Thomas-Josephat (@thomasjosephat3) 's Twitter Profile
Thomas-Josephat

@thomasjosephat3

Nothing last permanent
Be humble!!. Kidogo chako ni bora zaid kuliko kikubwa cha matumaini.
Kilimo na ufugaji ni mchongo wenye maslahi.
Cogito ergo sum.

ID: 781227666859036672

calendar_today28-09-2016 20:22:45

1,1K Tweet

455 Followers

215 Following

A.M (@masuba___) 's Twitter Profile Photo

#MPUNGATIPS Kwa hali ilivo huu msimu wakulima hawana mbegu mvua imeficha black na muda ushakimbia, Kwa sasa ukibahatika kupata mbegu ya Mpunga eka moja inaenda 400k to 600k na still kuipata issue, Hapa nikijilipua niuze hizi mbegu hamna hamna sikosi 8M ~10M #MbuyuniSchemes

#MPUNGATIPS

Kwa hali ilivo huu msimu wakulima hawana mbegu mvua imeficha black na muda ushakimbia,

Kwa sasa ukibahatika kupata mbegu ya Mpunga eka moja inaenda 400k to 600k na still kuipata issue,

Hapa nikijilipua niuze hizi mbegu hamna hamna sikosi 8M ~10M 
#MbuyuniSchemes
Thomas-Josephat (@thomasjosephat3) 's Twitter Profile Photo

Tuoneshe shughuli zako za kila siku Mpambanaji. YOTHO G.S.C. Ltd imekufikia mpambanaji na inakuthamini Lengo hilo gunia kijana alibebe angalau kwa 5k

Thomas-Josephat (@thomasjosephat3) 's Twitter Profile Photo

Kama lazima uumiye, basi uumiye ukiwa unapambana. Maumivu ya mapambano yana maana; yanakupeleka mbele. Lakini maumivu ya kukaa tuโ€ฆ hayo ni hasara tupu. ๐Ÿ“ž Wasiliana nasi sasa: +255 712 346 462 +255 744 716 119 ๐Ÿ‘‰ YOTHO G.S.C. Ltdโ€“ Mshirika wako wa biashara.

Kama lazima uumiye, basi uumiye ukiwa unapambana. Maumivu ya mapambano yana maana; yanakupeleka mbele. Lakini maumivu ya kukaa tuโ€ฆ hayo ni hasara tupu.
๐Ÿ“ž Wasiliana nasi sasa:
+255 712 346 462
+255 744 716 119
๐Ÿ‘‰  YOTHO G.S.C. Ltdโ€“ Mshirika wako wa biashara.