Nathan Mpangala(@NathanMpangala) 's Twitter Profileg
Nathan Mpangala

@NathanMpangala

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Tanzanian Cartoonist | Illustrator
โค | Peace | Art | Wildlife | Sports
๐Ÿ–Š๏ธ [email protected]

ID:383114921

calendar_today01-10-2011 09:00:57

3,4K Tweets

9,3K Followers

1,8K Following

Nathan Mpangala(@NathanMpangala) 's Twitter Profile Photo

Kwa namna tulivyokuwa tukiipamba ukilinganisha na jinsi ilivyocheza dhidi ya Yanga na Esperance, napata hisia kuwa mapambio yetu kwa Mamelodi yalipitiliza!

account_circle
Nathan Mpangala(@NathanMpangala) 's Twitter Profile Photo

USHAURI KWA BODI YA LIGI Mnaporidhia 'majaruba ya mpunga' kuwa viwanja vya soka nyakati za mvua, angalau basi zingatieni utabiri wa hali ya hewa. Kuna wakati sio tu mpira, hata mpunga wenyewe huelemewa na maji!

Nathan Mpangala - Illustrator & Grassroots Comics Artist: Rai kwa Baraza la Kiswahili la Taifa, Rasimisha Ji... komikijamii.blogspot.com/2024/04/blog-pโ€ฆ

account_circle
Nathan Mpangala(@NathanMpangala) 's Twitter Profile Photo

Mnaotoa 'risiti za kusafiria' mjue hamuiibii Serikali bali mnamuibia mlipa kodi. Ona, katika hali kama hii dawa mahospitalini zitatoka wapi?

Mnaotoa 'risiti za kusafiria' mjue hamuiibii Serikali bali mnamuibia mlipa kodi. Ona, katika hali kama hii dawa mahospitalini zitatoka wapi? #kodi
account_circle
Nathan Mpangala(@NathanMpangala) 's Twitter Profile Photo

Nimesikia mahala waamuzi wa Sudan wanatamani kuchezesha NBC Premier League. Wataongeza kitu, ikiwezekana wenye sifa waanze hata leo. Karibuni Mahmood Ali Mahmood Ismail na wenzako.

Ikitokea Al Hilal kucheza ligi ya Bongo itakuwa jambo la kheri ila wasiwasi wangu ratiba tu. Sasa timu zinacheza mechi kila baada ya siku mbili! Haya, wakiongezeka hao wageni itakuwaje?

account_circle
Nathan Mpangala(@NathanMpangala) 's Twitter Profile Photo

Inawezekana Bongo tuna sheria yetu kivyetuvyetu ya kuotea. Kama ipo kama unavyoonesha pichani, basi Bwana Kibendera ulikuwa sahihi, utafika mbali.

Tena! Takribani wanafunzi 287 watekwa Nigeria! Hivi huwa wanawaficha wapi umati mkubwa kama huu kiasi wasiweze kuonekana? Mawinguni au?

theguardian.com/world/2024/marโ€ฆ

account_circle