Latifa (@queenlatifa255) 's Twitter Profile
Latifa

@queenlatifa255

ID: 1879889757485903872

calendar_today16-01-2025 13:54:03

19 Tweet

5,5K Followers

0 Following

Fabrice Luamba Ngoma (@ngomafabrice_6) 's Twitter Profile Photo

Swala la Katiba Mpya Mhe. Rais Samia amelivalia njuga kwa vitendo mama hasikilizi tu, anatenda! Hatua kwa hatua, Tanzania mpya yajengwa kwa busara na maamuzi sahihi. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #KaziNaUtu #TunasongaMbele

Swala la Katiba Mpya Mhe. Rais Samia amelivalia njuga kwa vitendo mama hasikilizi tu, anatenda! Hatua kwa hatua, Tanzania mpya yajengwa kwa busara na maamuzi sahihi. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
#KaziNaUtu
#TunasongaMbele
Fabrice Luamba Ngoma (@ngomafabrice_6) 's Twitter Profile Photo

Katika hotuba yake ya jana, Mhe. Rais Samia amesisitiza uimara wa JWTZ kama ngao ya Taifa โ€“ Jeshi letu linaendelea kulinda mipaka, kusimamia amani na kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania kimataifa. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ›ก๏ธ #kaziNaUtu #TunasongaMbele

Katika hotuba yake ya jana, Mhe. Rais Samia amesisitiza uimara wa JWTZ kama ngao ya Taifa โ€“ Jeshi letu linaendelea kulinda mipaka, kusimamia amani na kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania kimataifa. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ›ก๏ธ 
#kaziNaUtu
#TunasongaMbele
Fabrice Luamba Ngoma (@ngomafabrice_6) 's Twitter Profile Photo

Nalielekeza Jeshi la Polisi kuongeza jitihada katika kukomesha matukio ya watu kupotea.โ€ Kauli hiyo imetolewa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu wakati wa hotuba yake ya kulivunja Bunge la 12, Juni 27, 2025, akisisitiza umuhimu wa haki za binadamu na kuwajibika kwa-

Nalielekeza Jeshi la Polisi kuongeza jitihada katika kukomesha matukio ya watu kupotea.โ€

Kauli hiyo imetolewa na Mheshimiwa Rais Dkt. <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> wakati wa hotuba yake ya kulivunja Bunge la 12, Juni 27, 2025, akisisitiza umuhimu wa haki za binadamu na kuwajibika kwa-
Fabrice Luamba Ngoma (@ngomafabrice_6) 's Twitter Profile Photo

27.6.2025 | Rais Dkt. Samia Suluhu alihitimisha Bunge la 12 kwa hotuba ya maono, mshikamano na matumaini. Mama anaongoza, Taifa linaimarika. #kaziNaUtu #TunasongaMbele