TomGachuhi
@thomasgachuhi
born to make profits/dream chaser/ Nairobi is home come visit. Ideas worth spreading. bourgeoisie
ID: 1467870750
http://www.tallcorp.co.ke 29-05-2013 18:03:37
13,13K Tweet
1,1K Followers
2,2K Following
Kama uko na sista yako anatafta bwana na ako na watoto wako highschool, tunataftia Aziz zideni bibi na ujue ni wa kiharu so watoto watakua wanasoma bure Frank Warui hau atîa?
Kila mtu ametoa number plate, ata jamaa iko na pickup ile inaitwa millennium kama Aziz zideni ati hajaeka plate ya mbele kama vijana wa Atenza.
KQ : Attenion passengers SGR : Dear passengers Kenya Ferry : Wewe kijana mnono toka hapo juu ya mlango na hio t-shirt yako chafu. Lakini Aziz zideni watu wa ferry hukuuliza nini?