
Thom Mnkondya
@thommunkondya
Mpima ardhi,Mtaalamu na Mshauri binafsi wa watu,taasisi na kampuni juu ya masuala ya ardhi. Pia ni wakala wa milki @lapexproperties. Blood donor(O+)
ID: 1347149638730702848
http://www.lapexproperties.co.tz 07-01-2021 11:54:58
5,5K Tweet
3,3K Followers
400 Following


Ni kweli kabisa na wewe kama raia ni lazima usione matokeo kwasababu unataka kuona migogoro haipo. Uko sahihi. Migogoro ya ardhi ni matokeo ya changamoto na matatizo ya sekta ya ardhi. Mh Rais Samia Suluhu kupitia wizara ya ardhi wamewekeza kwenye kutatua hizi changamoto za sekta



Ulikuwa wakati nzuri na wa kihistoria kushuhudia uzinduzi wa ilani ya chama chamapinduzi(CCM).kilichonifurahisha zaidi ni pale Mh Rais Samia Suluhu alivyotangaza kwamba kila mkoa nchini uandaliwe ilani ndogo ya mkoa 💪🏿💪🏿.


Mzee wangu Prof Kitila Mkumbo (PhD) hongereni kwa kuaminiwa na chama kuandaa ilani ya chama cha mapinduzi(CCM) 2025-2030 pamoja na timu yako.Lakini kubwa zaidi hongera sana kwa hotuba yako leo kwenye mkutano mkuu wa CCM. It was a remarkable speech.Truly commendable. Nilifurahishwa sana.













