Idrisa Kassim Rubibi (@rubibi_idrisa) 's Twitter Profile
Idrisa Kassim Rubibi

@rubibi_idrisa

Parliamentary Candidate for Kasulu Town Constituency 2020 - CHADEMA | Mwalimu (Bachelor Degree of Education in History and English Language-MNMA).

ID: 716160773270159360

linkhttps://youtube.com/@Rubibi_idrisa calendar_today02-04-2016 07:10:08

176,176K Tweet

9,9K Takipçi

3,3K Takip Edilen

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Martin Maranja Masese na Kumbusho Dawson Kagine tumefungua Miscellaneous Criminal Application No. 8902 of 2025 dhidi ya Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, #AmosMakalla kwa kauli zake dhidi ya CHADEMA alizotoa 22/03/2025. Kesi imepangwa kuanza 12/05/2025 mbele ya Jaji R.M, Kisutu.

Martin Maranja Masese na <a href="/KumbushoDawson/">Kumbusho Dawson Kagine</a> tumefungua Miscellaneous Criminal Application No. 8902 of 2025 dhidi ya Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, #AmosMakalla kwa kauli zake dhidi ya CHADEMA alizotoa 22/03/2025. Kesi imepangwa kuanza 12/05/2025 mbele ya Jaji R.M, Kisutu.
Adv. Dickson Matata (@advmatata) 's Twitter Profile Photo

Leo ni siku yangu ya kuzaliwa, siku ambayo kwa waumini wa dini ya kikristu wanaadhimisha kuteswa na kusurubiwa kwa Yesu Kristu kwa kosa la kuhuburi "Ukweli" na "Haki" duniani. Nitaitumia siku hii kwenda gerezani kumtia faraja mwenyekiti wangu Tundu A. Lissu ambaye anapitia

Leo ni siku yangu ya kuzaliwa, siku ambayo kwa waumini wa dini ya kikristu wanaadhimisha kuteswa na kusurubiwa kwa Yesu Kristu kwa kosa la kuhuburi "Ukweli" na "Haki" duniani.

Nitaitumia siku hii kwenda gerezani kumtia faraja mwenyekiti wangu Tundu A. Lissu ambaye anapitia
James Mbowe (@jamesmbowe4) 's Twitter Profile Photo

Ndiyo, ukimya pia ni jibu zuri mara nyingi. Mara nyingine ukimya unaweza kuonyesha busara, uvumilivu, au hata kukataa kuingilia katika mjadala usio na maana. Katika hali nyingi, kusema kidogo au kutosema chochote ni njia bora ya kuonyesha heshima na kutunza Amani.

Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

Tuwapokee ila tuwakumbushe..! 1.Karibuni mtaani tufuge na kulima (anza kuwaza shughuli nje ya siasa) 2.Huku mtaani kuna maisha nje ya siasa na ni matamu na mazuri tu.(asikutishe mtu sababu ya siasa). 3.Tumieni viinua mgongo kwa maarifa na hekima kubwa. (huenda ndiyo pesa

Tuwapokee ila tuwakumbushe..!

1.Karibuni mtaani tufuge na kulima (anza kuwaza shughuli nje ya siasa)

2.Huku mtaani kuna maisha nje ya siasa na ni matamu na mazuri tu.(asikutishe mtu sababu ya siasa).

3.Tumieni viinua mgongo kwa maarifa na hekima kubwa. (huenda ndiyo pesa
Yericko Nyerere (@yerickonyereret) 's Twitter Profile Photo

Leo nimefurahi kupata fursa ya kumsalimia Mwenyekiti Mstaafu Mh Freeman Mbowe, Pamoja na mambo mengine, tumetumia muda huo mzuri kuzungumza kuhusu Maisha nje ya siasa, siasa za ndani, siasa za nje na biashara kwa ujumla. Mwenyekiti mstaafu ni yuleyule mnyoofu wa moyo na fikra,

Leo nimefurahi kupata fursa ya kumsalimia Mwenyekiti Mstaafu Mh <a href="/freemanmbowetz/">Freeman Mbowe</a>, Pamoja na mambo mengine, tumetumia muda huo mzuri kuzungumza kuhusu Maisha nje ya siasa, siasa za ndani, siasa za nje na biashara kwa ujumla. Mwenyekiti mstaafu ni yuleyule mnyoofu wa moyo na fikra,
Land Dwellers (@land_dwellers) 's Twitter Profile Photo

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete ametoa wito kwa wadau wa elimu kuendelea kushirikiana ili kuhakikisha kila mtoto anapata haki yake ya elimu, ambapo amesema kuwa bado kuna uhitaji mkubwa wa kuwasaidia watoto wanaotoka katika mazingira magumu.

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete ametoa wito kwa wadau wa elimu kuendelea kushirikiana ili kuhakikisha kila mtoto anapata haki yake ya elimu, ambapo amesema kuwa bado kuna uhitaji mkubwa wa kuwasaidia watoto wanaotoka katika mazingira magumu.