa kwa bei ya chini kabisa....hakutakuwa na bidhaa ya kuzidi 50,000/= Imagine kiatu Adidas genuine unabeba kwa 50,000/= au below.
account_circle
Thom Munkondya(@Thommunkondya) 's Twitter Profile Photo

Karibu sana lapexproperties, kuna mradi mpya pale tundwisongani kwa bei nafuu sqm 500 unapata kwa milion 3.5 kwa nalipo ya miezi 6,gharama hizi ni pamoja na HATI MILIKI🔥🔥🔥💪🏿.

Karibu sana @lapexproperties, kuna mradi mpya pale tundwisongani kwa bei nafuu sqm 500 unapata kwa milion 3.5 kwa nalipo ya miezi 6,gharama hizi ni pamoja na HATI MILIKI🔥🔥🔥💪🏿.
account_circle
Thom Munkondya(@Thommunkondya) 's Twitter Profile Photo

Kama kijana ambaye unaweza kupata milion 2 mpaka 4m kwa mwaka, hakikisha una kiwanja hata cha kulipia kidogo kidogo katika maeneo yanayokuwa kwa kasi kama tundwisongani,kimbiji,chanika,vikindu,mwasonga,buyuni NK,ili wakati wewe unaendelea kukua na kujiimarisha kiuchumi na eneo

account_circle
Handsome La Kijiji(@ManenoIzaak) 's Twitter Profile Photo

Hata wafanyabiashara wakubwa huwa wanakopa ili kuendeleza biashara zao,sasa inashangaza wewe mjasiriamali mdogo halafu unaogopaje kukopa?

Si kila sehemu unaweza kwenda kukopa, ila chagua sehemu sahihi ambayo ni Soft Finance nenda kuchukue mkopo wenye riba nafuu. .👇

Hata wafanyabiashara wakubwa huwa wanakopa ili kuendeleza biashara zao,sasa inashangaza wewe mjasiriamali mdogo halafu unaogopaje kukopa? Si kila sehemu unaweza kwenda kukopa, ila chagua sehemu sahihi ambayo ni @softfinancetz nenda kuchukue mkopo wenye riba nafuu.#MpangoPesa.👇
account_circle
Ms_Genya(@ScholaDecaprado) 's Twitter Profile Photo

Ifike mahali jamii ikubali kuwa watoto wa kike sio chanzo cha mapato, tuwaache wapate elimu na sio kuwaharakisha katika ndoa kwa maslahi binafsi.

Ifike mahali jamii ikubali kuwa watoto wa kike sio chanzo cha mapato, tuwaache wapate elimu na sio kuwaharakisha katika ndoa kwa maslahi binafsi. #NdoaZaUtotoni
account_circle
Holy(@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

Kadri wanafunzi wanavyojengewa uwezo wa kutambua madhara ya za utoto wanakuwa mabalozi wazuri wa kuelimisha jamii

Kadri wanafunzi wanavyojengewa uwezo wa kutambua madhara ya #NdoaZaUtotoni za utoto wanakuwa mabalozi wazuri wa kuelimisha jamii
account_circle
Lolo ☘(@PhentyKiria) 's Twitter Profile Photo

Hivi hakuna njia ya ku preserve malimao maana huu ndio msimu wake, ukiachana ni bei chee but yana maji mengi.

account_circle
#ElimikaWikiendi(@ElimikaWikiendi) 's Twitter Profile Photo

Jumatatu pamoja na kazi nyingi usiache kusoma hapa,

UZI wa Theresia Chaki 'Umuhimu wa vijana kukutana na wanasaikolojia ili kupata ushauri juu ya afya ya akili' x.com/theresia_chaki…

Jumatatu pamoja na kazi nyingi usiache kusoma hapa, UZI wa @theresia_chaki 'Umuhimu wa vijana kukutana na wanasaikolojia ili kupata ushauri juu ya afya ya akili' #ElimikaWikiendi x.com/theresia_chaki…
account_circle
Depedro Deniss Nkya(@depedrodeniss) 's Twitter Profile Photo

Here to remind you that you are the author of your growth story. Write it with courage.

A great Monday to y'all.... 🇹🇿
Happy memorial holiday 🇺🇲

Here to remind you that you are the author of your growth story. Write it with courage. A great Monday to y'all.... 🇹🇿 Happy memorial holiday 🇺🇲
account_circle
Rajamu(@DadaConso) 's Twitter Profile Photo

Ikitokea umepaliwa au umekabwa na kitu na huwezi kuomba msaada (sauti haitoki).

Kama Kuna chochote MF sahani, kikombe, chupa etc IRUSHE UKUTANI/CHINI

IKIPASUKA (Yale makelele), mara nyingi watu watastuka nini kinaendelea na watakuja kutoa msaada..

account_circle
Hisham Hendi(@hendihisham) 's Twitter Profile Photo

Thrilled to share that I have embarked on a new professional journey as the Chief Consumer Marketing and Sales Officer at موبايلي in Saudi Arabia.

Glad to be a part of a company that is renowned for its innovative spirit and commitment to excellence. I am eager to work

account_circle
DevotaTweve(@TweveDevota) 's Twitter Profile Photo

Suala la kuishinikiza serikali iondoe kodi katika pedi ili ziuzwe bei rafiki na zitolewe bure mashuleni ni letu sote.

tuungane kusign petition hii kupitia
Link:bluefindigital.co.tz/msichana/


account_circle
lapexproperties(@lapexproperties) 's Twitter Profile Photo

FINALLY WELCOME TO OUR NEW PROJECT KIGAMBONI TUNDWI SONGANI 🔥🔥kwa wale wateja wetu waliokuwa wakiuliza na kusubiria kwa hamu sasa rasmi mradi upo sokoni
BEI ZA MRADI WETU
Kwa Cash 1 sqm = 6,000 Tsh
Kwa mkopo wa miezi 6 1Sqm = 7,000 Tsh
kwa mkopo wa miezi 12 1sqm =8,000 Tsh

account_circle
Mbundi John(@JohnMbundi) 's Twitter Profile Photo

Umekwama kulipia Bima ya chombo chako cha usafiri sababu ya kukosa fedha?

Karibu Soft Finance utapatiwa mkopo wa dharura kwa haraka, wenye masharti nafuu na salama.

account_circle
DevotaTweve(@TweveDevota) 's Twitter Profile Photo

na inawezekana kupitia wewe kuungana nasi kuweka sahihi yako hapa ili serikali ifanyie kazi bluefindigital.co.tz/msichana/

account_circle