Eng. Pamela Maassay
@pamelamaassay
Secretary General CHADEMA Women Wing 2025 - Member of Parliament EAC 2017-2022 FSSC &TQMS Lead Auditor Public Health Specialist
ID: 866249690198704129
https://whatsapp.com/channel/0029VaYcLPq6LwHmCaVi2j0r 21-05-2017 11:09:55
1,1K Tweet
4,4K Followers
1,1K Following
Jana trh 06 Aug ,Uongozi wa OfficialBawacha Taifa ulikutana na wanawake wa Kanda ya Pwani kwa ajili ya maombi maalumu ya kuwaombea “Mashujaa wetu “ pia wanawake walipewa elimu ya “Afya ya Uzazi na Ujasiriamali kutoka kwa wataalamu walioalikwa.SALA ,AFYA NJEMA na UCHUMI📌
Hili linafanyika mbele ya Mhimili Mkuu (Mahakama )unaotakiwa kulinda na kutoa haki kwa raia ,je hawa askari wakitukuta huku mitaani watatufanya nini? Hapa Police Force TZ mnatengeneza civil disobedience ya hali ya juu .Wananchi wakiangalia vyombo hivi wanakosa imani na amani .
Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. John Heche amekamatwa asubuhi hii akiwa nje ya Mahakama Kuu kuhudhuria kesi inayomkabili yeye na viongozi wengine wa Chama, pamoja na kufuatilia mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili Mhe. Tundu Antiphas Lissu, Jeshi hilo halijasema mpaka sasa
YUKO WAPI Makamu Mwenyekiti John Heche mliyemchukua jana nje ya Mahakama Kuu?Police Force TZ 22/10/2025 (jana) Polisi DSM walimweleza Mkurugenzi wa Sheria Chadema Tanzania kuwa anapelekwa Tarime lakini mpaka sasa taarifa za Mawakili wa Familia zinasema hajafikishwa huko .
Tunamshukuru sana Mungu kwa maisha ya mzee wetu Mh Edwin Mtei ,muasisi wa chama chetu Chadema Tanzania .Anaacha alama isiyofutika milele .RIP SHUJAA🙏🏾
Jana tarehe 22/01/2024 nilijumuika na viongozi ,wanachama na wananchi kuomboleza msiba wa aliyekuwa muasisi wa Chadema Tanzania Hayati Mh Edwin Mtei nyumbani kwake Jijini Arusha .Tutamkumbuka kwa ujasiri wake na maono ya kutamani demokrasia ya kweli kwenye Taifa .R.I.P #EdwinMtei