Suphian Juma Nkuwi (@suphianjuma) 's Twitter Profile
Suphian Juma Nkuwi

@suphianjuma

โ—Mgombea Ubunge Singida Magharibi 2020.

โ— Mkurugenzi Mtendaji @TAA_Tanzania

โ—MWANZILISHI- SINGIDA MPYA YA KIJANI INAWEZEKANA

ID: 3363017128

calendar_today06-07-2015 19:52:43

94,94K Tweet

156,156K Followers

32 Following

Lusungu Mubofu (@theutdcode) 's Twitter Profile Photo

Jana dunia ilikuwa ikimsifu Michelle Obama kwa ile hotuba aliyotoa kwenye DNC pale Chicago Niliamua kuisikiliza hotuba yake yote na uzi huu nitatoa maoni yangu na nilichoona kwenye hotuba hio Uzi๐Ÿงต/

Jana dunia ilikuwa ikimsifu Michelle Obama kwa ile hotuba aliyotoa kwenye DNC pale Chicago

Niliamua kuisikiliza hotuba yake yote na uzi huu nitatoa maoni yangu na nilichoona kwenye hotuba hio

Uzi๐Ÿงต/
Adui Wa Yanga (@aduiwayanga) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿค๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ณ Rais wa China ametangaza maeneo 10 ya ushirikiano kati ya China na Afrika miongoni mwa maeneo hayo ni kama vile miundombinu, elimu na ushirikiano katika viwanda Hii italenda ukuaji wa maisha ya watu na ustawi wa jamii katik nchi zetu hongera kwa serikali yetu na Mh

Suphian Juma Nkuwi (@suphianjuma) 's Twitter Profile Photo

Kilichotokea Tanga ni dhahiri vijana wa CHADEMA wana maadili ya hovyo toka kwa familia zao, hawaheshimu msiba wala Kiongozi. Nimpongeze M/kiti wao Mbowe kwa kuwakemea vikali kuacha kumzomea Waziri Masauni. Chama Cha Mapinduzi ujinga kama huo huupati kwa vijana, waje TUWAFUNDEโ€ผ๏ธ

Suphian Juma Nkuwi (@suphianjuma) 's Twitter Profile Photo

Vijana tupambane kwenye kila eneo tuliobarikiwa talanta kwa pamoja tujenge taifa letu, badala ya kutwa kulibomoa kwa kufuata soga mtandaoni za wanasiasa na wanaharakati wasaka fursa wenye chuki dhidi ya Rais na Serikali. Karibuni tupande miti SINGIDA MPYA YA KIJANI INAWEZEKANA

Vijana tupambane kwenye kila eneo tuliobarikiwa talanta kwa pamoja tujenge taifa letu, badala ya kutwa kulibomoa kwa kufuata soga mtandaoni za wanasiasa na wanaharakati wasaka fursa wenye chuki dhidi ya Rais na Serikali.

Karibuni tupande miti SINGIDA MPYA YA KIJANI INAWEZEKANA
Suphian Juma Nkuwi (@suphianjuma) 's Twitter Profile Photo

AHSANTE MSANII TABU MTINGITAโ€ผ๏ธ Shirika la TAA tunakushukuru sana Mchekeshaji, Muigizaji na Mwimbaji TABU MTINGITA kwa kuunga mkono kampeni yetu ya kupanda miti ya SINGIDA MPYA YA KIJANI INAWEZEKANA katika kumsapoti Rais Dkt Samia Suluhu kudhibiti Mabadiliko ya tabianchi.

Suphian Juma Nkuwi (@suphianjuma) 's Twitter Profile Photo

Najiwazia hapa; kwanini wanaodai wanafuatiliwa au kutekwa ni wafuasi wa CHADEMA tu? Tuna vyama zaidi ya 20 nchini wanaokosoa kama CHADEMA mbona hawaguswi? Nahisi CHADEMA ndio chanzo kikuu cha tatizo. CHADEMA acheni kumchokonoa wetu mpenda utu Haki na Uhuru Dkt Samia Suluhu