Mrisho Mpoto (@mrishompoto) 's Twitter Profile
Mrisho Mpoto

@mrishompoto

Official Account of the Africa's Number 1 Slam Poet. A Storyteller

ID: 522128054

linkhttps://youtu.be/WfRSaMfO6xw calendar_today12-03-2012 10:10:40

6,6K Tweet

23,23K Followers

438 Following

Mama Anafanikisha (@mamanafanikisha) 's Twitter Profile Photo

Mwonekano wa Zahanati ya Kinambeu mara baada ya ujenzi uliogharimu Sh. milioni 411.9 kukamilika na kuanza kutoa huduma. Zahanati hiyo iliyochukua takribani miaka 12 kukamilika inasaidia wananchi kupata huduma bora za afya karibu na makazi. #MamaAnafanikisha

Mwonekano wa Zahanati ya Kinambeu mara baada ya ujenzi uliogharimu Sh. milioni 411.9 kukamilika na kuanza kutoa huduma.

Zahanati hiyo iliyochukua takribani miaka 12 kukamilika inasaidia wananchi kupata huduma bora za afya karibu na makazi.

#MamaAnafanikisha
Mwigulu Nchemba, PhD (@mwigulunchemba1) 's Twitter Profile Photo

Leo nilipata wasaa wa kumuaga Rais wa Jamhuri ya Burundi, Mhe. Evariste Ndayishimiye, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro, baada ya kushiriki Mkutano wa 23 wa Viongozi Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, uliofanyika katika Hoteli ya Ngurdoto,

Mama Anafanikisha (@mamanafanikisha) 's Twitter Profile Photo

"Tanzania inafunguka, Tanzania ni jina kubwa limekuwa ulimwenguni kiasi ambacho kila mtu anataka kuja Tanzania. Na si kukua kwa jina lakini ni kwa sifa zetu."- Rais Samia Suluhu Hassan #MamaAnafanikisha

Wizara ya Kilimo (@wizarakilimo) 's Twitter Profile Photo

Mhe. Hussein Bashe (Mb), Waziri wa Kilimo akihutubia wawekezaji na wafanyabiashara zaidi ya 200 walioshiriki katika Mkutano wa Wawekezaji wa Ndani (ikiwa ni pamoja na kwa njia ya mtandao) leo tarehe 18 Desemba 2023, Hoteli la Serena jijini

Mhe. Hussein Bashe (Mb), Waziri wa Kilimo akihutubia wawekezaji na wafanyabiashara zaidi ya 200 walioshiriki katika Mkutano wa Wawekezaji wa Ndani (ikiwa ni pamoja na kwa njia ya mtandao) leo tarehe 18 Desemba 2023, Hoteli la Serena jijini
Aman Martins | Champ (@amanimkagulu) 's Twitter Profile Photo

EFM: IMANI, NAFASI YA KUTENDA NA KUKUA ZAIDI. . Leo imetimia miaka 4 tangu 18/12/2019 nilipoondoka Clouds. Nimetafakari yaliyotokea katika safari yangu tangu pale, na kwa nia ya kuchangia katika mijadala inayoweza kuwa na mchango kwa wengine katika utafutaji wao, nimewiwa

EFM: IMANI, NAFASI YA KUTENDA NA KUKUA ZAIDI.
.
Leo imetimia miaka 4 tangu 18/12/2019 nilipoondoka Clouds. Nimetafakari yaliyotokea katika safari yangu tangu pale, na kwa nia ya kuchangia katika mijadala inayoweza kuwa na mchango kwa wengine katika utafutaji wao, nimewiwa
Mama Anafanikisha (@mamanafanikisha) 's Twitter Profile Photo

Akizungumza kwa njia ya simu na Wakuu wa Shule za Sekondari nchini, Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kutimiza matakwa yao ikiwemo ujenzi wa makazi ya walimu ili waweze kuwa karibu na maeneo yao ya kazi. #MamaAnafanikisha

Laura A. Ndosi (@laura_afrael) 's Twitter Profile Photo

Hii ni sehemu ya safari yangu kuelekea kituo changu cha kazi. Maswali: Itakuwaje kwenda kufanya kazi kijijini? Nitaweza kubadili mfumo wa maisha? n.k MAJIBU: Ninaianza safari ya utumishi wa umma kwa moyo wa uzalendo, shukrani, na tumaini kwa Mungu. NIKO TAYARI #KuanzaUtumishi

Mrisho Mpoto (@mrishompoto) 's Twitter Profile Photo

Kampeni ya #Fanyakweli #Usibakinyuma MTU NI AFYA Ni Kampeni yenye matokeo makubwa katika kubadili tabia zetu SASA INAINGIA MKOA WA PWANI

Kampeni ya #Fanyakweli #Usibakinyuma 
MTU NI AFYA 
 
Ni Kampeni yenye matokeo makubwa katika kubadili tabia zetu

SASA INAINGIA MKOA WA PWANI