Jox Junior (@eli1bertk) 's Twitter Profile
Jox Junior

@eli1bertk

Tanzanian |Software Engineer | Entrepreneur | Activists | Politics

Treat others as you wish to be treated, it doesn't matter who you are

ID: 2501657704

calendar_today22-04-2014 11:29:20

5,5K Tweet

185 Followers

842 Following

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 197 Katuga anasema: Kuna chama kinasema lazima mashahidi wote wa kificho watajulikana, sisi ni rai yetu kwamba ipo siku hata mimi nitakuja kuambiwa nilishawahi kuwa shahidi wa kificho, kwahiyo tunaomba mahakama itolee maamuzi ili kuondoa shida ya

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 198 Anaingia jamaa mmoja mrefu, kavaa kaundasuti nyeusi anakitambi ila sio mnene wala mwembamba anaingia hapa. Jaji anauliza Shahidi unaitwa nani? H937 Detective Vincent 36 umri, Mkristo, Anapewa biblia kwa ajili ya kuapa anasema atasema

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 199 Mhe. Lissu anaendelea na Cross examination. Mhe.Lissu: Sasa shahidi naomba uwaeleze waheshimiwa Majaji kama niliyoyasoma yanalingana na maelezo yako ya police. Coplo Vicent: ndiyo yanalingana. Mhe.Lissu: Sasa shahidi naomba nikupitishe kwenye

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 200 Mhe. Lissu anaendelea kumfanyia cross examination Shahidi Coplo Vicent. Mhe. Lissu: waeleze wahesimiwa majaji kama kuna mtu yoyote alishuhudia ukiandiika hayo maelezo Shahidi Coplo Vicent : hakuna niliandika mm mwenyewe Mhe. Lissu: uliambiwa

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 201 Anasimama Wakili wa Serikali Mkude anasema tunashahidi mwingie wa kulindwa ni P3, Mpaka sasa huyu ni shahidi wa 13. Shahidi ameingia kwenye kijumba cha mbao tayari. Sasa anajitambulisha. Shahidi wa kificho P3 : Nina miaka 35 Shahidi wa

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 202 Mhe. Lissu ameanza kumfanyia Cross examination Shahidi wa kificho P3. Mhe. Lissu: shahidi hapo ulipo unaweza kuniona? Shahidi wa kificho P3 : hapana Mhe. Lissu: kwa taarifa yako hata mm siwezi kukuona kweli si kweli? Shahidi wa kificho P3 :

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 203 Mhe. Lissu anaendelea na Cross Examination, Jaji Ndunguru: upande wa mashitaka. Mkude: No objection. Jaji Ndunguru : turejee kifungu 194 cha CPA. Mkude: kifungu cha 194 kwa ujumla wake ni kuhusu protection ya ushahidi, kwa sababu shahidi

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 204 Mhe. Lissu anaendelea na Cross examination. Mhe.Lissu: ulivosogea pembeni akakwambie twende kituoni ukatoe maelezo, waeleze waheshimiwa Majaji kama hayo maneno yapo? Shahidi wa kificho P3 : hayapo. Mhe.Lissu: badala yake yapo maneno

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 205 Mhe. Lissu anaendelea na Cross Examination. Mhe. Lissu: katika maelezo yako kuna sehemu yoyote umesema mwenyekiti Tundu Lissu amesema tufanye vurugu? Shahidi wa kificho P3 : Hapana hakuna hayo maelezo Mhe. Lissu: unafahamu maana ya neno

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 206 Ubishani unaendelea kati ya Mhe. Lissu na Wakili wa Serikali Wakili wa Serikali: Mshitakiwa kama aliandika kwenye maelezo yake kufanya vurugu na yeye akajibu kuzuia uchaguzi ndiyo kufanya vurugu zenyewe, namuomba shahidi atueleze alivosema

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 207 Wakili wa Serikali Cuthbert anaendelea kumuongoza Shahidi wa kificho P9. Cathbert: Unakumbuka nini kuhusu 3/4/2025? Shahidi wa kificho P9 : nilikuwa nyumbani kwa tarehe hiyo na nilikuwa nikiperuzi kwenye mitandao Catherbert: Simu ilikuwa ni

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 208 Wakili wa Serikali Cathbert: Eeh nini kiliendelea? Shahidi wa kificho P9 : Nilienda kituo cha Polisi na nilipofika waliniambia ya kuwa nahitajika kama Shahidi hivyo natakiwa nihojiwe tena Cathbert: Eeh endelea shahidi Shahidi wa kificho P9

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Mkude na wenzako oneni aibu kuendesha kesi bubu. Mnajua Lissu hana kesi, anateswa. Unajichekesha yeye anaumia. Uliendesha kesi zetu Kisutu ukijua ni za uongo. Ulikuja TAZARA nilipofichwa. Ukaandaa mashitaka ya uongo dhidi yangu. Umepata faida ipi so far? Be human, umri unaenda!

Mkude na wenzako oneni aibu kuendesha kesi bubu. Mnajua Lissu hana kesi, anateswa. Unajichekesha yeye anaumia. Uliendesha kesi zetu Kisutu ukijua ni za uongo. Ulikuja TAZARA nilipofichwa. Ukaandaa mashitaka ya uongo dhidi yangu. Umepata faida ipi so far? Be human, umri unaenda!
Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Leo February 20, 2026 Jana tuliishia Part 208 so leo tunaendelea na-; Part 209. Imepigwa high Court ya kikakamavu, Majaji wameingia wapo watatu kama kawaida yao. Mhe. Lissu nae yupo Karani anasoma criminal session No. 19605/ 2025 Republic v.

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 210 Anaendelea Mhe. Lissu na Cross Examination. Mhe. Lissu: Waheshimiwa Majaji naomba shahidi apewe kielelezo D13 Mhe Lissu: Jana kwenye ushahidi wako uliulizwa unaishi wapi na ukasema unaishi katika Halmashauri ya Mbeya, kweli si kweli? Shahidi

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 211 Mhe. Lissu anaendelea kumfanyia Cross examination Shahidi wa kificho P9 Mhe. Lissu: Waambie majaji kama tutafanya vurugu na kuuvuruga uchaguzi huo kama yapo kwenye maelezo yako…nasubiri jibu shahidi! Shahidi wa kificho P9: Hayapo Mhe.

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 212 Mhe. Lissu anaendelea kumfanyia cross examination Shahidi wa kificho P9 Mhe. Lissu: Shahidi umesema tarehe 4 april 2024 ukiwa na jamaa zako nyumbani kwako, “Tukawa tunajadili kauli ya Mwenyekiti kwamba tukichafue, ni kweli au si kweli?

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 213 Mhe. Lissu anaendelea kumfanyia cross examination Shahidi wa kificho P9 Mhe. Lissu: Waheshimiwa majaji hilo pingamizi la Wakili la Serikali halina maana yoyote, kwasababu shahidi mwenyewe amesema kwamba summons alipelekewa summons na

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 214 Leo Mhe. Lissu ameingia Mahakamani akiwa amepiga Jeans na T-Shirt fulani hivi nyeusi yenye neno moja lililoandikwa kwa herufi kubwa "DUDA" Kaka David Jumbe anasema DUDA ni neno la Kinyaturu ambalo maana yake ni mtoto ambae anapendwa sana.