Tanzania Unforgettable (@ttbtanzania) 's Twitter Profile
Tanzania Unforgettable

@ttbtanzania

Discover the magic of Tanzania with us. Join us on a journey into heart-stopping wildlife, stunning landscapes, and rich culture. #EmbraceTheUnforgettable

ID: 704667277929652224

linkhttp://www.tanzaniatourism.go.tz calendar_today01-03-2016 13:59:05

2,2K Tweet

14,14K Followers

359 Following

Simba Sports Club (@simbasctanzania) 's Twitter Profile Photo

𝐁𝐨𝐝𝐒 𝐲𝐚 π”π­πšπ₯𝐒𝐒 𝐧𝐝𝐚𝐧𝐒 𝐲𝐚 π’π’π¦π›πš π–πžπžπ€ πŸπŸŽπŸπŸ’. Kuelekea kwenye ufunguzi wa Wiki ya Simba iliyopewa jina la Ubaya Ubwela, leo Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Imani Kajula amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania, Ephraim

𝐁𝐨𝐝𝐒 𝐲𝐚 π”π­πšπ₯𝐒𝐒 𝐧𝐝𝐚𝐧𝐒 𝐲𝐚 π’π’π¦π›πš π–πžπžπ€ πŸπŸŽπŸπŸ’.

Kuelekea kwenye ufunguzi wa Wiki ya Simba iliyopewa jina la Ubaya Ubwela, leo Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Imani Kajula amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania, Ephraim
BAWA AFRICA (@bawaafrika) 's Twitter Profile Photo

The Director General of the Tanzania Unforgettable Mr. Mafuru has met with Mr. Matongo Matamwandi the CEO of Zambia Tourism Agency, during the UN Tourism Regional conference for Africa in Livingstone Zambia πŸ‡ΏπŸ‡².

The Director General of the Tanzania Unforgettable Mr. Mafuru has met with Mr. Matongo Matamwandi the CEO of Zambia Tourism Agency, during the UN Tourism Regional conference for Africa in Livingstone Zambia πŸ‡ΏπŸ‡².
Simba Sports Club (@simbasctanzania) 's Twitter Profile Photo

Mnyama ndani ya Mikumi. Taarifa zaidi tumia Simba App na Simba Bando inayokupa dakika za kupiga, sms, data na mastori ya Simba bure. Kujiunga Simba Bando piga *149*01# > 7 > 1. #WenyeNchi #NguvuMoja

Mnyama ndani ya Mikumi.

Taarifa zaidi tumia Simba App na Simba Bando inayokupa dakika za kupiga, sms, data na mastori ya Simba bure. Kujiunga Simba Bando piga *149*01# > 7 > 1. #WenyeNchi #NguvuMoja
BAWA AFRICA (@bawaafrika) 's Twitter Profile Photo

The Minister of Natural Resources and Tourism, Hon. Angellah Kairuki presenting a gift to the Director of the United Nations World Tourism Organization (UN Tourism), Ms. ElciaGrandcourt immediately after the session held at Avani Victoria Falls Resort in Livingstone Zambia πŸ‡ΏπŸ‡².

URT Updates (@urtupdates) 's Twitter Profile Photo

Mkurugenzi Mkuu wa Tanzania Unforgettable Bw. Mafuru amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa πŸ‡ΉπŸ‡Ώ nchini Zambia, Mhe. Luteni Generali Mathew Mkingule, wamejadili mambo kadhaa ikiwemo ubunifu katika kutangaza vivutio vya utalii na kurahisisha ujio wa watalii kutoka πŸ‡ΏπŸ‡² kuja Tanzania.

Mkurugenzi Mkuu wa Tanzania Unforgettable Bw. Mafuru akiwa ameketi & Mkurugenzi wa TANTRADE Bi. Latifa Khamis ndani ya Treni ya #SGR kuelekea Jijini Dodoma mara baada ya Uzinduzi wa safari za Treni, uzinduzi huo umefanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Mhe. Dkt. Samia Suluhu

Tanzania Unforgettable (@ttbtanzania) 's Twitter Profile Photo

Katika kuhakikisha fursa za utalii zinafahamika ndani na nje ya πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Tanzania Unforgettable imeshiriki hafla ya uzinduzi wa #SGR kupitia uwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu, Bw. Mafuru ambaye ameeleza kuwa TTB imejipanga kikamilifu kutumia fursa hii ya uwepo wa Reli ya Kisasa kufungua Utalii.

Tembelea banda la Wizara ya Maliasili na Utalii, Katika Maonesho ya 31 ya Kimataifa ya Wakulima yanayojulikana kwa jina la Nanenane, Yaliyoanza Tarehe 01 -08-2024 yanatarajiwa kufungwa Tarehe 08-08-2024 (bado hujachelewa) Mkoani Dodoma, Katika viwanja vya Nzunguni.

Bodi ya Utalii Tanzania yashiriki mapokezi ya mastaa kutoka China, Mastaa waliokuja nchini kurekodi kipindi kinaitwa "Divas Hit the Road," kinachotazamwa na watu zaidi ya milioni 300 nchini China kupitia Hunan TV na kikiwafikia jumla ya watu Bilioni 3 kwa mwaka katika mitandao.

Watendaji wa Tanzania Safari Channel wamemtembelea Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Bw. Ephraim Mafuru leo Agosti 13, 2024 katika ofisi za makao makuu ya TTB, katika ziara hio wamejadili mambo kadhaa yenye mlengo wa kuboresha maudhui ya kutangaza Utalii.

Watendaji wa Tanzania Safari Channel wamemtembelea Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Bw. Ephraim Mafuru leo Agosti 13, 2024 katika ofisi za makao makuu ya TTB, katika ziara hio wamejadili mambo kadhaa yenye mlengo wa kuboresha maudhui ya kutangaza Utalii.
BAWA AFRICA (@bawaafrika) 's Twitter Profile Photo

The Minister of Tourism and Heritage Zanzibar, Hon. Mudrick Ramadhan Soraga invites all people from around the World to participate in the grand Kizimkazi festival Kizimkazi International Festival from the 18th up to 25th August 2024. in Zanzibar Islands. Samia Suluhu Dr Hussein Ali Mwinyi KARIBU ZANZIBAR Tanzania Unforgettable

BAWA AFRICA (@bawaafrika) 's Twitter Profile Photo

The Director General Tanzania Unforgettable Mr. Mafuru (Left) in the Working Session of Board Chairpersons & Chief Executives of Public Institutions at the Arusha International Conference Center (AICC) on August 28, 2024. The session was opened by H.E. President Dr. Samia Suluhu

The Director General Tanzania Unforgettable Mr. Mafuru (Left) in the Working Session of Board Chairpersons & Chief Executives of Public Institutions at the Arusha International Conference Center (AICC) on August 28, 2024. The session was opened by H.E. President Dr. Samia Suluhu
Tanzania Unforgettable (@ttbtanzania) 's Twitter Profile Photo

Travel Agents from BrazilπŸ‡§πŸ‡· on a Fam trip Experiencing the untold beauty of Tanzania attractions and tourism activities. Tanzania Unforgettable Tanzania Embassy | Brazil WTTC UN Tourism #TanzaniaUnforgettableπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Tanzania Unforgettable (@ttbtanzania) 's Twitter Profile Photo

Apply for #SITE2024 and get chance to Explore the unseen world beneath and pristine beaches. Apply now: site.tanzaniatourism.go.tz

Tanzania Unforgettable (@ttbtanzania) 's Twitter Profile Photo

β€œNikiwa ndani ya SGR nimejifunza mengi ikiwemo tafsiri ya maendeleo katika miongo tofauti kutoka kwa Waziri Mkuu mstaafu Ofisi ya Waziri Mkuu na Makamu Mwenyekiti mstaafu wa Chama Chama Cha Mapinduzi Mzee John Samwel Malecela” Ephraim Balozi Mafuru Mafuru Mkurugenzi Mkuu TTB.