Muhimbili National Hospital(@MuhimbiliTaifa) 's Twitter Profileg
Muhimbili National Hospital

@MuhimbiliTaifa

National referral Hospital, Research centre and teaching hospital

ID:1179724566580649984

linkhttp://www.mnh.or.tz calendar_today03-10-2019 11:49:09

1,0K Tweets

14,7K Followers

7 Following

Muhimbili National Hospital(@MuhimbiliTaifa) 's Twitter Profile Photo

Jamii imetakiwa kuacha tabia ya kuwanyanyapaa watu watu wenye ugonjwa wa Lupus na badala yake wawasaidie na kuwapeleka hospitali ili waweze kupatiwa matibabu kwakuwa ugonjwa huo unaweza kumpata mtu yoyote.

account_circle
Muhimbili National Hospital(@MuhimbiliTaifa) 's Twitter Profile Photo

Hospitali ya Taifa Muhimbili ndio hospitali ya kwanza nchini kuanzisha Idara ya Tiba na Magonjwa ya Dharura tangu mwaka 2010 ikiwa na wataalam wenye ujuzi pamoja na vifaa vya kutosha.

Asilimia 99.5 ya wagonjwa wote wanaopokelewa katika Idara ya Tiba na Magonjwa ya Dharura, Hospitali ya Taifa Muhimbili wanauhakika wa kupatiwa huduma za matibabu kwa wakati na afya zao kuimarika.

Omar Kashera(@Mjengaomar) 's Twitter Profile Photo

Nikiwa Dubai, niliwahi kuwa na maongezi na Prof. Janabi kuhusu uboreshaji wa hosptali zetu kuwa kwa kiwango cha hospt za Dubai. Kwa sasa Muhimbili National Hospital ni kati ya hospt bora sana nchini. Huduma nzuri, usafi na watumishi wamejawa maadili. Hongera sana Samia Suluhu Ummy Mwalimu, MP

Nikiwa Dubai, niliwahi kuwa na maongezi na Prof. Janabi kuhusu uboreshaji wa hosptali zetu kuwa kwa kiwango cha hospt za Dubai. Kwa sasa @MuhimbiliTaifa ni kati ya hospt bora sana nchini. Huduma nzuri, usafi na watumishi wamejawa maadili. Hongera sana @SuluhuSamia @ummymwalimu
account_circle
Muhimbili National Hospital(@MuhimbiliTaifa) 's Twitter Profile Photo

At Muhimbili, We Are Moving From Hospital To Hospitality. Welcome! We Are Ready To Serve You.

Prof. Mohamed Janabi
Executive Director

At Muhimbili, We Are Moving From Hospital To Hospitality. Welcome! We Are Ready To Serve You. Prof. Mohamed Janabi Executive Director
account_circle
Muhimbili National Hospital(@MuhimbiliTaifa) 's Twitter Profile Photo

Watumishi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (Upanga na Mloganzila) wameshiriki katika uzinduzi wa mazoezi ya kila Jumamosi ambayo yameshirikisha wadau mbalimbali ikiwemo taasisi zilizo chini ya wizara ya afya.

Katika kuunga mkono juhudi za uboreshaji wa huduma za afya katika Hospitali ya Taifa Muhimbili watumishi wanaotoa huduma katika Jengo la Mwaisela wamezindua kombe maalum la Janabi Cup lenye lengo la kutoa hamasa na kuongeza chachu ya utoaji huduma bora hospitalini hapo.

Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kushirikiana na Chama cha Madaktari Bingwa wa Magonjwa ya Ndani na Hospitali ya Yashoda Hyderabad ya nchini India imefanya kongamo la kuwajengea uwezo wataalam wa magonjwa ya ndani namna kufanya uchunguzi na matibabu ya mapafu na mfumo wa hewa

'Experience State-of-the-Art Diagnostics Services with our CT-Angio at Muhimbili National Hospital'

Prof. Mohamed Janabi
Executive Director

account_circle
Muhimbili National Hospital(@MuhimbiliTaifa) 's Twitter Profile Photo

* Hospitali yetu ya Taifa Muhimbili, tuna vifaa tiba vyenye teknolojia ya hali ya juu kufanya Uchunguzi#*
Prof. Mohamed Janabi
Mkurugenzi Mtendaji

account_circle
Muhimbili National Hospital(@MuhimbiliTaifa) 's Twitter Profile Photo

* MAPYA YA KIHARUSI MUHIMBILI* na Prof. Mohamed Janabi kupitia YouTube Channel- MuhimbiliTv….ni Jumapili hii, tarehe 28 Aprili, Saa NANE mchana.

account_circle
Muhimbili National Hospital(@MuhimbiliTaifa) 's Twitter Profile Photo

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Prof. Mohamed Janabi amewetaka viongozi wa MNH kutimiza majukumu yao kama inavyo takiwa ili kuwa mfano kwa watumishi wanao waongoza.

Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kushirikiana Shirika lisilo la ki Serikali la Jhpiego Tanzania imetoa mafunzo maalum kwa wauguzi na wakunga yenye lengo la kutafuta watoa huduma mahiri watakao kuwa chachu ya kuleta mabadiliko kwenye jamii na kusaidia kupunguza mimba za utotoni.

*Ili Muhimbili kuendelea kushika kasi katika kutoa huduma bora na zinazokidhi viwango vya kimataifa, viongozi hawana budi kwenda sambamba na mabadiliko ya sayansi na teknolojia.*

Prof.Mohamed Janabi
Mkurugenzi Mtendaji Muhimbili

account_circle