Adventure-360(@Adventure_36) 's Twitter Profile Photo

Mtaalam wa Masoko na Ubunifu kutoka NMB ndani ya

Moja ya watu bora kuwafuatilia Aman Martins | Champ kwenye makala zake hapa kuna kitu tutapata. USIKOSE mdau

Mtaalam wa Masoko na Ubunifu kutoka NMB ndani ya #ElimikaWikiendi 

Moja ya watu bora kuwafuatilia @amanimkagulu kwenye makala zake hapa kuna kitu tutapata. USIKOSE mdau
account_circle
Maulid Kitenge(@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Champ Aman Martins | Champ leo alinipa lifti kidogo. Tukapata nafasi ya kubadilishana mawili matatu kuhusu maisha. Muhimu hapa ni kwamba tuwe wanyenyekevu na tuwe na heshima thabiti kwa kila mmoja wetu.

Video kwa hisani ya 𝐌𝐓𝐔 𝐁𝐈𝐆🤴

account_circle
Charity Flora✨(@CharityFlora1) 's Twitter Profile Photo

Si Huwa Tukiapply Kazi Wanatuambia Tuambatanishe Na Handle Zetu Za Mitando Ya Kijamii Wait Unajua Ni Kwanini??

Haya Kesho Kwenye Tutakuwa Na Aman Martins | Champ Atatujuza Namna Sahihi Ya Kutumia Mitandao Ili Katika Soko La Ajira.

Si Huwa Tukiapply Kazi Wanatuambia Tuambatanishe Na Handle Zetu Za Mitando Ya Kijamii Wait Unajua Ni Kwanini??

Haya Kesho Kwenye #ElimikaWikiendi Tutakuwa Na @amanimkagulu Atatujuza Namna Sahihi Ya Kutumia Mitandao Ili Katika Soko La Ajira.
account_circle
Gift Kimaro(@GiftKimaro7) 's Twitter Profile Photo

Mtaalam wa Masoko na Ubunifu Aman Martins | Champ kesho jukwaani na mada nzuri ya kutumia mitandao ya kijamii kufikia malengo katika soko la ajira

Usikose

Mtaalam wa Masoko na Ubunifu @amanimkagulu kesho jukwaani #ElimikaWikiendi  na mada nzuri ya kutumia mitandao ya kijamii kufikia malengo katika soko la ajira 

Usikose
account_circle
Youth Investors Association(@YIA_Tanzania) 's Twitter Profile Photo

Ni Wakati wa Kuangaza! Wageni wetu waalikwa wako tayari kutufungulia kile tunachokisubiri kwa hamu kubwa sisi kama Jumuiya ya Vijana Wawekezaji (YIA). Tunasema tupo tayari na tukio kuu la Uzinduzi mkubwa, Karibu sana Ndg Aman Martins | Champ kutoka E Digital

Ni Wakati wa Kuangaza! Wageni wetu waalikwa wako tayari kutufungulia kile tunachokisubiri kwa hamu kubwa sisi kama Jumuiya ya Vijana Wawekezaji (YIA). Tunasema tupo tayari na tukio kuu la Uzinduzi mkubwa, Karibu sana Ndg @amanimkagulu kutoka @EfmTanzania
account_circle
KITABU(@marcelkitabu) 's Twitter Profile Photo

Wakati mwema sana leo kukutana na kushiriki ujenzi wa pamoja na my senior creative personnel Aman Martins | Champ akiwa kama Creative Manager NMB.

Product za CMG 🫡


Wakati mwema sana leo kukutana na kushiriki ujenzi wa pamoja na my senior creative personnel @amanimkagulu akiwa kama Creative Manager NMB.

Product za CMG 🫡

#ilipotupo
#keshonisasa
account_circle
E Digital(@EfmTanzania) 's Twitter Profile Photo

Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa, Hassan Ngoma amesema wao kama Wilaya hawatamuomba kitu chochote Rais Dkt Samia Suluhu leo kwa kuwa amewapa yote waliyomuomba.

Akizungumza na Aman Martins | Champ , Ngoma amesema yote waliyohitaji hivyo wanasubiri 2025 wamchague tena.

account_circle
Rashda Zunde(@RashdaZunde) 's Twitter Profile Photo

Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa, Hassan Ngoma amesema kama wao hawatamuomba kitu chochote Rais Samia Suluhu leo kwa kuwa amewapa yote waliyomuomba.

Akizungumza na Aman Martins | Champ, Ngoma amesema waliyohitaji hivyo wanasubiri 2025 wamchague.

account_circle
C L E M E N T 🦁🏷️(@venant_clement) 's Twitter Profile Photo

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA_TANZANIA imeendelea kuhamasisha matumizi sahihi ya mtandao na kutumia fursa zake na Kesho moja kati ya vijana mahiri kabisa Bw. Aman Martins | Champ atatupitisha kwenye namna ambayo vijana wanavyoweza kutumia mitandao ya kijamii Ili kufikia soko la ajira.

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania @TCRA_Tz imeendelea kuhamasisha matumizi sahihi ya mtandao na kutumia fursa zake na Kesho moja kati ya vijana mahiri kabisa Bw. @amanimkagulu atatupitisha kwenye namna ambayo vijana wanavyoweza kutumia mitandao ya kijamii Ili kufikia soko la ajira.
account_circle
E Digital(@EfmTanzania) 's Twitter Profile Photo

Meneja anayehusika na Ubinifu na Mitandao ya Kijamii hapa , Aman Martins | Champ anatueleza namna ambavyo inaweza kukunufaisha.
.
Habari zaidi itazipata kwenye , sikiliza na uendelee kutumia NMB Mastercard.
.
NMB Bank Plc

account_circle
#ElimikaWikiendi(@ElimikaWikiendi) 's Twitter Profile Photo

Jumamosi iliyopita kwenye tuliwaandalia mada nzuri kutoka kwa Afisa masoko na mbunifu Aman Martins | Champ

Jinsi vijana wanavyoweza kutumia mitandao ya kijamii ili kufikia malengo katika soko la ajira

Pitia UZI ujifunze zaidi x.com/amanimkagulu/s…

Jumamosi iliyopita kwenye #ElimikaWikiendi tuliwaandalia mada nzuri kutoka kwa Afisa masoko na mbunifu @amanimkagulu 

Jinsi vijana wanavyoweza kutumia mitandao ya kijamii ili kufikia malengo katika soko la ajira 

Pitia UZI ujifunze zaidi x.com/amanimkagulu/s…
account_circle